Wazungu ni neno pana sana. Kuna Spanish, Wareno, Wajerumani, Anglo-Saxons, Slavs, Ukranians, wagiriki, gypsy, hadi baadhi ya waturiki n.k Sasa labda utuambie Jews/Wayahudi wanaweza kuwa wazungu wapi
Kuhusu wazungu kuwa Jews nadhani umesoma tofauti.
Wazungu ni neno pana ambalo hapo hatuwezi kumaliza.Kuna tafsri ya mzungu kwa kigezo cha skin color(hapa ukizubaa kuna mtu atakwambia na mwarabu ni mzungu)
Kuna kigezo cha lugha kusema huyu ni mzungu(hapa wazungu watabaki wote wenye kuzungumza English kama mother tongue except watu kutoka mataifa kama SA,Jamica,Nigeria,India(ambao pia kuna baadhi kwao english ni mother tongue))
Kigezo cha mwisho ambacho ntaweka hapa ni physical appearance.I mean +Tall, +brown hair, + brown skin color n.k
Hizi ni baadhi ya conceptualization za neno mzungu(japo zinaweza zote kuwa na mapungufu)
Hakuna ushahidi wa mzungu kuwa myahudi japo kuna asilimia chache zinaweza kuwalinda wale wano suggest kwamba wayahudi ni watu weusi.
Kwanini,Jews(descendant of Judah) ndio katika uzao huu tunampata David,Solomon and Jesus.Jesus alisemwa kama mfalme wa uzao wa Daudi(Japo hii debate yake ni kali kwa maana hakuna anayejua biological father wa Jesus).Kwenye NT(New Testament) wanafanya description ya Jesus(I guess in the book of revelation) the skin color inaonyeshwa ina ufanano na mtu mweusi.
Sasa kama hii description ni sawa,basi wayahudi kuwa weusi inaweza kumake sense.Kumbuka Jesus is said to be king from line of David ambao ni wayahudi kwa reasoning ya kawaida utasema Jesus alikuwa na features sawa na watu wa uzao wa Daudi(kama utakubali hii) basi utakubali nadharia ya wayahudi weusi kuwepo pia