Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

AGANO JIPYA.

UFUNUO WA YOHANA 9.
UNABII unaonyeaha kuzuk Kwa Hao WATU kutoka uarabuni.

Ukihitaji kusoma zaidi na kuelewa ni PM.
UFUNUO WA YOHANA. 1:1.

1 Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu awaonyeshe watumwa wake mambo ambayo kwamba hayana budi kuwako upesi; naye akatuma kwa mkono wa malaika akamwonyesha mtumwa wake Yohana;
Yesu ufunuo wake alipewa na Mungu, sawa.
Huyo Yohana ufunuo wake alipewa na nani?
 
Mkuu, nimekuelewavizuri sana.
Ukimkuta muislamu ana chuki na Ukristo, basi huyo hajauelewa Uislamu wake.
Na ili auelewe uislamu ni lazima ausome. Shida ya hizi dini mara nyingi hatuzisomi. Na ndio maana hata mkisema tujadili Mti huu hapa, mtajikuta mnajadili Jiwe bila kupata muafaka wa mti. Hii inasababishwa na kuto kusoma kitu husika.
Juzi hapo kuna jamaa alitoa msaada kwa mtu aliyekuwa anashida, baadaye akasikia wengine wakimsema yule mwenye shida as 'alienda kanisani anaposali hawakumpa msaada'

Yule jamaa wa kwanza aliposikia yule mwenye shida ni mkiristu akamuwahi arudishe msaada aliompa, kisa hawezi msaidia kafiri!.
 
Ni uelewa tu mkuu. Maana kwa mujibu wa uislamu, kiufupi, misaada ipo ktk makundi mawili.
1) Zakka
2) Sadaka
ZAKKA, nayo imegawanyika ktk makund yake, ila masharti ya ujumla kwa anaepewa ni...
  • Awe muislam.
  • Awe fukara.
  • Awe masikini.
  • Hutolewa kwa kiwango maalum na kwa muda maalum.

SADAKA. Hutolewa na mtu yeyote na kupewa mtu yeyote, kwa muda wowote, kiwango chochote na mahali popote na ni kitu chochote.
 
18:18-22. MAMBO YA NYAKATI WA PILI.
19 Bwana akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu mfalme wa Israeli, ili akwee Ramoth-gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.

20 Akatoka pepo, akasimama mbele za Bwana, akasema, Mimi nitamdanganya. Bwana akamwambia, Jinsi gani?

21 Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo vinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka, ukafanye hivyo.

22 Basi sasa, angalia, Bwana ametia pepo wa uongo vinywani mwa manabii wako hawa; naye Bwana amenena mabaya juu yako.

Kwa hiyo unatuambia haya maandiko ktk bibilia sio ya kweli?
Sikia dogo, Biblia na Qur'an vyote ni vitabu vilivyotungwa na binadamu ili kutawala jamii ile ya Mashariki ya kati ambayo haikuhusu wewe wala mimi Mwafrika. Utambue kuwa Abrahamic religions (Judaism, Christianity, Islam) uwepo wake hapa duniani ni miaka 6,000 tu....sisi Waafrika historia yetu hapa duniani ina range more than miaka 250, 000. Now use your head to think wisely....nani anadanganywa hapa? Waafrika tunachezewa sana akili na ndiyo maana kila kukicha wanajitokeza wazungu toka huko kwao kuja hapa kuwadanganya waafrika kuwa wanakuja kutangaza neno la Mungu wakati huko kwao hawafanyi hivyo na hawatambuliki, na wanafanya hivi kwa sababu wanajuwa sisi waafrika ni wajinga tunakubali kila ujinga tulishwao toka kwa waarab na wazungu. Umeshajiuliza hivi kwanini hawa manabii hawaendaji China, Japan, na sehemu zingine bali huku tu Afrika? Think about it🫢
 
Wewe tatizo lako ni mnafiki, hakuma swali hata moja ambalo uliuliza na likakosa majibu, na kila ukijibiwa unaambiwa ambacho hujakielewa sema wapi hujaelewa, husemi badala yake unarukia kitu kingine, na wewe ukatoa aya za ktk Qur-ani na kuzibadilisha kwa Ukafiri na unafiko wako.
Sasahivi unasema hujajibiwa kwa ufasaha. KWA KUA WEWE HUNA DINI, CHUKI ZA NINI KWA WAISLAMU WENYE DINI YAO?
Kwakweli ..mwanzo alidhan hata pata watu wanaijua quran na vitabu vya mwanzo ..kwa uzuri..sasa akaleta tafsiri zake alizopita sijui wapi ilhali hana uhakika.
kajibiwa kwa ufasaha tena kwa kupitia mistari ya dini yake .
Ila sababu hajitambui na kashabeba chuki juu ya uislam ..anabaki anaruka ruka na kurudia vitu vile vile alivyojibiwa.
Umetahidi sana kumjibu Ndugu.
Hongera sana
 
Wakristo huamini Mungu yuko popote ukisali ukielekea mashariki yupo,ukielekea magharibi,kusini ,kaskazini ,juu au chini.kote yupo

Poleni waislamu.munaojua Mungu yuko upande mmoja tu
 
Sikia dogo, Biblia na Qur'an vyote ni vitabu vilivyotungwa na binadamu ili kutawala jamii ile ya Mashariki ya kati ambayo haikuhusu wewe wala mimi Mwafrika. Utambue kuwa Abrahamic religions (Judaism, Christianity, Islam) uwepo wake hapa duniani ni miaka 6,000 tu....sisi Waafrika historia yetu hapa duniani ina range more than miaka 250, 000. Now use your head to think wisely....nani anadanganywa hapa? Waafrika tunachezewa sana akili na ndiyo maana kila kukicha wanajitokeza wazungu toka huko kwao kuja hapa kuwadanganya waafrika kuwa wanakuja kutangaza neno la Mungu wakati huko kwao hawafanyi hivyo na hawatambuliki, na wanafanya hivi kwa sababu wanajuwa sisi waafrika ni wajinga tunakubali kila ujinga tulishwao toka kwa waarab na wazungu. Umeshajiuliza hivi kwanini hawa manabii hawaendaji China, Japan, na sehemu zingine bali huku tu Afrika? Think about it🫢
Sikia mkubwa.
Acha hasira na imani za watu.
Lete ukweli wako hapo.
Kabla ya wewe kuja duniani. Ulikua wapi na ulikua nani?
Tutoe ujinga sisi waislamu tuliopo Afrika.
 
Kwakweli ..mwanzo alidhan hata pata watu wanaijua quran na vitabu vya mwanzo ..kwa uzuri..sasa akaleta tafsiri zake alizopita sijui wapi ilhali hana uhakika.
kajibiwa kwa ufasaha tena kwa kupitia mistari ya dini yake .
Ila sababu hajitambui na kashabeba chuki juu ya uislam ..anabaki anaruka ruka na kurudia vitu vile vile alivyojibiwa.
Umetahidi sana kumjibu Ndugu.
Hongera sana
Nashkuru mkuu.
 
Wakristo huamini Mungu yuko popote ukisali ukielekea mashariki yupo,ukielekea magharibi,kusini ,kaskazini ,juu au chini.kote yupo

Poleni waislamu.munaojua Mungu yuko upande mmoja tu
Pole sana kwa ujinga ulio kutawala.
Ushauri wangu kwako, Tafuta uelewa juu ya ulicho kiandika ili uwe mwerevu juu ya hili.
Hakuna bosi atakaekulipa wakati kazi aliokupa hukuifanya.
Eg.
Ukiambiwa, toka Dodoma uwende Morogoro, ukifika utamkuta fulani na atakupa kitu fulani. Wewe ukaenda mpaka Dar, huyo mtu na hicho kitu utakipata?
Ukichunguza hapo kwenda ulienda kweli, ila sipo ulipoelekezwa.
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Kwenye uisilamu hakuna kibla bali kuna Qbla hata wewe ni wabala au?
 
Wakristo huamini Mungu yuko popote ukisali ukielekea mashariki yupo,ukielekea magharibi,kusini ,kaskazini ,juu au chini.kote yupo

Poleni waislamu.munaojua Mungu yuko upande mmoja tu
BWANA ametuambia tuombe sana HEKIMA NA BUSARA na si ELIMU TU....

Kusali si ibada pekee ya waislamu....

Kuna ibada ya maombi....hii hufanywa popote na kuelekea kokote....

Kuna ibada ya kutoa sadaka,zaka...hufanywa popote na kuelekea kokote na si Makkah kama unavyotaka wewe mama mchungaji komredi mwenzangu iwe [emoji1787]

Ibada katika uislamu ziko nyingi mno.....tukumbuke hata tendo la ndoa(ndoani) ni ibada mama mchungaji....kwani nako huko "kuchakatana katika mchakato huo" majirani zako Fatuma na Ali wamekuambia huwa wanaelekea Makkah?!!![emoji1787]

Kama maskhara vile....kutoa taka njiani.....ibada
Kusalimiana na mwingine kwa bashasha ibada..... etcetera!

Linapokuja suala la IBADA ya SALA hapa Kuna masharti na vigezo ambavyo ni ajabu kweli eti leo ni vya kumshangaza Yehodaya kufikia kushauri/kulazimisha waislam wabadilike na kutoka huko "ujingani"[emoji1787][emoji1787]

N.B Andiko lipi limesema MUNGU YUKO SEHEMU ambako vichwa/nyuso zinatakiwa vielekezwe huko alipo?!!

Kweli hawakukosea kusema "NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE ITS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE".

#YetzerHatov
#DoNotDoHarm
 
We kafiri wewe. Sema shida yako ni nini ili ueleweshwe.
ACHA HASIRA KWA WAISLAM NA UISLAMU WAO.
Kana shida yako ni UISLAMU, sema ueleweshwe.
Kama ni NABII MUHAMMAD sema.
Kama ni QUR-ANI sema.

Halafu ukijibiwa kwa nini huleti mrejesho kama umeridhika na majibu au laa?
Mimi binafsi nafahamu ya kuwa huwezi hata kuitetea imani yako mwenyewe maana huna uhakika na imani yako. Nakushauri, KARIBU KTK UISLAMU, NDIYO DINI YA HAKKI MBELE ZA MUNGU. HUKO ULIKO YESU HAJAWAHI KUWA. HAKUNA USHAHIDI HUWO. YESU HAJAWAHI KUWA MKRISTO.

UKRISTO SIO DINI. YESU HAKULETA DINI DUNIANI BALI UKOMBOZI

1 YOHANA2:2.
YESU ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.

1YOHANA 4: 10.
Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu.

YOHANA 8 : 12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Yohana 8:12

USITHUBITU KUMFANAMISHA YESU NA DINI AU VITU VYA KISHENZI KAMA HIVI......

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.

NIMEISHA KUONYA.
 
KUMBU² LA TORATI. 14:8.
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.

Hicho ni kitabu cha nani wewe mla Nguruwe?
Acha kushikiwa akili na wachungaji wako. SOMA UFAHAMU YA KUWA YESU ALIKULA SAMAKI NA SIO NGURUE NA AKASEMA TUJIFUNZE KWAKE.
Hivi ni vitabu vilivyotungwa na watu jamani, Mungu anahusika na nini kwenye hadithi hizi za kutungwa na watu?
 
Sikia mkubwa.
Acha hasira na imani za watu.
Lete ukweli wako hapo.
Kabla ya wewe kuja duniani. Ulikua wapi na ulikua nani?
Tutoe ujinga sisi waislamu tuliopo Afrika.
Kwani hayo niliyoandika ni uwongo, unataka ukweli gani tena zaidi ya hapo? Soma historia mkuu, utafaidika sana maishani mwako.
 
WOKOVU WATOKA KWA JEWS

WAISLAMU NI WAABUDU FAKE

Yohana 4
…..............saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.

22Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.

23Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.

24Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
UKRISTO SIO DINI. YESU HAKULETA DINI DUNIANI BALI UKOMBOZI

1 YOHANA2:2.
YESU ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote.

1YOHANA 4: 10.
Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu.

YOHANA 8 : 12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Yohana 8:12

USITHUBITU KUMFANAMISHA YESU NA DINI AU VITU VYA KISHENZI KAMA HIVI......

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.

NIMEISHA KUONYA.
Sisi Waislamu, tunafahamu ya kuwa wewe shida yako ni wivu dhidi ya dini ya kiislamu, dini ya haki mbele za Mungu. Ukiwa wewe huna dini wala huna uhakika wa imani yako. Ndio maana unashindwa kusema shida yako ni nini.
Sisi Waislamu tunamuamini Yesu kuliko wewe na unavyo dhani na ndio maana tunamsujudia Mungu kama Yesu alivyo tuagiza. Yesu kasema tujifunze kwake, Waislamu hawabatizani kwa kuwa yeye Yesu hakubatiza. Tunamuamini Yesu 7bu ni amri ya Mungu kwa wanyenyekevu wote kama Yesu kuamini mitume wake woooteee.
Ushauri wagu.
KUWA MUISLAMU/MNYENYEKEVU UPATE FADHILA ZA MUNGU WAKO.
Wewe ukiwa muislamu, mimi sipati chochote, ila wewe utakuwa radhi la Mola wako alie kuumba.
Yesu hajawahi kuwa huko uliko wewe.
15:18. Wakorintho wa 1.
18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
 
Kama misikiti inatakiwa ielekee kibla ambayo ni Maka , sasa misikiti iliyoko hapo Maka yenyewe inaelekea wapi?!
 
Kwani hayo niliyoandika ni uwongo, unataka ukweli gani tena zaidi ya hapo? Soma historia mkuu, utafaidika sana maishani mwako.
Ni uongo. Historia ninaisoma pia. Kwama wewe ni mkweli na umesoma hiyo historia jibu ulicho ulizwa.
Sikia mkubwa.
Acha hasira na imani za watu.
Lete ukweli wako hapo.
Kabla ya wewe kuja duniani. Ulikua wapi na ulikua nani?
 
Maka kuna Alana Fulani Al Kaaba,mfano yote inatakiwa kupelekewa ilipo Al kaaba
 
Back
Top Bottom