Waislam Pemba Waandamana Kanisa Lisijengwe Pemba

hii video ya kitambo kidogo ila inaendelea kutuonyesh ndugu zetu wasivyo na akili vy kuletew vinatugombanisha..... fikiri huko uarabuni kwenyewe kuna makanisa kibao.... wanaelewa dunia lazima tuchangamane.......
 
na hapo ndipo mnapodanganywa unaposema tanzagiza siyo nchi ya kidini unamaanisha nini? kwa nini kiapo cha raisi wa tanzagiza huishia na “ewe Mwenyezi Mungu nisaidie”, kwa
nini bunge la tanzagiza huanza kwa sala? kwa nini wimbo wa taifa wa tanzagiza una neno “Mungu ibariki …” ?

aliyewambia tanzagiza haina dini amewadanganya na nyie mkajaa, > 85% ya watanzagiza ni aidha Wakristo au Waislamu.

hivyo you are in denial, nilichomaanisha ni kwamba katiba iruhusu watu dini xyz kujitenga na kuwa eneo lao kupractice dini yao bila ya kuingiliwa, mfano kama mimi ni Mkristo na wilaya, kata au tarafa yangu >98% ni Wakristo basi tuwe na haki ya kuishi na kupractice Christian way life na kama ikiwa ni muslim pia vivyo hivyo au unafikiri kwa nini waislamu walivunja mabucha ya nguruwe kipindi cha nyuma? ni kwa sababu kihistoria hayo maeneo yalikuwa ni predominantly makazi ya waislamu kwa nini ukajenge mabucha ya nguruwe wakati unajua uislamu hauruhusu? hivyo kwangu katiba iruhusu sehemu ambapo kama majority ni waislamu wawe na haki kuishi kiislamu kama wakipenda na ambapo majority ni Christians pia wapractice Christian way of life wanaotaka kuchanganyika pia kuna maeneo wanaoweza kuchanganyika na kuishi ufuska na ushenzi wao pia.

punchline: katiba iruhusu kujitenga! …
Hivi kujengwa kanisa na wewe kwenda kuswali msikitini unazuiwa ku"practice" imani yako.

Hivi unataka watu wa imani nyingine wasiishi Zanzibar. Moyo wa Uislamu ni wa ubinafsi sana, unadhihirisha jinsi walivyo.

Mbona unaandika bila kutulia. Kama ni nchi ya dini Fulani na Tanzania Haina dini, mbona Kuna mgongano mkubwa wa katiba hapa.
Naona ile Tanganyika yetu na sisi tufanye maamuzi kama Watanganyika
Ukweli hali kama hii inaumiza sana. Hivi wanasiasa wa Tanganyika hawaoni aina hii ya muungano huu ni batili
 
hivyo you are in denial, nilichomaanisha ni kwamba katiba iruhusu watu dini xyz kujitenga na kuwa eneo lao kupractice dini yao bila ya kuingiliwa, mfano kama mimi ni Mkristo na wilaya, kata au tarafa yangu >98% ni Wakristo basi tuwe na haki ya kuishi na kupractice Christian way life na kama ikiwa ni muslim pia hivyo hivyo au unafikiri kwa nini waislamu walivunja mabucha ya nguruwe kipindi cha nyuma? ni kwa sababu kihistoria hayo maeneo yalikuwa ni prediminantly makazi ya waislamu kwa nini ukajengw mabucha ya nguruwr wakati unajua uislamu hauruhusu? hivy kwangu katiba iruhusu sehemu ambapo majority ni waislamu waishi kiislamu kama wakipenda na ambapo majority ni Christians pia practice Christian way of life wanaotaka kuchanganyika pia kuna maeneo wanaoweza kuchanganyika na kuishi ufuska na ushenzi wao pia …
Wananchi wana Dini lakini hii sio nchi ya kidini... hili nchi iwe ya kidini lazima kuwe na sheria zinazofungamana na Dini moja tu... kama sheria za nchi hazifungamani na upande wowote wa Dini, basi hii sio nchi ya Dini, la sivyo Rais angekuwa ni wa Dini fulani tu.... hii nchi hakuna mtu anazuiwa kutokuabudu Dini yake, hata uwe unaabudu mizimu unaruhusiwa cha msingi tu hisivunje sheria za nchi. Hii nchi kuna Wahindi ambao ni watanzania, na ni Wahindu kidini, kuna wapagani, na

Uwezi kusema eneo hili liwe na wakristu tu na eneo hilo liwe la Waislamu tu huo ni uongo... Dini hizi ndio zimekuta watu kwenye maeneo yao ya asili, watu hawajazikuta dini... ndio maana ni rahisi kusema eneo hili ni la kabila fulani na sio kusema eneo hili ni la Dini fulani... hizi Dini ni tamaduni za Waarabu na Wazungu, na zililetwa tu Tanzania zinakutana na watu tayari wana Dini zao zenye tamaduni zao kwenye makabila yao ndani ya maeneo yao. Mbona haulilii kwamba maeneo fulani watu wa kabila jingine wasijenge, mfano mbona hausemi Wachaga wasijenge Dar es Salaam kwa sababu sio maeneo yao ni ya wazaramo. Lakini unasema wakristo wasijenge kwa Waislamu, mbona uwakatai watu kwa makabila yao ambayo kimsingi ndio yalianza kuwepo kabla hata ya Dini zilizokuja na parachuti. Dini Dini za Waarabu na Wakristo zitenganishe utaifa wetu au utamaduni wetu ambao ulikuwepo hata kabla ya hizi Dini

Yani ni sawa na hapo kwenu nije mimi na msela wangu, tugawane vyumba kwenye nyuma yenu alafu tuseme mdogo wako mmoja alale kwangu kwenye chumba mlichonipatia na mwingine alale kwa msela wangu wasiingiliane. Tunakuja kwenye na kuwagawanisha ndugu zako. Wewe unaona hiyo ni sawa?

Hapo Zanzibar kuna Wapemba ambao kiasili mababu zao wamezaliwa kijiji kimoja ila wakawa na Dini tofauti kutokana na mzee mmoja aliishi na wazungu akawa Mkristo na Mzee mwingine aliishi na Waarabu akawa muislamu, wajukuu zao mpaka sasa wanakaa eneo hilohilo, kwa mantiki ya hoja yako ya kutenga watu kwa Dini zao, unahisi Hapo ukoo wa Dini gani utabidi uachie eneo hili ukoo wa Dini nyingine utawale, kumbuka hawa wote ni kabila moja kasoro Dini! Hapo ndio uhasama wa kidini uanza

Hata huku Bara kuna familia moja ina Dini mbili, nani amiliki eneo la ukoo na nani aache kwa mujibu wa kutengana kidini... Unakuta Ukoo ni mmoja ila Baba mdogo muislamu na baba mkubwa mkristo na hao wote ni kabila moja wanaishi kwenye eneo moja la ukoo wa babu yao ambaye hakuwa na dini au aliabudi mizimu, hawa wajukuu watatenganaje... hapo ndipo vifaa za kidini uanza... watu wa dini gani waondoke kwenye mkoa huo hili Dini fulani iwe na uhuru, mfano Mwanza pale wilayani Magu, wasukuma wa duni gani waachie wilaya ya Magu hili wasukuma wengine waabudu, kumbuka wengine humo humo ni ndugu lakini Dini tofauti
 
na hapo ndipo mnapodanganywa unaposema tanzagiza siyo nchi ya kidini unamaanisha nini? kwa nini kiapo cha raisi wa tanzagiza huishia na “ewe Mwenyezi Mungu nisaidie”, kwa
nini bunge la tanzagiza huanza kwa sala? kwa nini wimbo wa taifa wa tanzagiza una neno “Mungu ibariki …” ?

aliyewambia tanzagiza haina dini amewadanganya na nyie mkajaa, > 85% ya watanzagiza ni aidha Wakristo au Waislamu.

hivyo you are in denial, nilichomaanisha ni kwamba katiba iruhusu watu dini xyz kujitenga na kuwa eneo lao kupractice dini yao bila ya kuingiliwa, mfano kama mimi ni Mkristo na wilaya, kata au tarafa yangu >98% ni Wakristo basi tuwe na haki ya kuishi na kupractice Christian way life na kama ikiwa ni muslim pia vivyo hivyo au unafikiri kwa nini waislamu walivunja mabucha ya nguruwe kipindi cha nyuma? ni kwa sababu kihistoria hayo maeneo yalikuwa ni predominantly makazi ya waislamu kwa nini ukajenge mabucha ya nguruwe wakati unajua uislamu hauruhusu? hivyo kwangu katiba iruhusu sehemu ambapo kama majority ni waislamu wawe na haki kuishi kiislamu kama wakipenda na ambapo majority ni Christians pia wapractice Christian way of life wanaotaka kuchanganyika pia kuna maeneo wanaoweza kuchanganyika na kuishi ufuska na ushenzi wao pia.

punchline: katiba iruhusu kujitenga! …
Si Sawa. Lengo la kujitenga ni iwe nini haswa mwisho wa siku ambacho kitashindikana kukiwa hamna kujitenga?
 
Ukisikia neno Mungu unaelewa nn?

Mababu zetu waliokuwa wanaabudu sanamu na miti, kwahy hy sio sala?
 
Hivi kujengwa kanisa na wewe kwenda kuswali msikitini unazuiwa ku"practice" imani yako.

Hivi unataka watu wa imani nyingine wasiishi Zanzibar. Moyo wa Uislamu ni wa ubinafsi sana, unadhihirisha jinsi walivyo.

Mbona unaandika bila kutulia. Kama ni nchi ya dini Fulani na Tanzania Haina dini, mbona Kuna mgongano mkubwa wa katiba hapa.
Naona ile Tanganyika yetu na sisi tufanye maamuzi kama Watanganyika
Ukweli hali kama hii inaumiza sana. Hivi wanasiasa wa Tanganyika hawaoni aina hii ya muungano huu ni batili

kujenga Kanisa au Msikiti mahali maana yake ni kueneza Ukristo au uislamu ktk hilo eneo kwa gharama ya Wakristo au Waislamu wa hilo eneo, haijawahi kuwa tofauti na hivyo kihistoria tangia uwepo wa dini, mimi kama ninaishi kwenye kata au tarafa ambayo >98% ya wakazi ni Christians na wanapractice Christian way of life ujenzi wa Msikiti kwenye hiyo tarafa au kata yangu nitaona kama tishio la Ukristo moja kwa moja na nina haki ya kupinga …
 
Wananchi wana Dini lakini hii sio nchi ya kidini... hili nchi iwe ya kidini lazima kuwe na sheria zinazofungamana na Dini moja tu... kama sheria za nchi hazifungamani na upande wowote wa Dini, basi hii sio nchi ya Dini, la sivyo Rais angekuwa ni wa Dini fulani tu.... hii nchi hakuna mtu anazuiwa kutokuabudu Dini yake, hata uwe unaabudu mizimu unaruhusiwa cha msingi tu hisivunje sheria za nchi. Hii nchi kuna Wahindi ambao ni watanzania, na ni Wahindu kidini, kuna wapagani, na

Uwezi kusema eneo hili liwe na wakristu tu na eneo hilo liwe la Waislamu tu huo ni uongo... Dini hizi ndio zimekuta watu kwenye maeneo yao ya asili, watu hawajazikuta dini... ndio maana ni rahisi kusema eneo hili ni la kabila fulani na sio kusema eneo hili ni la Dini fulani... hizi Dini ni tamaduni za Waarabu na Wazungu, na zililetwa tu Tanzania zinakutana na watu tayari wana Dini zao zenye tamaduni zao kwenye makabila yao ndani ya maeneo yao. Mbona haulilii kwamba maeneo fulani watu wa kabila jingine wasijenge, mfano mbona hausemi Wachaga wasijenge Dar es Salaam kwa sababu sio maeneo yao ni ya wazaramo. Lakini unasema wakristo wasijenge kwa Waislamu, mbona uwakatai watu kwa makabila yao ambayo kimsingi ndio yalianza kuwepo kabla hata ya Dini zilizokuja na parachuti. Dini Dini za Waarabu na Wakristo zitenganishe utaifa wetu au utamaduni wetu ambao ulikuwepo hata kabla ya hizi Dini

Yani ni sawa na hapo kwenu nije mimi na msela wangu, tugawane vyumba kwenye nyuma yenu alafu tuseme mdogo wako mmoja alale kwangu kwenye chumba mlichonipatia na mwingine alale kwa msela wangu wasiingiliane. Tunakuja kwenye na kuwagawanisha ndugu zako. Wewe unaona hiyo ni sawa?

Hapo Zanzibar kuna Wapemba ambao kiasili mababu zao wamezaliwa kijiji kimoja ila wakawa na Dini tofauti kutokana na mzee mmoja aliishi na wazungu akawa Mkristo na Mzee mwingine aliishi na Waarabu akawa muislamu, wajukuu zao mpaka sasa wanakaa eneo hilohilo, kwa mantiki ya hoja yako ya kutenga watu kwa Dini zao, unahisi Hapo ukoo wa Dini gani utabidi uachie eneo hili ukoo wa Dini nyingine utawale, kumbuka hawa wote ni kabila moja kasoro Dini! Hapo ndio uhasama wa kidini uanza

Hata huku Bara kuna familia moja ina Dini mbili, nani amiliki eneo la ukoo na nani aache kwa mujibu wa kutengana kidini... Unakuta Ukoo ni mmoja ila Baba mdogo muislamu na baba mkubwa mkristo na hao wote ni kabila moja wanaishi kwenye eneo moja la ukoo wa babu yao ambaye hakuwa na dini au aliabudi mizimu, hawa wajukuu watatenganaje... hapo ndipo vifaa za kidini uanza... watu wa dini gani waondoke kwenye mkoa huo hili Dini fulani iwe na uhuru, mfano Mwanza pale wilayani Magu, wasukuma wa duni gani waachie wilaya ya Magu hili wasukuma wengine waabudu, kumbuka wengine humo humo ni ndugu lakini Dini tofauti

nani kakudanganya kwamba sheria za tanzagiza hazifungamani na dini? chimbuko la sheria za tanzagiza english legal system ambayo ni Christian au ina Christian influence, ndiyo maana nikasema mnadanganywa sana ili waweze kuwatawala kirahisi …
 
Si Sawa. Lengo la kujitenga ni iwe nini haswa mwisho wa siku ambacho kitashindikana kukiwa hamna kujitenga?

kujitenga maana yake siyo kujiondoa sehemu ya tanzagiza la hasha, bali ni kuwa na uhuru wa kupractice na kuishi imani yako lkn bado unabakia kuwa sehemu ya tanzagiza, nimetoa mfano wa waislamu kuna tofauti kubwa kimtazamo wa kimaisha na Christianity mfano mdogo tu nguruwe sasa kwa nini katiba isuruhu wajitenge wawe na maeneo yao waishi kiislamu ? kwa maana ya supermarket, bucha zao sijui halali, uchinjaji wao etc na Christians nao kuna ambao wanapenda kuishi kwa kufwata amri 10 za Mungu kama way of life yao sasa kwa nini Katiba isiruhusu wajitenge na secular ?
 
Zanzibar ni nchi inayoogelea kwenye umaskini wa kutupwa! Ni bora wangekubali wakawa mojawapo ya mikoa ya Tanzania.
 
Dah
Sasa naelewa kwanini watu huwaita Kobazi. Kanisa likijengwa linakuwa na athari gani kwao. Wao dini yao si ni uyya haki? 😀
Waarabu walikuja na jambo ambalo walitakiwa kulifafanua na sio kukaririwa tu
 
na hapo ndipo mnapodanganywa unaposema tanzagiza siyo nchi ya kidini unamaanisha nini? kwa nini kiapo cha raisi wa tanzagiza huishia na “ewe Mwenyezi Mungu nisaidie”, kwa
nini bunge la tanzagiza huanza kwa sala? kwa nini wimbo wa taifa wa tanzagiza una neno “Mungu ibariki …” ?

aliyewambia tanzagiza haina dini amewadanganya na nyie mkajaa, > 85% ya watanzagiza ni aidha Wakristo au Waislamu.

hivyo you are in denial, nilichomaanisha ni kwamba katiba iruhusu watu dini xyz kujitenga na kuwa eneo lao kupractice dini yao bila ya kuingiliwa, mfano kama mimi ni Mkristo na wilaya, kata au tarafa yangu >98% ni Wakristo basi tuwe na haki ya kuishi na kupractice Christian way life na kama ikiwa ni muslim pia vivyo hivyo au unafikiri kwa nini waislamu walivunja mabucha ya nguruwe kipindi cha nyuma? ni kwa sababu kihistoria hayo maeneo yalikuwa ni predominantly makazi ya waislamu kwa nini ukajenge mabucha ya nguruwe wakati unajua uislamu hauruhusu? hivyo kwangu katiba iruhusu sehemu ambapo kama majority ni waislamu wawe na haki kuishi kiislamu kama wakipenda na ambapo majority ni Christians pia wapractice Christian way of life wanaotaka kuchanganyika pia kuna maeneo wanaoweza kuchanganyika na kuishi ufuska na ushenzi wao pia.

punchline: katiba iruhusu kujitenga! …
😂😂😂Wavaa kobazi akili zenu bn sasa wimbo wa taifa kuwa na neno mungu ndo inaifanya nchi kuwa ya kidini!? Unashndwa kutofautisha dini na mungu!? Au kwenye wimbo wa taifa umeskia kuna sehemu wamemtaja alah au jehova!? Muwage mnajifunza kuficha ujinga....
 
Unamjengea nani hilo kanisa huko Pemba. Waumini wa kanisa ni zero labda huyo kasisi peke yake ?
Na kanisa la madhehebu gani ? kama haya ya kitapeli ndio hayatakiwi kabisaaa.
Waacheni wapemba
 
Back
Top Bottom