Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Nabii issa ni yesu?? Namana yesu sio mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LogicKama Myngu wao hasikii lugha zaidi ya kiarabu unatarajia wakigeuza kibla huyo Mungu atasikia sala zao?
Kazi kweli kweliKama Myngu wao hasikii lugha zaidi ya kiarabu unatarajia wakigeuza kibla huyo Mungu atasikia sala zao?
Immovable god who stays in Kibla, so mosque, prayers, even funerals must be directed to him as he can't even twist his head to listen in other direction than kibla
Ndio maana hawaifasiri kwa lugha nyingine zaidi ya kiarabu.
Sasa kwanini allah alituumba wa mataifa mengine na kutupa lugha nyingine? Aiseeee, Mungu huyo ni Mkuresh. Very funnyNdio lugha bora kuliko zote duniani, yenye matamshi matamu unapenda kusikiliza tu😄 na inasemekana kaburini tutaulizwa kwa lugha ya kiarabu, na sio kibantu wala kiingereza wala kihindi n.k
Na hii ni Saudia kabisaHilo hata lisikushangaze. Kabla tekinolojia ya mzungu haijasambaa sana. Hata Makkah walikosea kibla sasa na kuelekeza misikiti walikojua wao. Soma hapa chini hii habari toka Saudia kwa Waislam wenyewe
![]()
Old Mecca mosques face wrong direction: report
<p>Muslim worshippers at about 200 old mosques in Mecca have been praying in the wrong direction for decades because the mosques were not built correctly, a Saudi newspaper reported Sunday.<br/> <br/>Muslims ...</br/></br/></p>english.alarabiya.net
Sidhani mbona wanawake wao tunawafunua tu na kuwagegeda kila mwelekeoHivi muda wa kugegedana ni sasahihi kukaa mwelekeo wa qiblah?
Ishmael alifukuzwa na Ibrahim/sara, sasa sijui walijenga lini. alimbariki kuwa atakuwa na uzao mwingi, akamwondosha. Ibrahim aliishi na Isaka hadi kufa kwake, ishmael ambaye ndio waarabu kina mood alishaondoshwa. na hao wafuasi wa ishmael waliandika kila kitu kupindua kile kilichopo kwenye Bible kwasababu ya ugomvi huo huo wa mama wa kambo, na ndio maana wayahudi ni maadui wa kwanza wa kina ishmael, kwasababu ishmael alikuwa mtoto wa kambo na baraka ya Ibrahim ilienda kwa Isaka ambaye ndiye babu wa wayahudi. everything mood wrote alikuwa na kisirani na chuku dhidi ya mama mkubwa (mke wa ibrahim)aliyemtimua. hapo ndio tujifunze kuwa nyumba ndogo siku zote huleta maadui kwa watoto wetu. kila ulichoandika hapo na kila unachokiamini ni uongo uliotokana na mzizi huu. ukweli mchungu.Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...
Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Waarabu bhana...ukiswali uelekee kwao si kwa Mungu.
Ni kujibu kwa kifupi sana;Ishmael alifukuzwa na Ibrahim/sara, sasa sijui walijenga lini. alimbariki kuwa atakuwa na uzao mwingi, akamwondosha. Ibrahim aliishi na Isaka hadi kufa kwake, ishmael ambaye ndio waarabu kina mood alishaondoshwa. na hao wafuasi wa ishmael waliandika kila kitu kupindua kile kilichopo kwenye Bible kwasababu ya ugomvi huo huo wa mama wa kambo, na ndio maana wayahudi ni maadui wa kwanza wa kina ishmael, kwasababu ishmael alikuwa mtoto wa kambo na baraka ya Ibrahim ilienda kwa Isaka ambaye ndiye babu wa wayahudi. everything mood wrote alikuwa na kisirani na chuku dhidi ya mama mkubwa (mke wa ibrahim)aliyemtimua. hapo ndio tujifunze kuwa nyumba ndogo siku zote huleta maadui kwa watoto wetu. kila ulichoandika hapo na kila unachokiamini ni uongo uliotokana na mzizi huu. ukweli mchungu.
mmedanganywa sana. Ishael alipofukuzwa, hakuondoka na ibrahim wala sara, aliondoka yeye na mama yake (hagari) aliyekuwa mwarabu wa misri.Ni kujibu kwa kifupi sana
Baada ya Ishmael (Ismail) kuzaliwa na kukua kidogo, Ibrahim aliwataka waondoke hapo walipokuwa wanaishi hivyo waliondoka Ibrahim, (mtoto) na mama yake kwenda sehemu ya mbali (jangawani), walipo fika mahala ambapo sasa hivi ni Maka; Ibrahim alimuambia mkewe (mama Ishmael) wabaki hapo yeye anaendelea na safari....kwenda kusiko julikana (Alisema kuwa anawaacha kwa kuwa ni maagizo ya Mungu; Mama mtoto alikubali kwani alikuwa na imani sana ya uweza wa Mungu.
Baada ya siku chache Pale jangwani, mama akawa anahangaika kutafuta maji ya kunywesha mtoto pamoja na yeye; alikuwa anaenda na kupanda vilima viwili vilivyo kuwa karibu na hapo kuona kama ataona mtu wa kumsaidia. ( Vilima hivyo vinajulikana kama swafa na marwa) vipo hadi leo na wanaokwenda kuhiji Maka hupanda hapo
Baada ya kujaribu mara kadhaa bila kupata msaada; Aliamua kurudi kumuangalia mtoto (Ismael) kwa uwezo wa Mungu aliona pale alipokuwa amelaza mtoto kunabubujika maji kama chemchem (mazuri, masafi na yasiyo na chumvi hata kidogo)
Alishukuru Mungu na hapo hapo akachota na kumnywesha mtoto wake (Ishmael). Hicho kisima kipo hadi leo na ndicho kinalisha watu wote wanakwenda maka na hakijawahi kupungua (kinajulikana kama maji ya Zamzam)
Baadae wafanya Biashara walipita pale na walivyo ona kuna maji safi ya kutumia waliamua kujenga kituo pale cha kupumzika kwa kuwa usafiri wao ulikuwa wa Ngamia na ndivyo mji wa maka ulivyo anza.
Baada ya miaka kadhaa Ibrahim alirudi pale kufuata familia yake (mke na mtoto alio waacha), wakati huo mtoto alisha kua kiasi; na ndipo (Ishmael) akamsaidia baba yake wakati anajenga Alkaaba
Mengine yalifuata baada ya hapo..........
Siyo Saudia tu ni Mekkah kitovu cha Uislam kilipoNa hii ni Saudia kabisa
UFUNUO 9 11
Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.
Ufunuo wa Yohana
NGOJA WAAMKE WAO NI HASIRA NA HAWAJUI KUJENGA HOJA, UFUNUO 9 IMEANDIKA.
NINACHOIPENDA BIBLE ILIANDIKWA YOOTE KWAMBA HII DINI ITAKUJA DUNIANI.
Hii dini ya kobaaz ilipaswa kufutwa duniani ni dini ya hovyo.
Haujaelekezwa ulaya, umeelekezwa Somalia.Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.
Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Ukiwa Tanzania ulaya ni mashariki magharibi kusini kasikazini?Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.
Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Qur,aan sijawahi kukosolewa na mtu hapo ulicho kiandika ni kiswahili nashangaa kushindwa kufahamu maana yakeQURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI?
JIBU NI SHETANI.
SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.