Wairan 8000 ni Wayahudi

Wairan 8000 ni Wayahudi

Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.

View attachment 2970638
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
Wayahudi wapo Irani kwa zaidi ya miaka 2,500 tangu enzi za Cyrus the Great
 
  • Thanks
Reactions: 511
Sisi waislamu wakisunni mchezo wa Israel na Iran hautusumbui tunajua janja janja yao... Mu-irani ni myahudi aliyepooza.

Kimsingi wanatumia mbinu wanazuoni wa kiislamu wa kisunni wanaiita TAKIYA, yaani kuficha unafki ndani yao na kudhihirisha dini kama njia ya kuiahadaa dunia iamini kuwa wao ni waislamu wa kweli.

Wairani ni waongo wakubwa, hakuna vita hapo, hao wote lao ni moja.

Nyuma yao yako mambo makubwa yamejificha.
 
Dunia ina mambo sans,watu wanaanzaje kuondoka wakiwa waarabu wanarudi wakiwa Wazungu.yani ukanda wote una waarabu halafu Taifa moja tu ndio lina wazungu-haya ni maajabu.
Hata Afrika mataifa ya waarabu yapo ukanda moja,sasa ilikuwaje kukawa na wazungu katika kati ya Waarabu????
Mwenye uelewa anielemishe jamani.
 
Myahudi wa bonyokwa ushakimbilia ku comment bila kufikiria unacho comment? Nikuulize swali..

Kwani uyahudi ni dini (imani) au rangi?

Kuna waethiopia kibao ambao ni weusi pyu kama wewe na mimi, lakini ni wayahudi. So sioni ajabu kuwa na wayahudi wa kiirani.
vitabu vimewaagiza nini juu ya mayahudi na manaswara?
 
Tatizo watu wanashindwa kutofautisha kati ya raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.
 
Ni lazima tukubali kuwa eneo la mashariki ya kati kuna utajiri sana wa mafuta na gas.
Na sote tunakubaliana kuwa bara la ulaya chanzo cha kuja Afrika na maeneo mengine ilikuwa kutafuta malighafi za viwanda vyao,wao hizo resources zilikusha zamani sana.

Sababu kubwa ya kuwekwa Taifa la Israel hapo,ni kuwavuruga waarabu,maana kama waarabu wakiungana itakuwaje???
 
Myahudi wa bonyokwa ushakimbilia ku comment bila kufikiria unacho comment? Nikuulize swali..

Kwani uyahudi ni dini (imani) au rangi?

Kuna waethiopia kibao ambao ni weusi pyu kama wewe na mimi, lakini ni wayahudi. So sioni ajabu kuwa na wayahudi wa kiirani.
Swali ulilouliza ni la utata mno kwa watu wengi kiuhalisia.

Tofauti na dini na madhehebu mengi yalivyo.

Uyahudi unaenda na vyote ulivyouliza na kuvitolea majibu: dini, kabila na tamaduni. ie: kuna wayahudi wa dini lakini rangi, tamaduni na mataifa tofauti.

Kuna wayahudi wa rangi na taifa, lakini dini tofauti.

Na kuna Wayahudi ambao ni wayahudi wa dini na utaifa.
 
Dunia ina mambo sans,watu wanaanzaje kuondoka wakiwa waarabu wanarudi wakiwa Wazungu.yani ukanda wote una waarabu halafu Taifa moja tu ndio lina wazungu-haya ni maajabu.
Hata Afrika mataifa ya waarabu yapo ukanda moja,sasa ilikuwaje kukawa na wazungu katika kati ya Waarabu????
Mwenye uelewa anielemishe jamani.
Wao wanachukua uyahudi wao toka kwa nani. Kwa mfano mjaluo akioa Msaudia, mtoto akizaliwa kafanana na mama yake kwa nywele na ngozi kwa asilimia kubwa, huyo atakuwa ni Mjaluo ama ni Msaudia??

Huyo mtoto aliyezaliwa akiwa ni wa kiume akienda upande wa mama yake akaoa Msaudia na kuzaa mtoto anayefanana zaidi na mama yake huyo mtoto atakuwa ni mjaluo ama ni Msaudia? Na ikiaendelea hivyo kwa zaidi ya vizazi thelathini, itakuwaje??

Ni Kama leo Barack Obama arudi kwao Ujaluoni na weupe ule, je atakuwa ni mzungu ama mjaluo?
 
Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.

View attachment 2970638
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
 
Sisi waislamu wakisunni mchezo wa Israel na Iran hautusumbui tunajua janja janja yao... Mu-irani ni myahudi aliyepooza.

Kimsingi wanatumia mbinu wanazuoni wa kiislamu wa kisunni wanaiita TAKIYA, yaani kuficha unafki ndani yao na kudhihirisha dini kama njia ya kuiahadaa dunia iamini kuwa wao ni waislamu wa kweli.

Wairani ni waongo wakubwa, hakuna vita hapo, hao wote lao ni moja.

Nyuma yao yako mambo makubwa yamejificha.
Sasa kama Mu Irani ni myahudi aliyepoa inakuwaje Irani wana asili ya kiarabu halafu Wa Israel wa saaa wana asili ya kizungu (whites)????
 
Udugu au uadui haitokei kwa sababu mnafanana au mnatofautiana rangi au muonekano. Na ndio kwa maana hiyo pale Yemen wako waarabu ambao ni wakatoriki kindakindaki kama kule Roman italia Kuna waislamu masalaf wakuzaliwa hasa.

Kuwa Kwao warabu sio passport ya kuwa waislamu, hao wana mawazo yanayoungana mkono dhidi ya uislamu.

Kwa kuwa Kwao na wazo moja dhidi ya uislamu ndio kitu kinachowaweka kwenye kundi moja hata kama watapishana kwenye mawazo gani.
 
Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.

View attachment 2970638
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
cha ajabu nini kama kuna wayemeni wayahudi, wairaq wayahudi nk.

Israel kuna waarabu Milion 1 na kitu waislam ndani ya israel ambao wana uraia wa israel
 
vitabu vimewaagiza nini juu ya mayahudi na manaswara?
Vitabu gani sasa...??

Maana wengine tutakimbilia kuangalia kwenye vitabu vya historia tujue kumeagizwa nini juu ya Wayahudi na hao Manaswara.

Pia hakuna watu wanaitwa Mayahudi. Hicho siyo kiswahili sahihi!!
 
Back
Top Bottom