Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Kakazana na Aya yake moja aloicopy anavyotaka yeye anadhani watu wote humu hawajui Qur-an na watadanganyika na unafiki wake

Angel Nylon

NGOJA NIKUONGEZEE NUINGINE MOJA TU.

ANGALIA HAPA JINSI QURAN INAVYOMSHUHUDIA MUNGU KUWA HAKUMTUMA MTUME ILA ALIKUWA SHAHIDI .

.QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1. JE HAO WALIOMTUMA MWAMEDI NI AKINA NANI....????

2. JE MUNGU ANAWEZAJE KUWA UPANDE WA SHAHIDI WAKATI YEYE NDIYE AMEMTUMA??????

3. SHAHIDI ANAKUWA NI THIRD PARTY AU FIRST???


TUNAWAAMBIA HAYA ILI MUIJUE KWELI.
 
Kakazana na Aya yake moja aloicopy anavyotaka yeye anadhani watu wote humu hawajui Qur-an na watadanganyika na unafiki wake

TATIZO WAISLAMU HUWA HAWASOMI WANAKALILISHWA HAWAJUI KWAMBA WAO NA MAJINI NI KITU KIMOJA.

Allah anasema, " Nami sikuwaumba MAJINI na watu ila WANIABUDU Mimi."
Quran 51:56.


Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote"Qur'an 15:39

Quran 72:1

"Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!"
 
Unaandika UKWELI MTUPU na kuquote maandiko

Hongera sana Mkuu
 
Tatizo lako wewe lipo wapi?
Simamia kimoja ueleweshwe ukisha kuelewa uende jengine.
Usiwe una ruka ruka tu.
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Ulaya ni Geographical location, na Kibra je? Ni wapi hapo wanapoitwa Kibra?
 
Azarel

WANACHONISHANGAZA HAWAJUI KUWA QURAN INASEMA NITAWAZAENI HAPA DUNIANI NA NITAWAPOTEZA WOTE.

QURAN 15:39 - Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote


INSHORT YEYE ASIYE MPOKEA YESU KRISTO ATAPOKEA BIKRA NA MITO YA POMBE HUKO KUZIMU.

SHETANI AMESEMA ATAWAPOTEZA WAISLAMU WOTE.
 
Umeandika tafsiri potofu,uliyopewa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,wewe mvaa kamba ya mbuzi shingoni,kwa jina la tai:
Tafsiri sahihi:
Qur'an 2:97
'Sema "Anayemfanyia ushinde Jibril",hakika yeye ameiteremsha Qur'an moyoni mwako KWA IDHINI YA MWENYEZI MUNGU,:inayosadikisha yale yaliokuwa kabla yake ,na ni uongozi na habari njema kwa WANAOAMINI'.
Katika aya nzima ya kiarabu hakuna neno shetani,ndio maana Qur'an imebaki katika lugha yake ya asili ya kiarabu,tena ni standard Arabic,kiarabu cha kisomi.
 


 


Nimeiscreen sho Quran NILIYO nayo.

Ahmad juzuu ya 1 ukurasa 416.

Hakika muumini wa KWELI hawi mwenye kutuhumi watu , Wala kuwalaani watu, Wala hawi na maneno MACHAFU.

Nimesoma hiyo DINI na kuifanyia UTAFITI kwa Miaka...

Usione labda tunajifrahisha.....
 
Unaandika UKWELI MTUPU na kuquote maandiko

Hongera sana Mkuu
Angalia hicho unachoshabikia.

QUR-AN. 72:1
1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.

5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.

Kundi moja la Majini, Waliisikia Quran, wakaiamini.
Ukisikia neno kundi moja jua kuna makundi zaidi ya moja.
Qur-an ni maneno ya Mungu sio ya nabii Muhammad S.A.W. kama anavyopotosha huyo kafiri unaempongeza.
Ibilisi alikataa kumsujudia Adam alipopewa amri hiyo na Mungu, hapa ndio Nabii Muhammad anasimuliwa na malaika Gabriel/Jibril kwa amri ya Mungu manbo yalikuaje.
huyo kafiri wako anabadili na kua ni Muhammad.


QUR-AN. 15
35. Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo.

36. Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapo fufuliwa.

37. (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula

38. Mpaka siku ya wakati maalumu.

39. Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,

40. Ila waja wako walio safika.

41. Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka.

42. Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata.

Ukisikia neno wapotofu ni atu walio potea ktk njia ya Mungu kama huyo kafiri anaebadili maneno ya Mungu kisha wewe unampongeza.
ila kwakua bado yupo hai ana nafasi ya kumrudia mungu wake.
 
WANACHONISHANGAZA HAWAJUI KUWA QURAN INASEMA NITAWAZAENI HAPA DUNIANI NA NITAWAPOTEZA WOTE.

QURAN 15:39 - Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote


INSHORT YEYE ASIYE MPOKEA YESU KRISTO ATAPOKEA BIKRA NA MITO YA POMBE HUKO KUZIMU.
 
Huyu jamaa sio kwamba anapewa tafsiri kijiweni, hapana, huyu ni wa seminari aliepotoshwa, na sasa anapotosha wengine.
Na hata ukimuuliza swali kutoka ktk bibilia yake, hawezi kujibu maana yeye mwenyewe hana dini, ukimpa swali atarukia mambo mengine, hana uwezo wa kujibu hoja ya Muislamu/Mnyenyekevu.
 


 
Anaemfuata Yesu ni yule anaeabudu na kumsujudia Mungu kama mafundisho ya Yesu alivyosema.
Wewe unasujudu?

4:10. MATHAYO.
10 Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

Yesu alipindua viti na meza ktk nyumba ya ibada ili watu wasujudu.
 
Hakuna tafsiri hiyo uliyopewa katika vijiwe vya pombe za kienyeji.Qur'an inaangaliwa kwenye lugha ya kiarabu,ndio Qur'an,hiyo uliyoandika ni tafsiri ya Qur'an sio Qur'an,tafsiri ni tofauti na Qur'an yenyewe.Mwenyezi Mungu alishajua mapema kuwa mtakuja wapotoshaji,kwa hiyo akaweka ulinzi wa kuwa,tafsiri ya Qur'an SIO Qur'an,itabaki kuwa ni tafsiri.Na Qur'an ni Ile ya lugha ya kiarabu.
Ukianza kusoma Qur'an,:Qur'an unasoma kwa kumlani shetani,ni nani atakaye andika kitabu,halafu ajilani.
Ndani ya Qur'an kuna aya nyingi za kumlani shetani,na kuitwa ni adui wa binadamu,vipi shetani atunge kitabu halafu awaambie binadamu kuwa yeye ni adui yao:
Qur'an 23:60
"Je,sikukuusieni enyi wanadamu kuwa MSIMUABUDU SHETANI ?Hakika yeye ni adui aliye dhahiri kwenu".
Ikiwa shetani ndio ameandika Qur'an,kwa nini ajipinge mwenyewe aseme yeye ni adui wa binadamu,na asiabudiwe.
Q.23:62 "Na bila shaka aliwapoteza viumbe wengi miongoni mwenu :je hamkuwa wenye kufikiri?"
23:63 "Basi hii ndio Jahanamu mliokuwa mkiahidiwa."
23:64 "Ingieni leo kwasababu ya ukafiri wenu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…