kuna raia wa nje anaweza kuwa waziri mkuu wa israel? Yaani mzungu kutoka ulaya na amerika akawe waziri israel !Kinachokufanya uamini kuwa kina Netanyahu ni wayahudi typically kama ulivyosema ni nini...
1. Rangi yao?
2. Lugha yao?
3. Au dini yao?
Awe mpolish ama myahudi sisi hatujali ilimradi anapambana na ugaidi bila kuchoka..Mpoland huyo (polish) pale hawaruhusu kupima DNA, wazawa wenyewe wana sheria zao za torat sio democracy View attachment 2970777
Kupambana ugaidiHakika,yule yupo pale kwa kazi maalumu
HaswaWazungu wanazo feeling zao za kwamba ni superior ndio maana hawataki huwachanyie madesa kwenye race yao.
Lakini ndio ukweli wewe kama babu zako au jamaa zako ni race ya watu weusi tulia kubali hauna haja ya kutaka kuji-associate na uzungu kisa eti kuna mchanganyiko wa damu na wazungu
Kwanini isiwezekane mzungu kuwa waziri mkuu Israel?kuna raia wa nje anaweza kuwa waziri mkuu wa israel? Yaani mzungu kutoka ulaya na amerika akawe waziri israel !
Historia yao, ukiweza kumpata Netanyahu anaweza kukupa hata babu yake wa Saba alikuwa nani na walifikaje Russia, Poland.Kinachokufanya uamini kuwa kina Netanyahu ni wayahudi typically kama ulivyosema ni nini...
1. Rangi yao?
2. Lugha yao?
3. Au dini yao?
Huyo ni gaidi anaua watoto kule Gaza.Awe mpolish ama myahudi sisi hatujali ilimradi anapambana na ugaidi bila kuchoka..
Unafananisha dini vs ethnicity au race vitu viwili tofauti kabisa lau ungesema wahindi wa Tanzania wanajivunia Uraia wao kwa asili yao ni uhindi tu ila dini hii ni ya mtu yeyote wa asili yeyote anaweza kuchagua dini yeyote.Aaaa you wish! Ni sawa na kusema wakristo wa zenj,saudia,misri wanajivunia kuwa na uraia wa nchi zao!we know better Madame!
Magaidi wadhibitiwe bila hurumaHuyo ni gaidi anaua watoto kule Gaza.
Ni DNA na siyo rangiUzungu ni nini!!??
Let's say Obama jinsi alivyo, angeoa mzungu pure,mtoto ambaye angezaliwa hapo angekuwa mzungu au mswahili?Uzungu ni nini!!??
Mswahili.Let's say Obama jinsi alivyo, angeoa mzungu pure,mtoto ambaye angezaliwa hapo angekuwa mzungu au mswahili?
Hizi kamba muwe mnaangalia kwa kudanganyia miaka elfu saba ina maana takribani 5000BC hapakuwa na taifa la wayahudi wakati huo.Hao siyo wayahudi bali ni wa Iran pure kabisa, vizazi vyao vimekaa huko zaidi ya miaka 7000 halafu waseme ni waisraeli kweli? Wayahudi nao wanakwama
Aisee..
Ndio mkuu, japo wanajifanya ni dhehebu moja tu.Aisee..
Kumbe waislamu wana madhehebu zaidi ya 70 ?!