4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hizo ni dalili za kuwehuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo ni dalili za kuwehuka
Sisi waislamu wakisunni mchezo wa Israel na Iran hautusumbui tunajua janja janja yao... Mu-irani ni myahudi aliyepooza.
Kimsingi wanatumia mbinu wanazuoni wa kiislamu wa kisunni wanaiita TAKIYA, yaani kuficha unafki ndani yao na kudhihirisha dini kama njia ya kuiahadaa dunia iamini kuwa wao ni waislamu wa kweli.
Wairani ni waongo wakubwa, hakuna vita hapo, hao wote lao ni moja.
Nyuma yao yako mambo makubwa yamejificha.
Manaswara ndo kina nani tena?vitabu vimewaagiza nini juu ya mayahudi na manaswara?
Basi inaonekana wazi kuwa kina Netanyahu ni wayahudi wa dini, ila kwa upande wa rangi jamaa ni wazungu pyuu.Swali ulilouliza ni la utata mno kwa watu wengi kiuhalisia.
Tofauti na dini na madhehebu mengi yalivyo.
kuna wayahudi wa dini lakini rangi, tamaduni na mataifa tofauti.
Hakuna jew ambae ni black au sio.... ?Hujui chochote,unabwabwaja tu,
Jews is ethnoreligious,
Wayahudi ni kabila lilifongamanishwa na dini. Hakuna Jew ambaye ni black, mzungu, mwarabu, mchina, mjapani n.k
Usichangany
Jifunze kutofautisha Jews na Judaism.
Descendants of tribe of Judah ambaye alikuwa ni mtoto kati ya watoto wa Israel(Jacob) waliotajwa kwenye holy books.Ndiyo nataka kujua sifa za mtu kuwa Myahudi ni zipi. Maana tukizijua hizo ndiyo tunaweza kujua wayahudi hasa ni kina nani!!??
Kwenye Biblia yule Simon Mkrene alikuwa ni mtu mweusi, hata kwenye kitabu cha "Wimbo ulio bora" watu weusi wametajwa. Kwa ivo nadhani siyo sahihi kusema hakuna wayahudi weusi kabla hatujapata hasa maelezo sahihi na ya kina kuonesha Myahudi halisi ni nani hasa.Hakuna jew ambae ni black au sio.... ?
Ili mtu tumuone ni mzungu anatakiwa awaje hasa...???Wazungu na hii rangi yao waliyoipandikiza Mashariki ya kati wamefanikiwa kuwa brainwashed watu wengi, hata wale wanaojiita wasomi wametumbukia katika kundi.
Hao sio wairan pure hao ni Persian Jews wamekua huko miaka mingi sana tofautisha Persian vs Persian Jews na Israel newsHao siyo wayahudi bali ni wa Iran pure kabisa, vizazi vyao vimekaa huko zaidi ya miaka 7000 halafu waseme ni waisraeli kweli? Wayahudi nao wanakwama
Nakazia kwamba si kila Myahudi ni uzao wa Yuda na si kila uzao wa Yuda ni Myahudi. Au nimekuvuruga zaidi?? Ni kwamba kuna Wayahudi (Uzao wa Yuda) ambao wanaabudu dini zingine kabisa na watu wengine wa mataifa mengine kabisa wapo katika dini ya uyahudi.Seth saint mbona Yoda anasema kuna tofauti kati ya Judaisim na Jews??
May be Juda descendants is Jews but not every Jews is Juda descendants.
Maana naona kama bado tunahitaji kupata maelezo ya kujitosheleza hapa.
Yeah tofauti hipo japo kuna mda maneno haya yanatumika kwa pamoja(yani mtu akitaja Jews basi anajua kuna connection na Judaism)Seth saint mbona Yoda anasema kuna tofauti kati ya Judaisim na Jews??
May be Juda descendants is Jews but not every Jews is Juda descendants.
Maana naona kama bado tunahitaji kupata maelezo ya kujitosheleza hapa.
Epuka matapeli, hakuna jew ambaye ni mzungu, black, mwarabu, mchina, mjapani n.k kama vile tu ambavyo hakuna black mzungu au mzungu mwarabu.Hakuna jew ambae ni black au sio.... ?
Wazungu na hii rangi yao waliyoipandikiza Mashariki ya kati wamefanikiwa kuwa brainwashed watu wengi, hata wale wanaojiita wasomi wametumbukia katika kundi.
ndio wanavyoitwaga kwenye koran mkuu mayahudi na wakristo waalnaitwa manaswaraVitabu gani sasa...??
Maana wengine tutakimbilia kuangalia kwenye vitabu vya historia tujue kumeagizwa nini juu ya Wayahudi na hao Manaswara.
Pia hakuna watu wanaitwa Mayahudi. Hicho siyo kiswahili sahihi!!
Kwa Kiswahili ama kwa Kiarabu? Maana lazima iwe lugha rasmi. Sidhani kama kwenye Quran kumeandikwa "Mayahudi" au "Manaswara".ndio wanavyoitwaga kwenye koran mkuu mayahudi na wakristo waalnaitwa manaswara
Nini kinafunya uamini au ufikirie waarabu wangeungana? Nionyeshe miungano mingine yoyote ya maana tofatuini na EU na NATONi lazima tukubali kuwa eneo la mashariki ya kati kuna utajiri sana wa mafuta na gas.
Na sote tunakubaliana kuwa bara la ulaya chanzo cha kuja Afrika na maeneo mengine ilikuwa kutafuta malighafi za viwanda vyao,wao hizo resources zilikusha zamani sana.
Sababu kubwa ya kuwekwa Taifa la Israel hapo,ni kuwavuruga waarabu,maana kama waarabu wakiungana itakuwaje???
Adolf Hitler akifufuka akakuta siku hizi kuna wayahudi weusi, wazungu, waarabu, wajapani na wachina atachanganyikiwa.Hakuna jew ambae ni black au sio.... ?
Wazungu na hii rangi yao waliyoipandikiza Mashariki ya kati wamefanikiwa kuwa brainwashed watu wengi, hata wale wanaojiita wasomi wametumbukia katika kundi.
Unajuaje kama huu ni utapeli wakati hizi dini zinaanzishwa wewe haukuwepo?Epuka matapeli, hakuna jew ambaye ni mzungu, black, mwarabu, mchina, mjapani n.k kama vile tu ambavyo hakuna black mzungu au mzungu mwarabu.
Narudia tena, jifunze tofauti ya Jews na Judaism tena kwa Kingereza kwa Kiswahili utazidi kuchanganyikiwa na kuzidi kukoroga mambo tu.Unajuaje kama huu ni utapeli wakati hizi dini zinaanzishwa wewe haukuwepo?
Kwa Kiswahili ama kwa Kiarabu? Maana lazima iwe lugha rasmi. Sidhani kama kwenye Quran kumeandikwa "Mayahudi" au "Manaswara".
Kama hotujali tuwekee na sura za Quran zinazowaita Wayahudi ni Mayahudi na wakristo ni manaswara...