Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Sasa kama sio muislamu unakataaje kuitwa kafiri?

Kafiri maana yake ni mpingaji/mwenda kinyume

Maana ya kafiri ni aliye na itikadi kinyume na uislamu

Kwa maana hiyo hata mkristo anamuona muislamu ni kafiri
c'mon....... Kafiri has a derogatory connotation, it is used to degrade others religions/who are not moselems
 
Mbona Sunday School mapafri wanafira watoto na hazifungwi? Mwamposa kaua watu moshi na hakufungiwa huduma
wapi imeandikwa and if so ni kweli?
Lakini Huyu hapa ni muislamu mwenzenu anashuhudia
 
Attachments

  • MAFIA NA ULAWITI.mp4
    22 MB
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
wazee wa jazba mmefikiwa
 
Mkuu sio la kucheka nimetoka tandahimba majuzi hakuna lingine walilokuwa wanawaza zaidi kila muda kwenda kuswali.. tena wengine wanashinda hukuhuko masjid kwenye vibaraza.
Matokeo yake wanakuwa na maisha magumu na kukosa cha kufanya, wanaanza kuambiwa wakapambane sijui Jihad.

Mimi namuunga mkono DC Magoti, hawa wanatakiwa ile swalaa akibaru wakaiswalie polisi.
 
mwamposa ni tapeli na analindwa na ccm ka vile anawasaidia kwenye kampeni, ilibidi afungiwe, mlaumu muislamu mwenzako samia
We fala kweli, mwamposa aliua watu kipindi cha samia? Mbona aliyekuwepo hakumfungia?
 
Cry babies.

Waislamu jambo dogo tu mnalialia kama vile mna umuhimu sana kuliko wengine.
 
Huyo mkuu wa wilaya ajiangalie sana. Atumie busara

Akina Mwamposa wanaibia watu mchana na usiku serikali iko kimya halafu anakuja mkuu wa wilaya anataka waislamu wasisome dini yao?.

Huyo mkuu wa wilaya ajitafakari sana.
Anaingilia uhuru wa waislamu kuabudu na kujifunza dini yao, hili halikubaliki
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
U Islam(sio wa Islam), ni, kansa,Samia Kuingiza dume msikitini likiwa limevaa hijabu kama jike,na Kukaa nyuma ya mama na Dada zenu,sio shida! So pathetic
 
OK, si ndiyo ubaguzi huo! Neno hilo linatumka in a delogatory sense. Kwamba kama si muislamu umepotea, huna thamani....ujinga mtupu.
Hata ndani ya biblia hilo neno kafiri lipo au kwa vile hukijui kitabu chako?

Ezekiel 21:25 (NEN)
“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake

Yuda 1:14 “Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”

2Wakorintho 16:22 “Mtu awaye yote asiyempenda Bwana, na awe amelaaniwa. Maran atha”. Ili kuepuka kuwa kafiri, ni lazima mtu akiri Yesu Kristo, na kumwamini, na kumpa maisha yake."

Kwahiyo hata mimi ni kafiri kwa mujibu wa Ukristo. Na siwezi kusema umenitukana kwasababu imani yangu haipo katika kuuamini ukristo.
 
Utamwelewa DC ikiwa tu utaweka udini pembeni na kuangalia fact. Wale ni watoto wanastahili kusoma na kukaa kwenye mazingira mazuri . Labda kama utalaumu kwa yeye kwenda na wanahabari na macamera kwamba anedeal nalo kimyakimya of which pia inafanyika hivyo ili wengine waone na wajifunze na kujirekebisa. Ni suala la wahusika kuchukua hatua kutengeneza mazingira watoto warudi huko shuleni
 
Tatizo lenu mnakuwa wajinga wajinga sana, mpaka madhara yatokee ndipo muanze kusikitika

Kwanini msiweke mazingira sawa kwanza kisha ndio mengine yafuatie??

Ni sehemu ngapi hapa Tanzania wanatoa mafunzo kama hayo na hawajabughudhiwa iweje hapo tu? Basi ndio ujue mazingira sio rafiki huwezi kusunda vijana hao wote kisa masomo ambayo unaweza kukamilisha na kisha kuwaita tena uwape mafunzo

Wajifunze kwa wengine ambao wameweka mazingira sawa kwanza
Sheikh kamuonesha huyo DC kuwa wapo kwenye michakato ya ujenzi...kuna Cement,matofali,nondo mchanga na kila kitu...bado wanafatilia vibali waanze ujenzi huku watoto wakiendelea na masomo hapo msikitini kwa dharura. Elimu inaendelea na ujenzi unaendelea.
 
Utamwelewa DC ikiwa tu utaweka udini pembeni na kuangalia fact. Wale ni watoto wanastahili kusoma na kukaa kwenye mazingira mazuri . Labda kama utalaumu kwa yeye kwenda na wanahabari na macamera kwamba anedeal nalo kimyakimya of which pia inafanyika hivyo ili wengine waone na wajifunze na kujirekebisa. Ni suala la wahusika kuchukua hatua kutengeneza mazingira watoto warudi huko shuleni

Nani kakwambia mkuu wa wilaya anatunga sera za elimu nchini?
Kanukuu kifungu gani cha sheria katika agizo lake hilo?
 
Back
Top Bottom