Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Kama misikiti inatakiwa ielekee kibla ambayo ni Maka , sasa misikiti iliyoko hapo Maka yenyewe inaelekea wapi?!
Ungelikua unasoma coment za nyuma, usinge uliza huli swali, maana lilishatolewa majibu zaidi ya × 2.
Tofautisha kati ya KIBLA na ALKAABA.
 
[4.79] Whatever benefit comes to you (O man!), it is from Allah, and whatever misfortune befalls you, it is from yourself, and We have sent you (O Prophet!), to mankind as an apostle; and Allah is sufficient as a witness.

Nadhani bando unalo au sio! Kama ndio basi nenda ka google maana ya MAJESTIC WE kama hujaipata again rudi hapa uje useme.
Majini nayo ni majestic we?

Koran 72:1 Say, ˹O Prophet,˺ “It has been revealed to me that a group of jinn listened ˹to the Quran,˺ and said ˹to their fellow jinn˺: ‘Indeed, we have heard a wondrous recitation.
 
Jiwe linalosujudiwa , jiwe jeusi
Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...

Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi...
 
Kwanini mnalisujudia

Na Aya maelezo ni tofauti na waislamu wengine wanaosema jibril ndio alilileta
 
Kumbuka ilo jiwe lilichukuliwa na alkrumuti akaliweka chooni , badae waislamu wakaenda kuonga akawarudishia vi kokoto nane , ndio vilivyopo macca kwa sasa
 
Kama mahali hapo jua msikiti ulipoelekea akisimama myu jua linachomoza bega lake la kulia na kuzama upande lilipo bega lakea kushoto. Basi Qibla hicho ni sahihi
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Hizi Imani zingine hizi pasua kichwa sana Sasa kibra ndy husaidia Nini?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Well, ni Qibla na sio Kibra. Ni uelekeo ambao Waislam wote wanaposwali wanaelekea hapo. Mfano wa mpira ulivyo round, pale katikati ndio pawe Qibla, kama umewahi kuona Waislam wakiswali wanapoenda Kuhiji Makkah, ule mskkiti wanaotumia kuswali pale katikati ndio Qibla (KA'ABA) i.e watu wote wanaangalia pale katikati. Uwe America, Urusi, India, South Africa wote mtakaposwali mtatakiwa kuangalia Qibla.

View attachment 2610437

Niliwahi kuskia pia, Waislam wanaposwali wanatakiwa kuangalia katikati ya Dunia...!

View attachment 2610438

WELCOME...!
Mpaangalie Ili iwasaidie Nini?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Sijajua kwa upande wako unaposema kusali unamaanisha nini ila, kama unamaanisha kuomba/kumuomba MUNGU na kuskia maombi yako haijalishi umeangalia wapi hata ukiangalia uvungu wa kitanda unaweza ukamuomba tu haina shida.

Ila kwa utaratibu wa KUSALI/KUSWALI ambao ameuweka MUNGU kwa DINI ya KIISLAM amesema unaposwali (SIO KUOMBA) unaposwali unatakiwa kuangalia QIBLA.

KARIBU SANA.
Hakuna Mungu huko

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Out of topic..na umeandika pumba.

Fuata imani yako....acha wivu kwa waislamu.

Hapo unahisi imani yako ndiyo sahihi ulivyo juha.

Warabu na wazungu walituweza, wametuweza na wanaendelea kutuweza, yaani wametugeuza matahira kwa kupitia dini.
Yaani binadamu mwenye akili sawasawa awe na wivu na uisilamu? Utakuwa fyuzi zimekata wewe yaani niombe kukamuliwa mavi kweli? [emoji3064]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Hilo hata lisikushangaze. Kabla tekinolojia ya mzungu haijasambaa sana. Hata Makkah walikosea kibla sana tu na kuelekeza misikiti walikojua wao. Soma hapa chini hii habari toka Saudia kwa Waislam wenyewe

Back
Top Bottom