Waislam tuache kupambana na TEC,mbaya wetu huyu hapa

Waislam tuache kupambana na TEC,mbaya wetu huyu hapa

We jamaa toka juzi unaandika upuuzi tuu

Unailaumu CCM usikute ww nyumba yako tu inakushinda
Halafu usiitumie Qur-an kwenye kuwasilisha upuuzi wako mana toka juzi nakuona unaandika pumba tu hapa

Inaonesha ww ni mpungufu katika dini ndo mna ukaandika haya uloyaandika
Du mwenzangu mi nimepembua no pumba Kuna vichuya kidogo tu sijui mwenzangu unatumia ungo wa aina gani?😂😂😂😂😂
 
Kama tutaitafuta jamii iliyoonewa/inayoonewa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (Zaidi Tanganyika) basi ni Waislamu. Waonevu ni Serikali ya CCM. Ajabu ccm wanapofanya madudu yao huwatumia Waislamu kutaka kujitakatisha kwa uchafu wao. Ajabu zaidi Waislamu bado hawajakitegua kitendawili hichi. Wakirsto hupewa misamaha ya KODI kwa mabilioni Waislamu huhitaji msamaha wa KODI kwa makontena ya tende. Kama kuna ziada ni michango ya Maulidi na mahudhurio ya viongozi wa Serikali kwenye sherehe hizo.

Halafu bado tunawalaumu wengine kwa makosa yetu wenyewe. Kama hujafahamu ujumbe huu rudia kuusoma tena na tena ukishindwa omba msaada kwa jirani.

“Ikiwa hujui unasumbuliwa na nini hata Qur-an haitokutibu”
Kuangaika na mtu asiye na elimu ni shughuli maana uwezo wake wa kufikiri ni mdogo
 
😁😁sifa ya kwanza ya kuwa muislam kwanza,lazima uwe ndezi,ukichanuka tu basi wewe sio muislam😂
Ndivyo mnavyojidanganya. Uislam hauna zaidi ya wewe mwenyewe kukiri ndani ya nafsi yako kuwa Umejisalimisha kwa Muumba wako, baada ya hapo unakiri hilo mbele ya mashahidi japo wawili na ikiwa ziaid ndiyo bora.

Hakuna longolongo kwenye Uislam.
 
Ndivyo mnavyojidanganya. Uislam hauna zaidi ya wewe mwenyewe kukiri ndani ya nafsi yako kuwa Umejisalimisha kwa Muumba wako, baada ya hapo unakiri hilo mbele ya mashahidi japo wawili na ikiwa ziaid ndiyo bora.

Hakuna longolongo kwenye Uislam.
haukiri kwa Allah unakiri kwa sheikh. tena unafatisha anachokuambia.

baada ya pale akili zote zimeenda.
 
haukiri kwa Allah unakiri kwa sheikh. tena unafatisha anachokuambia.

baada ya pale akili zote zimeenda.
Ukiwa hivyo utalawitiwa wima wima.

Unakiri kwanza kbisa ndani ya moyo wako, tena kwa kukujuza tu haihitaji hata mashahidi bali huwekwa mashahidi kwa mambo ya kiserikali na haki za msingi tu. Kusilimu ni baina yako na Muumba wako.
 
Ukweli mchungu!
Waislam wengi elimu hawana!!!
Upo Kijiji gani?
Unazungumzia historia ya miaka ya 1990.
Sasa hivi Kila kabila,dini,Kijiji,Mtaa,kitongoji,Sheila nk kina wasomi wenye digrii au masters. Jakaya Kikwete alifanya la maana sana kujenga Shule nyingi Kila kata,akarahisisha mikopo hata vyuo binafsi na kuongeza vyuo vya umma. Hakuna jamii,kabila au dini iliyokosa elimu.
 
Dah nikisikiaga msamaha wa kodi kwenye tende nacheka sana. Hivi wenzenu wanaomba msamaha wa kodi akwenye vifaa vya afya nyie mnaomba tende dah kunashida sehemu. 😂😂
 
Ukiwa hivyo utalawitiwa wima wima.
sasa hapa nani katika waislam atakuwa yuko salama😂
Unakiri kwanza kbisa ndani ya moyo wako,
hili ni jambo la siri maana unaingia agano na asiyeonekana.
tena kwa kukujuza tu haihitaji hata mashahidi
wewe ni kaongo ka kike,
bali huwekwa mashahidi kwa mambo ya kiserikali na haki za msingi tu.
tofauti ya mshahidi masheikh na wale mashaidi wa kiapo cha watumishi mawaziri ni kanzu tu,mtu anakiri kwa mdomo roho yake ina mengine kabisa.
Kusilimu ni baina yako na Muumba wako.
na muhamad anahusika.
 
Ndivyo mnavyojidanganya. Uislam hauna zaidi ya wewe mwenyewe kukiri ndani ya nafsi yako kuwa Umejisalimisha kwa Muumba wako, baada ya hapo unakiri hilo mbele ya mashahidi japo wawili na ikiwa ziaid ndiyo bora.

Hakuna longolongo kwenye Uislam.
Hamna kitu ni kujiletea inferiority complex tu!
 
Wewe ndie mpuuzi wa kweli, hujajibu hoja hata moja juu ya yale anayozungumza toka hiyo juzi, badala yake umekurupuka na kuamua kumshambulia yeye binafsi.

Bila shaka wewe ndie mfano wa lile kundi la wajinga huko kwenu analolizungumzia, ndio maana unaumia kwa ukweli anaokwambia.
Huyo sio mjinga huyo ni mpumbavu
 
Iyo issue ya tende ni kweli aisee nimeona invoice ya VAT Exemption Utilization zaidi ya milioni zaidi ya 16 ya tende aisee nilishangaa sana
 
nimeanza kuelewa kumbe rushwa yenu ni tende tuu. kwaiyoo mnataka bandari iuzwe kwa hongo ya futari na kujengewa misikiti.
 
Back
Top Bottom