Wairan 8000 ni Wayahudi

Wairan 8000 ni Wayahudi

Wazungu wanazo feeling zao za kwamba ni superior ndio maana hawataki huwachanyie madesa kwenye race yao.

Lakini ndio ukweli wewe kama babu zako au jamaa zako ni race ya watu weusi tulia kubali hauna haja ya kutaka kuji-associate na uzungu kisa eti kuna mchanganyiko wa damu na wazungu
Haswa
Na huo ndio ukweli
Unakuta mtu mweusi hahafu anajiita mweupe na wao hawamtaki
Kama Tiger Woods hataki kuitwa mweusi anajiona ni mthailand 😄
 
kuna raia wa nje anaweza kuwa waziri mkuu wa israel? Yaani mzungu kutoka ulaya na amerika akawe waziri israel !
Kwanini isiwezekane mzungu kuwa waziri mkuu Israel?

Mbona UK kuna waziri mkuu muhindi?
 
Kinachokufanya uamini kuwa kina Netanyahu ni wayahudi typically kama ulivyosema ni nini...

1. Rangi yao?

2. Lugha yao?

3. Au dini yao?
Historia yao, ukiweza kumpata Netanyahu anaweza kukupa hata babu yake wa Saba alikuwa nani na walifikaje Russia, Poland.
Pia Benjamin Netanyahu amezaliwa Tel Aviv kwa hiyo ni Mu-Israel kwa kuzaliwa. Na pia mama yake amezaliwa Jerusalem ikiwa chini ya Ottoman Empire.
 
Aaaa you wish! Ni sawa na kusema wakristo wa zenj,saudia,misri wanajivunia kuwa na uraia wa nchi zao!we know better Madame!
Unafananisha dini vs ethnicity au race vitu viwili tofauti kabisa lau ungesema wahindi wa Tanzania wanajivunia Uraia wao kwa asili yao ni uhindi tu ila dini hii ni ya mtu yeyote wa asili yeyote anaweza kuchagua dini yeyote.
 
Hao siyo wayahudi bali ni wa Iran pure kabisa, vizazi vyao vimekaa huko zaidi ya miaka 7000 halafu waseme ni waisraeli kweli? Wayahudi nao wanakwama
Hizi kamba muwe mnaangalia kwa kudanganyia miaka elfu saba ina maana takribani 5000BC hapakuwa na taifa la wayahudi wakati huo.
 
Back
Top Bottom