desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Mbona Zanzibar ndo mnaongoza kufirimbwaHatutaki ukafiri na ushoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Zanzibar ndo mnaongoza kufirimbwaHatutaki ukafiri na ushoga
Utajua wewe hayo mengine.
Njia ni mbili tu,kusilimu au kuwa chini ya uislamMkuu je nikiamua kuacha kula nguruwe na kuwa mchamungu ndani ya imani yangu ya kirasta bado mtanihesabia kama kafir au mtaamua kunisamehe?
Naam na ndio maana ulaya na America na popote palipo makanisa ndipo kwenye viwango vikubwa vya Mambo Kama uzinzi,ujambazi,,madawa ya kulevya,wizi,dhuluma,ukimwi,ulevi na kila Aina ya mabaya
Njoo hata hapa Tanzania,mikoa yenye makanisa mengi Kama Mbeya,Njombe,Arusha, Kilimanjaro n.k ndiyo yenye viwango vikubwa vya cases za mauaji,Ubakaji, Ujambazi,Ukimwi,uchuna ngozi,uchawi,wizi, dhuluma na mengineyo
Kwa hiyo tukusaidiaje?
Basi tena mkuu sina namna ngoja niendelee na ukafir kwa maana hiyo uliyomaanisha.Njia ni mbili tu,kusilimu au kuwa chini ya uislam
Ungetoa jibu
Mbona waliojazana bara hawapigi hizi kelele za kuita wenzao ma- kafir?Hatutaki ukafiri na ushoga
Just save this comment, u are going to regret sooner or later...Aisee!!
Halafu ndugu zetu waislam hizi Habari za vipaza sauti sa10 usiku nashauri muachane nazo, zinatupa usumbufu mkubwa.
Sikuizi kuna alarm kwenye simu hata ya 20,000 mtu mwenye imani ya kweli ataamka tu kuswali.
Hii style nahisi ilitumika kuwajuza watu muda wa swala wakati ambao technology ilikuwa ya kiwango cha chini tusiifanye ikawa ndo utaratibu wa dini.
Maisha magumu mtu unachelewa kulala ile unajigeuza kidogo umalizie ka usingizi kako, mara ghafla kelele na usingizi unaishia hapo.
Acha wazuie tu, kwani ni hasara tupu, we unataka kuniambia akina nani watasali humo? Wote kule wanajuana akina Ally Makame, Abuubakar Mkojani, Ame Usi, Abdul wahabi, Husna Rajab, Asnat Shufaa, Suleman Kombo, ha ha ha ha ha ha!Kama mnavyoona na na kusikia.
Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.
By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.
Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
View attachment 2381744
Pamoja na weakness zote ulizotaja lakini bado wana uhuru wa kuamini wanachoamini na kuabudu au hawana??Nawashangaa sana ndugu zangu wakristo, Wengi wenu mmesoma mpaka vitabu vimewakimbia but at the end unashindwa kabisa kufikirisha ubongo kidogo tu kuhusu Imani Yako...Uongo wa dhahiri kabisa, just imagine mtu anaamini mafuta yatamponya, anamwamini mchungaji anaetumia mbinu za kishirikina. Ona waumini mavazi wanayovaa wanavoingia ktk ibada..hivi kweli kutakuwa na uwepo wa Mungu mahali ambapo watu wanaingia na vimini? Watu wamejipodoa kama wanasesere, watu wanatongozana humo, very stupid, maandiko yenyewe ya biblia uwongo uwongo mtupu. How can you believe that Issa (Yesu ni Mungu?). Yani ni very stupid people.
Huwa najiuliza hata ulaya nao huwa wanaweka maspika kama hayoAisee!!
Halafu ndugu zetu waislam hizi Habari za vipaza sauti sa10 usiku nashauri muachane nazo, zinatupa usumbufu mkubwa.
Sikuizi kuna alarm kwenye simu hata ya 20,000 mtu mwenye imani ya kweli ataamka tu kuswali.
Hii style nahisi ilitumika kuwajuza watu muda wa swala wakati ambao technology ilikuwa ya kiwango cha chini tusiifanye ikawa ndo utaratibu wa dini.
Maisha magumu mtu unachelewa kulala ile unajigeuza kidogo umalizie ka usingizi kako, mara ghafla kelele na usingizi unaishia hapo.
Yule padri mffiraji mbona yupo huru piaTulionya juu ya kuwaachia huru wale mashehe magaidi..stay tune more worse to come.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani lazima mkajenge makanisa pemba?wanahofia watoto zao wasije wakalawitiwa na mmappadriZenj kawaida, Kuna wahafidhina kule wakiona mkristo, au kuusikia nyimbo za kikristo, wanachanganyikiwa hatari, mpaka Unajiuliza kama Mungu wao wanayemuabudu ana nguvu kama wanavyosema kwanini hawapendi apingwe au maandishi yake yahojiwe?
Ila Hawa jamaa ni wanafiki sana, wapo tayari kuvumilia, ufuska unaofanywa na wanawake wao kwenye magesti wakiwa wamevaa hijabu,matamasha ya mashoga, ulawiti nk, lakini wasisikie jina la kikristo tu.
Kwani hiyo mathew inasemaje? Maana wewe ndo umeiweka hapaTusichoshane kwani mimi ndiye niliyenukuu na kusema hii ni biblia ya TZ ?
Jee ulinukuu kutoka biblia ipi ?? Hivi sikukuwekea Mathew 19:10-12