Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Haha hakuna dini fukara kama hiyo.
Pitia mikoa ya waishio waialam utalijua hilo anza Tanga hadi mtwara, singida, Tabora nk
Si ndiyo Magufuli akamteka Mo au vipi ?
 
Hiyo ni Rank ya Kitaifa na ya kidunia??? Kweli akili yenu inaishia kuona msikitini na mipaka ya TZ tu

Kwanza hao unaowasifia kuwa Matajiri sio Wabantu kama wewe wenye nywele ngumu na pua pana kama ngumi

Sasa badala umsifie Reginald Mengi mtanzania halisi na Mbantu aliyekuwa tajiri haswa unawasifia Watu wenye asili ya Asia kisa ni Waislam ndio maana mnaolewa nao.
Tuliwaona kwenye Escro Hao matajiri wabantu
 
Mambo yakishoga zenji yapelekwe huko mara ngapi..waarabu walishagamaliza kazi kuhusu hilo la ushoga labda mnatake version nyingine ya ushoga.

#MaendeleoHayanaChama
Kwani ulipokuja zenj ulifanywa shoga?
 
Waislamu ni watu wa kuvumiliwa, kulindwa, kusaidiwa na kuongozwa.

Wakibaki wenyewe kama wenyewe ni vurugu tupu na umasikini. Mifano Somalia, Afghanistan, Pakistan, Iran. Ukanda wa pwani.
Ulisahau Ukraina, Haiti, Congo, Ireland, Venezuela, Mexico,
 
Za huyu mtu mliyempa uungu kumbe alikuwa na mke

Waafrika akili zetu niza kipumbafu sana..yani tunapigania dini za washenzi waarabu na wazungu ambazo zinaleta utengano baina yetu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nyani haoni kun.... View attachment 2383112

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo ni msikitini mmebakia kusema hata warabu na wapemba wanafanya michezo michafu hatujakataa wanafanya ila hawamlazimishi mtu kufanya wao kama wanafanya ni wao wenyewe ila wazungu wanawalazimisha wachezaji wavae bendera za kusapoti ushoga na makanisani wanafungisha ndoa na mpaka wanaandamana eti haki zao zimeingiliwa haki zote hizi hamjaziona mpaka mtoe mtaro hyo dini au kikundi cha wahuni tu
 
We siumesema zaman waliishi miaka mingi? Ndiyo nmekusahihisha kuwa hiyo ni myth sio ukweli.

Kuhusu physique pia sio kweli.
Sikuizi ndio watoto wanawahi kupevuka kwasababu za vyakula tunavyokula.

ila zamani, tena sio zamani sana miaka 50 kurudi nyuma (kabla ya mbolea za kizungu, kuku wa kizungu, Madawa ya kizungu, mbegu za kizungu) watu walikuwa wanachelewa sana kupevuka.
Bibi zetu walivunja ungo na miaka 14-16
ila sikuizi ni miaka 9-13
Uliona yale makaburi ya watu wa zamani kule Egypt walirusha BBC kwenye taarifa zao yaani unaongea vitu hata uvijui ilimradi na ww umo ndo maana nikakwambia acha uongo mkuu tafuta ukweli
 
Waislamu siasa kali huwa harakati zao zinakuwa juu mno Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akiwa muislamu wamesumbua sana kipindi cha Mwinyi na Kikwete yaani Raisi Samia naye ajiandae ndio wanaanza hivyo mwendo mdogo mdogo

Mwinyi walimtandika hadi makofi kwenye hafla ya kiislamu
Wamewalea vibaya.Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na Samaki umkunje angali mbichi.
 
Uliona yale makaburi ya watu wa zamani kule Egypt walirusha BBC kwenye taarifa zao yaani unaongea vitu hata uvijui ilimradi na ww umo ndo maana nikakwambia acha uongo mkuu tafuta ukweli
Yale makaburi yamefanyaje? Tupe elimu
 
Kwa kawaida ACT wazalendo kupitia Wasemaji wa kisekta wamekuwa na utaratibu mzuri wa kuhoji kupitia media pale inapotokea sintofahamu kwenye sekta husika

Nimeshangazwa na ukimya Wao juu ya maandamano ya kuzuia Ujenzi wa Kanisa huko Pemba yaliyofanywa na Jamii ya Waislamu

cc: Abdul Nondo - Kwa taarifa
 
Udini ni ushetani ulioletwa na waliotuletea Dini..upuuzi mtupu.Mtu akiwa mdini muogope saaana .
 
Zitto alisema hakemei tena labda mtawala awe kama Mimi JOSHUA KOMANDO
 
Back
Top Bottom