Waislam tuache kupambana na TEC,mbaya wetu huyu hapa

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
655
Reaction score
1,069
Kama tutaitafuta jamii iliyoonewa/inayoonewa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (Zaidi Tanganyika) basi ni Waislamu. Waonevu ni Serikali ya CCM. Ajabu ccm wanapofanya madudu yao huwatumia Waislamu kutaka kujitakatisha kwa uchafu wao. Ajabu zaidi Waislamu bado hawajakitegua kitendawili hichi. Wakirsto hupewa misamaha ya KODI kwa mabilioni Waislamu huhitaji msamaha wa KODI kwa makontena ya tende. Kama kuna ziada ni michango ya Maulidi na mahudhurio ya viongozi wa Serikali kwenye sherehe hizo.

Halafu bado tunawalaumu wengine kwa makosa yetu wenyewe. Kama hujafahamu ujumbe huu rudia kuusoma tena na tena ukishindwa omba msaada kwa jirani.

“Ikiwa hujui unasumbuliwa na nini hata Qur-an haitokutibu”
 
Wanakuja mkuu
 
We jamaa toka juzi unaandika upuuzi tuu

Unailaumu CCM usikute ww nyumba yako tu inakushinda
Halafu usiitumie Qur-an kwenye kuwasilisha upuuzi wako mana toka juzi nakuona unaandika pumba tu hapa

Inaonesha ww ni mpungufu katika dini ndo mna ukaandika haya uloyaandika
 
Ni shida sana kuhangaika na mtu asiye na elimu na asiyekubali kuelimishwa.
 
Mtumwa wa Waarabu umegadhabika
 
Wewe ndie mpuuzi wa kweli, hujajibu hoja hata moja juu ya yale anayozungumza toka hiyo juzi, badala yake umekurupuka na kuamua kumshambulia yeye binafsi.

Bila shaka wewe ndie mfano wa lile kundi la wajinga huko kwenu analolizungumzia, ndio maana unaumia kwa ukweli anaokwambia.
 
Huu uzi ni waislamu versus CCM (Chama Cha Mafisi)

Naomba wachangia mada wasitoke kwenye lengo, ukageuka kuwa ni waislamu versus wakristo au Kanisa Katoliki au TEC
 
Huyu jamaa ni mchaga wa ChAdeMa anajifanya Muislam. Apuuzwe!
 
Wewe huna Uislam wowote. Wewe ni mnafiki tu unaejifanya Muislam.

Ni walewale tu.
 
Sidhani hata kama wanakuelewa.
 
Aliyewafunga masheikh wa uamsho ni Kikwete muislamu

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Hapa umenena.
Ikiwa hujui unasumbuliwa na nini hata Qur-an haitokutibu”
Katika hili, kwa maoni yangu, si sahihi
[/ATTACH]
 

Attachments

  • Screenshot_20230826-090002.jpg
    41.5 KB · Views: 2
Yaliyomkuta TEC ni kama mtoto anayedekezwa sana ktk familia. Ikitokea Baba akimchenjia wanafamilia wote ni full kukandamizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…