Haya maneno ukiyaweka katika kiswahili yatakuchanganya maana utaona yana maana moja.Uyahudi ni dini pia!!??
Jewish ni myahudi.
Judaism ni uyahudi.
Hii ni dini ambayo wameiingiza kwenye sheria yao kwamba mtu aki convert kuwa Judaism tayari ana sifa ya kuitwa Jewish.