Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

vp kwa wakazi wa mashariki ya mbali na kaskazin mwa dunia , hii nadharia ipo valid?
 
kwanini ?mungu aone qibra ndo sahihi na sio china au brazili ?
 
Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka.

Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
Sio kweli...
 
Out of topic..na umeandika pumba.

Fuata imani yako....acha wivu kwa waislamu.

Hapo unahisi imani yako ndiyo sahihi ulivyo juha.

Warabu na wazungu walituweza, wametuweza na wanaendelea kutuweza, yaani wametugeuza matahira kwa kupitia dini.
sijaona hoja ya kumpinga mbali na kumshambulia mwandishi badala ya kuishambulia hoja yake
 

Usipotoshe Nani alifanywa towashi kanisani kwenu? Labda wewe Ndiye wa kwanza
 
Vitabu vilivyotangulia si biblia . Biblia ziko zaidi ya 10000 na zote ni tofauti
 
Kwahiyo msikiti ukielekezwa Ulaya, Mungu hasikilizi sala za waumini?
Anasikiliza. Kwani hakimu hasikilizi utetezi wa mshitakiwa wake na anamuhukumu kwenda jela?

Kwa mujibu wa Uislamu, msikiti sio jengo la mtu biafsi, bali ni nyumba ya Mungu kwa ajili ya ibada. Hivyo ni lazima jengo hilo lijengwe kwa mujibu wa Mungu anavyotaka.

Lengo sio ulaya, inawwzekana pia kwa bujibu wa jografia ya eneo fulani, ukajikuta huko maaqa/kaskazini ndio ulaya pia, ikatofautiana uelewa tu, huyu kaelekea kaskazini kiuelewa na yule akaona kaelekea ulaya.
 
Kuna mtu aliniambia jamaa wanaabudu shetani.

Kwa andiko hilo nimethibitisha nilichokisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…