mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Usimsingizie Mungu kwa kila kitu na ndiyo maana nilisema tumia akili. Mungu alikukataza wapi kula nguruwe? Qur'an si kitabu cha Mungu, Mohammed alipewa na shetani, ulikuwa hujuwi hili?Kwa kuwa anatumia akili ndio maana akafuata kile akitakacha huyo Mungu.
Wewe ushawahi kupanda basi ya Mwanza kisha tiketi ukakata Dodoma kwa 7bu inapita hapo hapo?