Wainjilisti waliotoka uislamu Musa B. Musa, Ibrahim Dikko, Muhammad Muhammad jinsi wanavyowindwa Nigeria kaskazini

Quran 2:97
Sema; aliyekuwa adui wa Jibril (yaani shetani) ndiye aliyeiteremsha Quran moyoni mwako

Ukisoma Aya hii halafu ukaendelea kuwa muislamu basi wewe kila kitu kwako kina matatizo sio akili tu
 
Hawawezi na Albadil yao kwa jina la Yesu Kristu Mwana wa Mungu aliyehai
 
Hao nimatapeli tu , hawakuwa waislamu na hata Sasa sio wakristo ila ni fisi Sasa wamehamia kwenye zizi la kondoo wapate kuwala vizuri kwa utapeli sababu Nigeria ndio kiini Cha makanisa / manabii watapeli.
Mpaka hao kondoo akili uwrudie tapeli kashiba kweli
I
 
Taifa la Mungu ni Israel, wakati huo Israel haiamini katika Yesu. Btw hata wewe humfahamu Mungu wako ni yupi. Lakini pia hii habari yako ni fake
WEWE JITU JEUSI TII LENYE SIJDAH KWENYE PAJI JEUSI HAIJALISHI VYOVYOTE VILE BORA TU HATUFUATI NA KUSHADADIA MILA ZA KIARABU (UISLAMU).

Nyau de adriz
 
ila waislamu wasingekuwepo Dunia ingekuwa sehemu yenye amani mno
imagine hao jamaa kila siku wanakoswakoswa na watu wa dini ya haki kisa wanawahubiria wengine habari ya YESU
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯
 
Mbaya sana. ni extremists h
Mbaya sana. Dhehebu la wahabi ndio source ya extremism katika Uislam. Mimi ni Muislam, siafiki imani ya Yesu kuwa Mungu wala trinity lakini siwezi kumuua mkristo au muislamu aliyeamua kuwa mkristo. Nitachukua jukumu la kumuusia na kisha kumuacha na maamuzi yake, zaidi siwezi kumtenga.
Atayehukumu ni mwenyewe Allah.
 
Damu ya yesu ikulinde
 
Umenena vyema..hasa mikoa ya pwani, wengi wanataka kuingia Ukristo ila ndugu na jamaa zao wakorofi.. ila mikoa ya bara sijaona tatizo hilo..
 
Taifa la Mungu ni Israel, wakati huo Israel haiamini katika Yesu. Btw hata wewe humfahamu Mungu wako ni yupi. Lakini pia hii habari yako ni fake
Aliyesema israel ni taifa la Mungu ni nani? Tuanzie hapo kwanza
 
ila waislamu wasingekuwepo Dunia ingekuwa sehemu yenye amani mno
imagine hao jamaa kila siku wanakoswakoswa na watu wa dini ya haki kisa wanawahubiria wengine habari ya YESU
Ila bora wapo mkuu, maana wasingekuwepo wakristo tungekaa kwa amani na hawa dini nyingine tungejisahau sana kungekuwa duniani kumepooza, bora hawa waislamu wapo wanaleta amsha amsha, mara leo bomu hapa mara kesho shekhe kajilipua pale, wana amsha amsha vurugu watu wanakuwa active kidogo
 
Ukiwa mtu unayeelewa religious tolerance basi utaishi kwa amani hadi moyoni mwako ila wengine hawataki kuamini kuwa tumeumbwa kutofautiana
 
Umenena vyema..hasa mikoa ya pwani, wengi wanataka kuingia Ukristo ila ndugu na jamaa zao wakorofi.. ila mikoa ya bara sijaona tatizo hilo..
Hakika ndugu yangu ni kwa sababu tu sisi hatuna showboating za proud to be
 
Wiki ya jana wakristu zaidi ya 150 wamekufa ndo amsha amsha unazopenda hizo mkuu
 
Nayahisi maumivu yako mkuu, Kuna mamilioni ya waislamu wako pending kuwa wakristu ila wanaogopa mtawauwa

Unasema hao hawakuwa waislamu ili uwe muislamu inabidi uweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…