Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Malizia story basi, alivyokukaribisha ulijongea? Mnakosa kitu kizuri kwa kuendekeza jeuri.
 
Uchafu kumaliza story au kula kitimoto?
Unakosa jambo zuri kwa kuendekeza kibri
Unajua kabisa watu fulani hawali🤧 hata wewe umaweka dp ya mtu anapeleka kreti za bia ,unajua kabisa sio kawaida yao.
 
Wangekuwa wanachukiwa wasingefika Dar salama kutokea Mbulu.
 
Hakuna fundisho linalofundisha waislam kumchukia nguruwe,isipokuwa kuwa wasio waislam miaka ya nyuma waliunda hadithi ya kejeli kumhusisha mtume na nguruwe,huo uzushi ndio uliowapelekea wengi wa waislam kwa kuto kujua,wakajikuta wanamchukia nguruwe!
Nguruwe kwa waislam hatakiwi kuliwa kwa tamaa ya mtu,ila kwa dharura ya chakula analiwa,ila kwa wakristo nguruwe hawaruhusiwi kumla hata kwa dharura!
 
Nenda ugugo nyama au mnyamaanayelika zaidi duniani ndio utapata jibu,mshamba wewe
 
Na bila shaka futari yako imesindikizwa na finyango kadhaa za huyu nguruwe na mimi huwa nawaambia kuwa huwezi onja hiyo kitu halafu ukaendelea kuichukia, ona mtoa mada anavyotiririka sasa!
 
TAKIBIIIR,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…