Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

Achana na mafia.
Huko kote na kwengine at least wote hao wanafahamu kuwa kumlala mwanamme mwenzako no kosa kubwa sana

Nataka wewe ujibu kuhusu PAPA KUBARIKI WANAMME KUFI.RANA.
Hapa ukwepi.

unasemaje kuhusu papa KUBARIKI Ufiraji?
Nimeeleza nadhani hujasoma post yangu.

Ni ipi sera hiyo mpya ya Vatican?

Papa Francis aliifanyia mabadiliko ya kihistoria sera ya Vatican kwa kuruhusu makasisi kuwabariki wapenzi wa jinsia moja wanaotafuta neema ya Mungu katika maisha yao.
Lakini sera hiyo inasisitiza kuwa Maaskofu wanaweza wasibariki mahusiano ya watu wa jinsia moja.

Lakini sera hiyo imesisitiza kuhusu uamuzi usiobadilika wa"sakramenti ya ndoa" ambayo ni lazima iwe kati ya mwanaume na mwanamke na kwamba baraka za wapenzi wa jinsia moja zisilinganshwe hata kidogo na taratibu za ndoa.

My take ni kuwa hawa watu WASITENGWE, mfano kuwakataza kwenda kanisani, kuwafukuza katika huduma za kanisa tc etc
 
We unasema "kuna maustazi wanaf.ira" PAPA amehalalisha Rasmi kufira.na. Yaani sio kutafuta nani mfir.aji. Papa kabariki kabisa tena atakaepinga sio mkristo wa kweli.

Msome hapa PAPA anasemaje.

View: https://youtu.be/FwTtXdBPo0s?si=PKPpO7V7IZxPBlWl

Sasa hao unaodai maostazi kama wanapakuana basi wanafanya kwa siri na wanajua hilo ni kosa kama kuua. Na wakikamatwa ktk sheria za Kiislamu ni kuuawa moja kwa moja
PAPA yeye mbali ya kuona kufi..rana sio kosa wala dhambi KATANGAZA KABISA kuwa Wanaofi.rana WABARIKIWE.

KAZI KWAKO kama utaamua kupata baraka za PAPA au La.

Kubariki maana yake nini? tupate tafsiri kwanza hiyo
 
Dini yetu inahubiri amani na upendo na kuwalingania wale ambao hawamjui Mungu waweze kumjua Mungu. Hatuhubiri kuua nafsi za watu bila ya haki.
Unajua miungu wako wengi?
unaweza kukuta mungu wako wewe ndio shetani wangu mimi.
Mungu aliyehai haitaji kupiganiwa na wanadamu
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
Rais hawezi kumshauri mkuu wa Wilaya. Halafu Mkuu wa wa Wilaya anatekeleza mambo kwa niaba ya Rais. Swala la usalama wa watoto ni la muhimu sana
 
Sheikh kamuonesha huyo DC kuwa wapo kwenye michakato ya ujenzi...kuna Cement,matofali,nondo mchanga na kila kitu...bado wanafatilia vibali waanze ujenzi huku watoto wakiendelea na masomo hapo msikitini kwa dharura. Elimu inaendelea na ujenzi unaendelea.
Hakuna kitu kama hiko, huwezi kuendelea kuhatarisha uhai wa watu kama kuna hatua zinachukuliwa je kuna tatizo gani watoto wakiruhusiwa ujenzi ukikamilika warudi??
 
kahtaan ya mafia uliyasikia? Mwenzenu anakiri nimekuwekea. all in all, siyo wote ni wachache ingawa waarabu ni jadi yao

Kichwa cha huyu kahtaan ni kigumu sana. Na ukitaka kuona akili yake mbovu endelea kuwasema waarabu. Yeye ni muumini wa mila na desturi za kiarabu, ambayo yeye kwa akili yake fupi anaita uislam.
 
Kwa hiyo papa akihalalisha ndiyo maustaz mnaendeleza kwa kwenda mbele.
Hujajibu kuhusu PAPA
MTAKATIFU KUBARIKI WAFIRAJI.
Kichwa cha huyu kahtaan ni kigumu sana. Na ukitaka kuona akili yake mbovu endelea kuwasema waarabu. Yeye ni muumini wa mila na desturi za kiarabu, ambayo yeye kwa akili yake fupi anaita uislam.
Mimi nina akili mbaya. Mwehu sina elimu lkn nashangaa wewe msomi mwenye PHD ya Kigalati unashindwa kujibu swali dogo tu.

Hao unaowaita maostazi wanatambua kwa asilimia 100 kuwa kubaka kulawiti kufira.na au hata kufanya ngono tu nje ya ndoa ni kosa kubwa sana na hukumu yake ni kifo ktk Nchi ya Kiislamu.
Wanafanya kwa sababu kila jamii ina kondoo waliopotea.

Narudi kwa WAKRISTO SASA.
KIONGOZI MKUU WA WAKRISTO DUNIANI AITWAE PAPA FRANCIS amesema kuwa wanamme wote wanaotaka KUFIRANA wafanye Ndoa kabisa na YEYE AMEZIKUBALI na KUZIBARIKI kwa Moyo wote.
Na Kaamrisha VIONGOZI WOTE walioko Chini yake DUNIA NZIMA wasije kukataa kuhalalisha UFIRAJI .
PAULO akija na JOSEPH wakataka kufunga NDOA KANISANI LAZIMA WAPOKELEWE NA NDOA IFANYIKE kwa BARAKA ZOTE ZA KANISA.

Nakuuliza Tena. Je yule mwenye kufirana kwa kujifucha na YULE ANAEHALALISHA WANAMME WAPAKUANE na AKAWAPA BARAKA ZAKE nani mbaya zaidi na anaestahiki kunyongwa hadharani?

Nipe jibu we MKATOLIKI acha kukimbia swali dogo namna hii . AU unamuogopa MUMEO
 
Kubariki maana yake nini? tupate tafsiri kwanza hiyo
Hilo swali muulize PAPA au BBC waliomkariri PAPA akitoa RUKSA Wanamme wafirane

Sisi layman's tumemsikia PAPA live akisema "NDOA ZA MASHOGA zisiwekewe kipingamizi chochote.
Wanamme wanaokuja KANISANI kutaka Kufunga Ndoa ili wakafirane mpk mwisho KANISA LAZIMA LIWAPOKEE NA NDOA YAO IFUNGWE .

We kataa kubali lkn MKRISTO YYT ANAETAKA KUOA MWANAMME MWENZAKE PAPA KASEMA NI SAWA NA AMEWAPA BARAKA ZAKE.

Km wewe umemchunuku eliakeem Nenda Kanisani pale kwa KADINALI PENGO UKAPATE BARAKA ZAKE.
Mfunge ndoa yenu mkapakuane kwa Raha zenu
 
Amani iwe nanyi.

Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo cha wanafunzi wa Kiislamu kukusanyika na kusoma dini yao ni udhalilishaji.

Hii ni chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu. Jamii ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikijenga amani na maadili mema katika nchi hii. Masuala ya imani sio masuala ya kuyafanyia mzaha kwa kuwa yanagusa mioyo ya watu wengi na ni rahisi sana kuivuruga amani endapo mtu ataichezea ama kuidhihaki dini ya watu fulani.

Watanzania tumelelewa katika misingi ya amani, upendo, umoja na mshikamano. Hii ni mizizi iliyoasisiwa na wapigania uhuru wa nchi hii na tumeweza kudumu katika misingi hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

Anapotokea mtu, awe kiongozi ama yoyote yule, akafanya dhihaka, kukashifu, kubeza na kuingilia imani za dini fulani basi bila shaka anapaswa kukemewa kwa nguvu zote.

Serikali ya Rais Mama Samia ni serikali sikivu na yenye weledi inayosimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe hakupaswa kuzua taharuki kwenye vyombo vya habari kwa kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa manane msikitini, ambayo Waislamu wameitafsiri kama uvamizi dhidi ya msikiti huko Kisarawe na kuamuru kituo cha kuhifadhisha Quran kifungiwe huku akiita kuwa ni udhalilishaji.

Pia, alidai kuwa misikiti ni sehemu ya watu kuswali na kuondoka tu huku akitumia kauli za kebehi na dharau kwamba watoto wanalala kama nyanya, wamepangwa kama tofali za block, hata nguruwe hawezi kulala katika mazingira hayo. Mara aseme watoto hao walipaswa wachapwe viboko wote na wazazi wao wawekwe gerezani kwa kuwa wameshindwa kuwalea! Hizi ni dharau kwa wazazi wa Kiislamu! Mzazi anayempeleka mwanae kuisoma dini yake ili awe na maadili mema katika jamii yake aonekane ameshindwa kumlea mwanae!

Leo hii, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe aje kuwafundisha Waislamu tafsiri na kazi ya msikiti. Ni jambo la ajabu na aibu sana.

Waislamu nchini Tanzania wana taasisi yao ya BAKWATA, ambayo inashirikiana na taasisi nyingine ndogondogo kusimamia masuala ya Waislamu kwa ujumla. Petro Magoti alishindwa nini kuongea na uongozi wa BAKWATA unaoongozwa na Mufti Abubakar bin Zuber kuwa waboreshe kituo hicho cha msikiti wa Kiluvya ili kuweka mazingira rafiki ya vijana wa Kiislamu kuisoma dini yao na jambo hilo lisifike kwenye mitandao na kuzua sintofahamu kama alivyofanya yeye?

Msimamizi wa kituo cha msikiti wa Kiluvya alionekana akimueleza Mkuu huyo wa wilaya kuwa wanafunzi wanaishi katika hali hiyo kwa dharura tu huku jitihada mbalimbali za kuanzisha ujenzi wa mabweni zikiendelea. Nondo, mchanga, cement na matofali tayari vimeshakusanywa na jitihada za kuomba vibali vya ujenzi zikiendelea kufanyika ili kuhakikisha wanafunzi wanaishi katika mazingira rafiki.

Wito wangu kwa Rais ni kuhakikisha kuwa wateule wake kama Petro Magoti hawaingilii masuala ya kidini moja kwa moja kwa sababu ni eneo nyeti linaloweza kuvunja amani ya nchi hii kwa haraka sana. Awashauri wateule wake wawe na busara katika masuala ya utawala.

Alilofanya Petro Magoti ni kutafuta "kiki" tu, na kuleta kebehi na kudhalilisha Waislamu na Uislamu kwa ujumla. Jambo la hatari sana.

Video ya Sheikh akitoa mapendekezo kwa serikali nini kilipaswa kufanyika.

Pia soma:Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi
mnawalaza watoto sehemu ambayo hata mbuzi halali alafu mnasema chokochoko acheni ujinga msiwe wapumbavu ndugu zetu katika imani
 
Dhihaka na dharau alizozifanya je!?..
Kufanya vamizi za usiku na vyombo vya habari ni sahihi?

Alishindwa nini kuita viongozi wa msikiti na taasisi ya BAKWATA walimalize jambo hili bila ya kuzua taharuki? Huoni kama ni tukio linaloweza kuamsha hisia za waislam?
kataka wananchi waone uchafu mnaowafanyia watoto kwa mgongo wa dini Muwafundishe ugaidi na bado muachiwe huo ni upumbavu
 
Na ushukuru Magoti katumia maneno ya kistaarabu ety hakuna malazi mazuri 😂 pale ilikuwa ni mafunzo ya ugaidi.
Kafiri hata akiona muislamu anachoma mishkaki lzm aseme anatengeneza mabomu.
Mmeshatiwa uoga na waume zetu wa kizungu ambao mpk leo mmeweka Picha zao na kuzipigia goti na kuziita Mungu. Mmeathirika kisaikolojia vibaya sana kiasi kwamba ukimuona Muislamu na ndevu zake anakatiza na mfuko wa vitunguu mnajamba na kuhara ovyo mkidhani ni miripuko. 🤣🤣

Manina . Makafiri acheni uoga.
Sisi waislamu wote tungekuwa magaidi hakuna kafiri hata mmoja angekuwa hai.
We endelea kutukana waislamu huku umejificha nyuma ya keyboard.
Kama kweli wewe ni kafiri unaejiamini njoo utamke maneno haya hadharani uone vipi mtu anaweza kutairiwa bila Ganzi 😀
 
Si Rahisi mtu aliyetoka jumba kuu, kuzoea mazingira ya uraiani kirahisi.

Muda ni mwalimu.
 
Mbona mkuu wa Wilaya alikuwa sahihi. Alimwambia shehe ya kwamba Jenga majengo yakikamilika leta wanafunzi. Shida ipo wapi? Watoto wanaishi Kama wanyama.
Hapana ametaka msikiti litumike kama kanisana wanvyoenda na kutoka
 
mnawalaza watoto sehemu ambayo hata mbuzi halali alafu mnasema chokochoko acheni ujinga msiwe wapumbavu ndugu zetu katika imani
We punga unaijua sehemu anayolala mbuzi ilivyo? Huko kwenu mbuzi mnawalaza kwenye magodoro?
 
Back
Top Bottom