Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ndiyo nataka kujua sifa za mtu kuwa Myahudi ni zipi. Maana tukizijua hizo ndiyo tunaweza kujua wayahudi hasa ni kina nani!!??Awe na sifa za kiyahudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nataka kujua sifa za mtu kuwa Myahudi ni zipi. Maana tukizijua hizo ndiyo tunaweza kujua wayahudi hasa ni kina nani!!??Awe na sifa za kiyahudi
Kama naishi kati ya Jumuiya ya Ndezi kuwa ndezi si ajabu. Ukiona umeelewa Lugha niliyotumia kuandika nilichoandika, basi wewe jua kuwa ni ndezi mwenzangu.Swali lako huenda likawa la kindezi
Wayahudi wapo Irani kwa zaidi ya miaka 2,500 tangu enzi za Cyrus the GreatKatikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.
View attachment 2970638
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
Wengi wanataka Historia ya wayahudi ianzie mwaka 1948 lilipoanzishwa taifa la Israel.Wayahudi wapo Irani kwa zaidi ya miaka 2,500 tangu enzi za Cyrus the Great
vitabu vimewaagiza nini juu ya mayahudi na manaswara?Myahudi wa bonyokwa ushakimbilia ku comment bila kufikiria unacho comment? Nikuulize swali..
Kwani uyahudi ni dini (imani) au rangi?
Kuna waethiopia kibao ambao ni weusi pyu kama wewe na mimi, lakini ni wayahudi. So sioni ajabu kuwa na wayahudi wa kiirani.
Swali ulilouliza ni la utata mno kwa watu wengi kiuhalisia.Myahudi wa bonyokwa ushakimbilia ku comment bila kufikiria unacho comment? Nikuulize swali..
Kwani uyahudi ni dini (imani) au rangi?
Kuna waethiopia kibao ambao ni weusi pyu kama wewe na mimi, lakini ni wayahudi. So sioni ajabu kuwa na wayahudi wa kiirani.
Wao wanachukua uyahudi wao toka kwa nani. Kwa mfano mjaluo akioa Msaudia, mtoto akizaliwa kafanana na mama yake kwa nywele na ngozi kwa asilimia kubwa, huyo atakuwa ni Mjaluo ama ni Msaudia??Dunia ina mambo sans,watu wanaanzaje kuondoka wakiwa waarabu wanarudi wakiwa Wazungu.yani ukanda wote una waarabu halafu Taifa moja tu ndio lina wazungu-haya ni maajabu.
Hata Afrika mataifa ya waarabu yapo ukanda moja,sasa ilikuwaje kukawa na wazungu katika kati ya Waarabu????
Mwenye uelewa anielemishe jamani.
Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.
View attachment 2970638
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
Sasa kama Mu Irani ni myahudi aliyepoa inakuwaje Irani wana asili ya kiarabu halafu Wa Israel wa saaa wana asili ya kizungu (whites)????Sisi waislamu wakisunni mchezo wa Israel na Iran hautusumbui tunajua janja janja yao... Mu-irani ni myahudi aliyepooza.
Kimsingi wanatumia mbinu wanazuoni wa kiislamu wa kisunni wanaiita TAKIYA, yaani kuficha unafki ndani yao na kudhihirisha dini kama njia ya kuiahadaa dunia iamini kuwa wao ni waislamu wa kweli.
Wairani ni waongo wakubwa, hakuna vita hapo, hao wote lao ni moja.
Nyuma yao yako mambo makubwa yamejificha.
Udugu au uadui haitokei kwa sababu mnafanana au mnatofautiana rangi au muonekano. Na ndio kwa maana hiyo pale Yemen wako waarabu ambao ni wakatoriki kindakindaki kama kule Roman italia Kuna waislamu masalaf wakuzaliwa hasa.Sasa kama Mu Irani ni myahudi aliyepoa inakuwaje Irani wana asili ya kiarabu halafu Wa Israel wa saaa wana asili ya kizungu (whites)????
Picha hiyo ni ya panya, ndezi hana mkia.
cha ajabu nini kama kuna wayemeni wayahudi, wairaq wayahudi nk.Katikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.
View attachment 2970638
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
Vitabu gani sasa...??vitabu vimewaagiza nini juu ya mayahudi na manaswara?
unaandika kwa uchungu kama vile umewai kufika hata IsraelHao ni ndugu kabisa ila wale wazungu pale wakina Netanyau ni watu wa hovyo.