Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Aliye mwambie mtume wenu "Soma" ni nani ?
Hebu tuwekee Hilo andiko, mtume wenu akiambiwa asome.
Tafadhari kama lipo.
Halipo, ni hadithi za kusadikika.
Hata andiko sijaweka umeshahitimisha, Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
 
Hata andiko sijaweka umeshahitimisha, Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga?
Wagaratia ni Kabila moja wapo la watu wa nchini Ugiriki. (The Garatians)
Wapo Hadi hii leo.
Hilo andiko halipo.
Nashangaa andiko muhimu kama Hilo halipo ndani ya Kitabu chako.
 

Shida yote hii kaleta mud, yaani hakuna kiumbe muovu kama mudi. Ameacha dunia katika hali mbaya sana.
 
Mbona mkuu wa Wilaya alikuwa sahihi. Alimwambia shehe ya kwamba Jenga majengo yakikamilika leta wanafunzi. Shida ipo wapi? Watoto wanaishi Kama wanyama.
Mimi niko upande wa Mkuu wa Wilaya.
 
Hapo nilipo bold mkuu hiyo statement ilitakiwa itumike kama hapo awali walikuwa na mazingira rafiki lakini wakapatwa na majanga.
Kulikuwa na ulazima gani wa kukusanya watoto wadogo bila kuwa na mazingira rafiki!!??
 
Walikuwa wazembe au waoga kutekekeza majukumu halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…