Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 4,998
Nashangaa sana na mabo ya hawa jamaa, wao wako busy wanachoma makanisa na kufadhili mihadhara isokuwa na tija wakti wenzao wakomadarasani wanasoma kwa kufuata syllabus ya Wizara ya elimu, wao wako busy na kusoma juu zuu kule madrass wakati wenzao wanajisomea notes za waalimu wao, wao wako busy wanachoma biblia na kuhubiri kuwa Yesu si Mungu wakati wenzao wanafanya masahihisho ya mtihani waloufanya. Halafu wanalalama kuwa hawana imani na Baraza mtihani?
Wakati Waislamu wananunua maspika, maikrofoni na kukodi magari ya kubeba wahubiri kuwathibitishia waja wa Mwenyezi Mungu Subhana wa Taala kuwa Yesu yule Mnazareti siyo Mungu, Wakristo wao wanajenga Chuo Kikuu na kuruhusu wote waende kupata shahada na stashahada pale.Wakati waungwana wanapiga kampeni nchi nzima wakitaka serikali iwaanzishie mahakama yao peke yao kwa ajili ya kuwatatulia migogoro ya mirathi, wakfu na mambo ya talaka, wao Wakristo wanajenga hospitali ya rufaa na kuruhusu yeyote atakaye aende kutibiwa pale.Wakati wengine wanalalamikia serikali kwa kutowajengea barabara, wao Wakristo wanaomba na kupewa maeneo makubwa ya ardhi mbali na barabara huko maporini kwa ajili ya makanisa yao , shule zao za chekechea, msingi na sekondari; seminari zao na vyuo vyao. Narudia huko maporini!Nenda hapa kwa maelezo zaidi http://www.google.co.ke/url?sa=t&rc...-cXQCQ&usg=AFQjCNFdKd83viq3B3pNtvaUPKhwTbzJtw
Wakati Waislamu wananunua maspika, maikrofoni na kukodi magari ya kubeba wahubiri kuwathibitishia waja wa Mwenyezi Mungu Subhana wa Taala kuwa Yesu yule Mnazareti siyo Mungu, Wakristo wao wanajenga Chuo Kikuu na kuruhusu wote waende kupata shahada na stashahada pale.Wakati waungwana wanapiga kampeni nchi nzima wakitaka serikali iwaanzishie mahakama yao peke yao kwa ajili ya kuwatatulia migogoro ya mirathi, wakfu na mambo ya talaka, wao Wakristo wanajenga hospitali ya rufaa na kuruhusu yeyote atakaye aende kutibiwa pale.Wakati wengine wanalalamikia serikali kwa kutowajengea barabara, wao Wakristo wanaomba na kupewa maeneo makubwa ya ardhi mbali na barabara huko maporini kwa ajili ya makanisa yao , shule zao za chekechea, msingi na sekondari; seminari zao na vyuo vyao. Narudia huko maporini!