CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
JAMANI HIVI VITU KUVISOMA NA KUVIELEWA INATAKIWA MTU UWE TIMAMU KIDOGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Mkuu hebu tuliza akili kidogo halafu ondoa hiyo roho ya upotoshaji then soma vizuri hiyo aya na uyaelewe maneno niliyo bold hapo. Kama utakua bado hujaelewa nipo hapa kukufafanulia.
Assalaam alaykum.
ANGALIA HAPA JINSI QURAN INAVYOMSHUHUDIA MUNGU KUWA HAKUMTUMA MTUME ILA ALIKUWA SHAHIDI .
.QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
1. JE HAO WALIOMTUMA MWAMEDI NI AKINA NANI....????
2. JE MUNGU ANAWEZAJE KUWA UPANDE WA SHAHIDI WAKATI YEYE NDIYE AMEMTUMA??????
3. SHAHIDI ANAKUWA NI THIRD PARTY AU FIRST???
TUNAWAAMBIA HAYA ILI MUIJUE KWELI.