Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Kwa kuwa anatumia akili ndio maana akafuata kile akitakacha huyo Mungu.
Wewe ushawahi kupanda basi ya Mwanza kisha tiketi ukakata Dodoma kwa 7bu inapita hapo hapo?
Usimsingizie Mungu kwa kila kitu na ndiyo maana nilisema tumia akili. Mungu alikukataza wapi kula nguruwe? Qur'an si kitabu cha Mungu, Mohammed alipewa na shetani, ulikuwa hujuwi hili?
 
[emoji2956]
 
Hapo si ndipo Kuna Lile jiwe wanaloamini ni Shetani.

KWAHIYO inamaana wanaswali kwa kumuangalia shetani??????
Huna ujualo.....ujinga mwingi umekujaa [emoji1787][emoji1787]

Wanapiga mawe sehemu iitwayo Mina...kilometa 8 kutoka Mecca....

Si kila eneo Mecca ni msikiti huo mkuu.....wanaelekea eneo ilipo hiyo " Al Kaba" ndani ya huo msikiti.....

Kwa ushauri usipende kusikiliza "sources za aina moja" tu [emoji1787]
 
Utanyooka tu.
Kwa hiyo jana zile tafsiri na maandikonuliotoa hauna uhakika nayo?
Sema tu kama huna uhakika na ulichokisema ueleweshwe.

Mithali 18:1-2
Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema.

2 Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu.

NIMEKUULIZA DINI NI NINI?.??
 
Mithali 18:1-2
Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema.

2 Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu.

NIMEKUULIZA DINI NI NINI?.??
TITO.3:9-11
9 Lakini maswali ya upuzi ujiepushe nayo, na nasaba, na magomvi, na mashindano ya sheria. Kwa kuwa hayana faida, tena hayana maana.

10 Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae;

11 ukijua ya kuwa mtu kama huyo amepotoka, tena atenda dhambi, maana amejihukumu hatia yeye mwenyewe.

Kama tafsiri yako ulioitoa na kujinadi kuwa huna dini haukua na uhakiki nayo, sema ili ueleweshwe.
Kwani ukisema unabadilika nini?
 
Usimsingizie Mungu kwa kila kitu na ndiyo maana nilisema tumia akili. Mungu alikukataza wapi kula nguruwe? Qur'an si kitabu cha Mungu, Mohammed alipewa na shetani, ulikuwa hujuwi hili?
KUMBUΒ² LA TORATI. 14:8.
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.

Hicho ni kitabu cha nani wewe mla Nguruwe?
Acha kushikiwa akili na wachungaji wako. SOMA UFAHAMU YA KUWA YESU ALIKULA SAMAKI NA SIO NGURUE NA AKASEMA TUJIFUNZE KWAKE.
 
Hii ndiyo πŸ‘‡πŸΎ ilikuwa hoja sheikh.
☝🏾Jibu hapo, kule ilikuwa wrong.
 
TUNAWAULIZA WAISLAMU.

DINI NI NINI???

DINI NI KITU GANI??????
 
Hii ndiyo πŸ‘‡πŸΎ ilikuwa hoja sheikh.

☝🏾Jibu hapo, kule ilikuwa wrong.
Hii ndiyo πŸ‘‡πŸΎ ilikuwa hoja sheikh.

☝🏾Jibu hapo, kule ilikuwa wrong.
Unegoma kabisa kurudi nyuma mkuu, ila hakuna tabu. Majibu ni haya...

Kama hakuna hilo andiko lisemalo UKRITO NI DINI SI USEME TU KUWA HAKUNA, unarukaruka nini wewe kafiri.
2:97 usioielewa nakuelewesha na hapo soma vizuri, maadui wa Jibril wametajwa hapo, ukiwemo na wewe.
Maadui wa jibril ni wale wote wenye uadui dhidi ya nabii Muhammad kwa kupewa Utume, kwa kuwa Jibril ndie alietumwa na Mungu, ukimchikia nabii Muhammad ndio unakua adui wa Jibril alietumwa, Mikaili, Malaika wote na adui wa Mungu pia kwa kuwa yeye ndie aliemtuma huyo Jibri.
Andiko hilo halitaji hata neno kristo.
Lete andiko tujue dini yako kama isemavyo bibilia.

4:5-6. AYUBU.
5 Lakini sasa haya yamekufikilia wewe, nawe wafa moyo; Yamekugusa, nawe wafadhaika.

6 Je! Dini yako siyo mataraja yako, Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?
 
Mjadara wa Quran we unaleta Bibilia, mbona upuuzi huo.
Jibu hiyo πŸ‘‡πŸΎ.

 
WANACHONISHANGAZA HAWAJUI KUWA QURAN INASEMA NITAWAZAENI HAPA DUNIANI NA NITAWAPOTEZA WOTE.

QURAN 15:39 - Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote


INSHORT YEYE ASIYE MPOKEA YESU KRISTO ATAPOKEA BIKRA NA MITO YA POMBE HUKO KUZIMU.
 
ANGALIA HAPA JINSI QURAN INAVYOMSHUHUDIA MUNGU KUWA HAKUMTUMA MTUME ILA ALIKUWA SHAHIDI .

.QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1. JE HAO WALIOMTUMA MWAMEDI NI AKINA NANI....????

2. JE MUNGU ANAWEZAJE KUWA UPANDE WA SHAHIDI WAKATI YEYE NDIYE AMEMTUMA??????

3. SHAHIDI ANAKUWA NI THIRD PARTY AU FIRST???


TUNAWAAMBIA HAYA ILI MUIJUE KWELI.
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
 
Mjadara wa Quran we unaleta Bibilia, mbona upuuzi huo.
Jibu hiyo πŸ‘‡πŸΎ.
2:97. Iko
Hii posti yako nilishaijibu mara zaidi ya moja. Wewe huwezi kujibu hoja. Ukijibiwa basi sema pale ambapo hujaelewa ili ueleweshwe.
 
Kweli tu

NAOMBA UNISAIDIE MAANA YA DINI MKUU.

INAWEZEKANA MIMI NI MJINGA SANA KUMPOKEA IMANI YA UKRISTO MOYONI MWANGU NA SIO DINI?.

NAOMBA UNIELEWESHE.

1. DINI NI NINI.??

2. DINI NI NINI NI KITU GANI????

3. DINI INAKUSAIDIA NINI??????

Naomba MSAADA wako ujinga upate kuniondoka.
INAWEZEKANA tunatofautiana sehemu ndogo sana.

NB. Mimi naamini IMANI YA KIKRISTO. UKRISTO.
usichanganye kati ya Imani na DINI.
 
Usikwepe swali. Nilichokuuliza mimi ni hiki.
Tafsiri ulioitowa wewe mwenyewe kuhusu dini, ukatoa na maandiko na kujinadi kuwa huna dini, Hauna uhakika nayo?
Nikuulizapo na ukinijibu, ndio napata wepesi wa kukuelewesha kile usicho kielewa.
 
Usikwepe swali. Nilichokuuliza mimi ni hiki.
Tafsiri ulioitowa wewe mwenyewe kuhusu dini, ukatoa na maandiko na kujinadi kuwa huna dini, Hauna uhakika nayo?
Nikuulizapo na ukinijibu, ndio napata wepesi wa kukuelewesha kile usicho kielewa.

TAFSIRI yangu zaidi ni UKRISTO SIO DINI NI IMANI YA KUMUAMINI NYESU KRISTO KAMA BWANA NA MOKOZO WA MAISHA YETU.......

Yesu hakuleta DINI Duniani Bali ALIKUJA KUUKOMBOA ULIMWENGU na minyororo ya dhambi akatufia msalabani kutuokoa na dhambi.


Historia ya dhambi ni kubwa siwezi nikaandika kwa sasa.... ..

NINACHOTAKA NIJUE DINI NI NINI?????

YESU alileta Imani ya UKRISTO.
Tunaomuamini ni WA KRISTO.
Na yeye ni KRISTO.

Yani wale waliopokea Roho wa MUNGU ni wa kristo....
Sina nijuacho MJINGA Mimi zaidi ya hii.

Kama unajua maana ya DINI unisaidie.
ILA USICHANGANYE IMANI NA DINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…