Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

maccavel

Member
Joined
Jan 17, 2025
Posts
40
Reaction score
76
Wakuu habari za muda huu. Ama kwa hakika ndugu zetu waislam ni watu nafikiri wachunguzwe haswaaa, maana Kuna baadhi ya mambo huwa siwaelewi kabisa

Hivi masheikh ikitokea umeenda hospital na mkeo, alafu ukaenda kufanya kipimo, mkeo ndo anapima, kwa bahati mbaya huo muda daktari wa zamu, anaetakiwa kumfanyia kipimo mkeo,ni kijana wa kiume,tena ni below 22 kabisa, kama tujuavyo kwa baadhi ya vipimo vinahitaji,mavazi maalum au kupunguza baadhi ya mavazi yasiyotakiwa, mfano Brazia zenye vyuma na zipu,au kwa ndugu zetu wenye asili ya uarabu mavazi Yao huwa na urembo Mwingi sana wa kumeta meta, lakini pia baadhi ya wanawake ambao huvaa shanga hutakiwa kuvua, hasa nasemea kwa vipimo vya mionzi.

Sasa bhana katika hali ya kushangaza Leo, sheikh baada ya kuskia daktari aliyepo ni kijana wa kiume, na mkewe anapaswa avue blazia,alafu mbaya zaidi nguo zake za nje nazo zilikuwa na urembo wa kiarabu ule wa kung'aa,Sasa ilipaswa avuliwe, yale mavazi yake, na kuvishwa hospital gown

Yote tisa, wakati kipimo kinaendelea mumewe angekuwa sehemu ya kipimo, lakini kitu Cha kushangaza yule bwana,aliamua warudi nyumbani mkewe akabadilishe mavazi, ndipo waje tena kwa wakati mwingine, kumbuka ni mbali na hospital

Sasa najiuliza,yule bwana alikuwa anaona kumuona kijana huyu amuone mkewe sehemu za uso pamoja na nywele ni dhambi kwa mtume??,

Kinachonishangaza wote ni vijana, mwanaume ni around 30s, na mkewe(ana asili ya uarabu)alikuwa ana above 25s. Au hizi akili zimerithishwa from mababa zao, that's why nashauri waislam tuwapime afya ya akili, Yani huwa naona ni watu waliopagawa

Sasa imagine mnakatazwa kunywa pombe wakati peponi huko mmeahidiwa pombe hadi mtakuwa mnaogelea, Sasa hizi ni akili au Kuna tatizo Mahali kwenye mental thinking capacity.

Ni hayo tu Kwa Leo ndugu zangu waislam,
NB; Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya, ebu badilikeni ndugu zangu
 
Makafiri mnajua hamna akili, kwa sisi waislamu mke ni kitu cha thamani lazima tuwe na wivu na wake zetu, hivyo unavyotaka wewe sisi hatutaki, yaani uachiwe mke wa mtu umchezee kisa ni daktari, halafu uje kumbaka, pumbavu
 
Siamini kama waislam wote wapo hivyo. Linapokuja suala la kuokoa maisha ya mtu, kuna baadhi ya mambo, yawe ya kiimani, kimila unaweka pembeni. Kuokoa maisha linakuwa jambo la kwanza.

Kwenye afya na uhai, mathalani imetokea ajali, abiria wameumia vibaya, wewe kama una ujuzi wa kitabibu, taratibu za kimataifa zinasema kuwa ukimwona majeruhi ambaye amezidiwa na hajitambui, hiyo inakuwa ni automatic submission. Wewe mtaalam unamfanyia chochote unachoona ni sahihi katika kuokoa maisha yake. Haijalishi ni mtoto, mwanamke au mzee. Kama majeruhi au mgonjwa ana fahamu, unatakiwa kujitambulisha kwake kuwa wewe ni mtaalam wa masuala ya afya, unataka kumfanyia jambo hili na hili. Anatakiwa kukubali, akikataa huruhusiwi kumlazimisha.
 
Halafu uwe na adabu ww , tumekatzwa pombe hii kwa sababu inalewesha na kupoteza akili na fahamu, pombe ilioko peponi sio hii ya duniani, punguza ujinga na chuki
 
Makafiri mnajua hamna akili, kwa sisi waislamu mke ni kitu cha thamani lazima tuwe na wivu na wake zetu, hivyo unavyotaka wewe sisi hatutaki, yaani uachiwe mke wa mtu umchezee kisa ni daktari, halafu uje kumbaka, pumbavu
Mkuu nitambaka vipi wakati kipimo kinaendelea na wewe unakuwepo, ebu badilikeni ndugu zangu
 
Haki za mgonjwa zinasemaje kwanza?
Haki ya mgonjwa, anaweza kukataa au kupingq kufanyiwa kipimo, hata hivyo haki yake imesingatiwa,lakini nasemea kiujumla,je ni sahihi?, au ndo kichwan kumejaa tende
 
Sasa wanofaa kupimwa Afya ya Akili ni wale wanouziwa udongo ,chumvi na mafuta ya alizeti kua yanawatibu
Mkuu umeenda mbali sana, tuanze na hili kwanza, mbona kama akili zako zimefungwa ndani ya boksi, muda wote wanaweza urojourojo na tende
 
Wakuu habari za muda huu. Ama kwa hakika ndugu zetu waislam ni watu nafikiri wachunguzwe haswaaa, maana Kuna baadhi ya mambo huwa siwaelewi kabisa

Hivi masheikh ikitokea umeenda hospital na mkeo, alafu ukaenda kufanya kipimo, mkeo ndo anapima, kwa bahati mbaya huo muda daktari wa zamu, anaetakiwa kumfanyia kipimo mkeo,ni kijana wa kiume,tena ni below 22 kabisa, kama tujuavyo kwa baadhi ya vipimo vinahitaji,mavazi maalum au kupunguza baadhi ya mavazi yasiyotakiwa, mfano Brazia zenye vyuma na zipu,au kwa ndugu zetu wenye asili ya uarabu mavazi Yao huwa na urembo Mwingi sana wa kumeta meta, lakini pia baadhi ya wanawake ambao huvaa shanga hutakiwa kuvua, hasa nasemea kwa vipimo vya mionzi.

Sasa bhana katika hali ya kushangaza Leo, sheikh baada ya kuskia daktari aliyepo ni kijana wa kiume, na mkewe anapaswa avue blazia,alafu mbaya zaidi nguo zake za nje nazo zilikuwa na urembo wa kiarabu ule wa kung'aa,Sasa ilipaswa avuliwe, yale mavazi yake, na kuvishwa hospital gown

Yote tisa, wakati kipimo kinaendelea mumewe angekuwa sehemu ya kipimo, lakini kitu Cha kushangaza yule bwana,aliamua warudi nyumbani mkewe akabadilishe mavazi, ndipo waje tena kwa wakati mwingine, kumbuka ni mbali na hospital

Sasa najiuliza,yule bwana alikuwa anaona kumuona kijana huyu amuone mkewe sehemu za uso pamoja na nywele ni dhambi kwa mtume??,

Kinachonishangaza wote ni vijana, mwanaume ni around 30s, na mkewe(ana asili ya uarabu)alikuwa ana above 25s. Au hizi akili zimerithishwa from mababa zao, that's why nashauri waislam tuwapime afya ya akili, Yani huwa naona ni watu waliopagawa

Sasa imagine mnakatazwa kunywa pombe wakati peponi huko mmeahidiwa pombe hadi mtakuwa mnaogelea, Sasa hizi ni akili au Kuna tatizo Mahali kwenye mental thinking capacity.

Ni hayo tu Kwa Leo ndugu zangu waislam,
NB; Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya, ebu badilikeni ndugu zangu
Wewe ***** unawashwa huko nyuma
Mishoga ya kigalatia utaijua tu, hata unavyoandika unaonekana kama umeikalia mshedede wa basha wako.
Unaandika ushoga mtupu
 
Haki ya mgonjwa, anaweza kukataa au kupingq kufanyiwa kipimo, hata hivyo haki yake imesingatiwa,lakini nasemea kiujumla,je ni sahihi?, au ndo kichwan kumejaa tende
Sasa kama haki yake imezingatiwa , tende zinahusikaje mkuu?
Au unadhani haki na z
namna hiyo ziliwekwa kisa wala tende?
 
Aaah mk
Huyu kaona mgonjwa wa kiarabu kachachawa, kataka amvue mtandio aone nywele za singa keshazoea kuona mawigi, halafu alitaka amvue na sidiria na shanga, halafu alitaka atume post kua kala tunda kimasihara, mshenzi sana
Aaaah mkuu, umewaza ushenzi sana, tatizo sio nywele isipokuwa Kuna shida gani mke wako akavuliwa nguo,avishwe hospital gown kipimo kikimalizika anavaa nguo zake, kumbuka muda wote huo na wewe mwenyewe unakuwepo kushuhudia, je Kuna tatizo??
 
Makafiri mnajua hamna akili, kwa sisi waislamu mke ni kitu cha thamani lazima tuwe na wivu na wake zetu, hivyo unavyotaka wewe sisi hatutaki, yaani uachiwe mke wa mtu umchezee kisa ni daktari, halafu uje kumbaka, pumbavu
Mkuu mkeo akiwa na infection sehemu za Siri utamzuia daktari kumkagua? Au kwenye ujauzito utamzuia daktari asione uchi wa mkeo?
 
Siamini kama waislam wote wapo hivyo. Linapokuja suala la kuokoa maisha ya mtu, kuna baadhi ya mambo, yawe ya kiimani, kimila unaweka pembeni. Kuokoa maisha linakuwa jambo la kwanza.

Kwenye afya na uhai, mathalani imetokea ajali, abiria wameumia vibaya, wewe kama una ujuzi wa kitabibu, taratibu za kimataifa zinasema kuwa ukimwona majeruhi ambaye amezidiwa na hajitambui, hiyo inakuwa ni automatic submission. Wewe mtaalam unamfanyia chochote unachoona ni sahihi katika kuokoa maisha yake. Haijalishi ni mtoto, mwanamke au mzee. Kama majeruhi au mgonjwa ana fahamu, unatakiwa kujitambulisha kwake kuwa wewe ni mtaalam wa masuala ya afya, unataka kumfanyia jambo hili na hili. Anatakiwa kukubali, akikataa huruhusiwi kumlazimisha.
Ni sahihi kabisa mkuu, lakini mbona kama hawa ndugu zetu wanazidi mipaka, haya mtu kazidiwa, anaumwa,lakini ushenzi wa mumewe kisa dini anaamua arudi nyumbani, je ni sahihi??
 
Back
Top Bottom