Vitu hupanda kutokana na watu kupenda kula vizuri baada ya kushinda kutwa hawajala so demand inakuwa kubwa wanapigana bei huko huko.Pia bei hupanda kipindi cha ramadhani tu ila KWAREZMA huwa bei iko chini..??
Vile vile bei hizo zinapopanda wakati wa Ramadan wale wanaofunga KWAREZMA hawaathiriki na bei hizo?
Tufunge bila kulalama tupate AFIYA NJEMA
Qaresma nazani mnatumia mwezi huu wa kizungu au siyo?
Nakumbuka waislamu sisi mwakA jana tulikula sikukuu mwezi wa 5 au siyo na kulifunga ramadhani mwezi wa 4,okay sasa tunafunga mwezi wa 3 kwenda wa 4 yaani unasogea mbele au kurudi nyuma pia...
nashukuru kwa ufafanuzi lakini sijaridhika kwakua sijakipata ninachokitafuta kwenye maelezo yenu, yaani issue inayonivuruga mimi nimoja tu, kwamfano sikukuu ya wakristo mfano x-mass ni tar 25 dec(fixe) kila mwaka lakini sikukuu ya Idd inaweza kuwa mwezi wowote ule kwakufuata kalenda yakizungu tena inakua inarotate kwautaratibu flani hivi mfano kama mwaka huu idd itakuwa mwezi wa 4,mwakani itakuwa mwezi wa 3,mwaka kesho kutwa itakuwa mwezi wa 2 e.t.c.....why inakuwa hivi?Mwezi wa kiisilamu una siku 29 ama 30 na mwezi wa Gregorian (calender tunayotumia) una siku 30 ama 31 hivyo kila mwaka kuna siku kadhaa hapo zinatofautiana kama 10 ama 20 hivi,
Jaribu kufanyia kazi haya maandishinashukuru kwa ufafanuzi lakini sijaridhika kwakua sijakipata ninachokitafuta kwenye maelezo yenu, yaani issue inayonivuruga mimi nimoja tu, kwamfano sikukuu ya wakristo mfano x-mass ni tar 25 dec(fixe) kila mwaka lakini sikukuu ya Idd inaweza kuwa mwezi wowote ule kwakufuata kalenda yakizungu tena inakua inarotate kwautaratibu flani hivi mfano kama mwaka huu idd itakuwa mwezi wa 4,mwakani itakuwa mwezi wa 3,mwaka kesho kutwa itakuwa mwezi wa 2 e.t.c.....why inakuwa hivi?
Sababu ipi iliyokufanya uiache Hosea 9 5,wewe ukafuata ya kwako?Vitu hupanda kutokana na watu kupenda kula vizuri baada ya kushinda kutwa hawajala so demand inakuwa kubwa wanapigana bei huko huko.
Mimi nafunga Kwaresma sijabadilisha ratiba yangu ya mlo kilichobadilika ni home nimeagiza waniandalie chai ya maziwa tu tofauti na mwanzo jioni nikinywa chai ya rangi so chochote kinachopikwa nakula naamka naendelea na funga yangu na maisha yanaenda.
Ni mawazo yako sikupingi ila usifosi.Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ys kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo. Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Ooh,kumbe ulitegemea uone watu wamejisinzisha midomo imewakauka miayo mingii huku ikitoa harufu mbaya na wakianza kuulizana swaumu zao zinaendeleaje huku walikula vyakula mpaka saa 10:00 alfajiri?sihitaji kuwasemea kama kuna wanaofunga Kwaresma maana ni kwa imani yao kwa Mungu ila jua watu wanafunga serious kuliko unavyojua au unavyohisi wewe.Kwarezma anafunga nani bna,mapadre wenyewe wanapiga gambe tu,kwarezma hufungua kwa kula futari ya mihogo,viazi nk!?
Huwezi kugoogle nadhalia, kwanza haipo alafu kuna nadhalia zinazoishi na zilizokufa ambazo kuna binadamu wanazitumia.Boss unaenda kwanza kugoogle?
Nimekuwa nakusoma sana humu na hiki kifungu chako ulichokinyofoa katikati ya sura nzima na kutaka upate faida kwa yale unayoyataka wewe ila tambua sina muda wa kupoteza kujadiliana na wewe.
chief kitu chochote kinachohusisha namba huwa kina nisumbua kukielewa kwa harakaJaribu kufanyia kazi haya maandishi
hivyo kila mwaka kuna siku kadhaa hapo zinatofautiana kama 10 ama 20 hivi,
Mkuu mimi si Mwislamu lakini unisamehe nikisema jibu lako liko mbali na hali halisi. Kutazama Mwezi ni chanzo kimojawapo cha sayansi ya kisasa, hasa upande wa kupanga wakati. Waislamu hufuata kalenda ya Mwezi (tofauti na kalenda inayotumiwa na wengi ambayo ni kalenda ya Jua. Kimataifa tunatumia kalenda ya Jua iliyopangwa na Papa Gregori miaka 400 iliyopita).Haya mambo yalipewa kipaumbele huko nyuma kwa sababu watu walikosa majawabu ys kisayansi ya maswali mengi waliyokutana nayo. Hivyo wakaweka salvation/solution yao kwenye supernatural powers and hence the question of God! With modern science where one can get scientific answers to an array of unanswered puzzles, haya madini yote yatakufa kifo cha taratibu!
Acha uongo wewe hizo data umepata wap?uwe unafanya basi kautafiti kidogo kabla ya kuandika
Idadi ya Waumini Duniani wanazidi kuongezeka huku upagani ukizidi kupungua...
Ok katika kalenda ya kiislam siku wala tarehe hazifanani ukilinganisha na kalenda hii ya kawaida tunayo itumiachief kitu chochote kinachohusisha namba huwa kina nisumbua kukielewa kwa haraka
Sasa kwanini mpaka atangaze Mufti kwamba Mwezi umeonekana? Si atuache tuuone wenyewe?Tayari...
Jibu ni hilo hilo ngoja nikuambie kirefu.nashukuru kwa ufafanuzi lakini sijaridhika kwakua sijakipata ninachokitafuta kwenye maelezo yenu, yaani issue inayonivuruga mimi nimoja tu, kwamfano sikukuu ya wakristo mfano x-mass ni tar 25 dec(fixe) kila mwaka lakini sikukuu ya Idd inaweza kuwa mwezi wowote ule kwakufuata kalenda yakizungu tena inakua inarotate kwautaratibu flani hivi mfano kama mwaka huu idd itakuwa mwezi wa 4,mwakani itakuwa mwezi wa 3,mwaka kesho kutwa itakuwa mwezi wa 2 e.t.c.....why inakuwa hivi?
Me kwa jinsi nilivomuelewa anashangaa kwa nini Idi mara hii iwe january mara nyingine iwe may, yani inaangukia miezi tofauti tofauti ukilinganisha na Chrismass kwa mfano ambayo inajulikana kwamba ikifika 28 Dec ni siku ya ChirsmassJibu ni hilo hilo ngoja nikuambie kirefu.
Mwaka wa kiisilamu una siku 354 ama 355..
Toa takwimu za idadi ya Waislam Duniani kwa miaka 50 iliyopita na idadi yao kwa sasa, tuanzie hapoAcha uongo wewe hizo data umepata wap?
Kwa taarifa yako, watu wasioamini hizi nadharia zenu za kutunga kama muwaitavyo wapagani, wanaongezeka kwa kasi kuliko idadi ya wanaoongezeka ktk dini, unajua kwanini...
Kuna ChatGPT siku hizi, kitu kinaseleleka balaa!Boss unaenda kwanza kugoogle?