darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
UFUNUO 9 11
Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.
Ufunuo wa Yohana
NGOJA WAAMKE WAO NI HASIRA NA HAWAJUI KUJENGA HOJA, UFUNUO 9 IMEANDIKA.
NINACHOIPENDA BIBLE ILIANDIKWA YOOTE KWAMBA HII DINI ITAKUJA DUNIANI.

Ukishakuwa msabato au mlokole kunakuwa na tatizo fulani hivi la mentality. Hoja zao ni hizihizi,
* Warumi ni wapinga kristo tena ni mafreemason
*Waisalmu nao wapinga kristo! Wanafuga majini! Wakati wao kutwa wanashinda kanisani wakiigiza nayo kuwa wanatoa upako
*Marekani pia ni inaendeshwa na freemasons mpunga kristo ( Hellen G. White ) pia nabii na muasisi wao hapa wanamtoa!