Ndiyo, wapo watu wenye akili timamu wanaamini hii Dini kuwa ndio Dini ya Mungu, na hao ndio wanaitwa kwa kiswahili ni WANYENYEKEVU, kiarabu WAISLAMU.
Kwani wewe huwajui watu hao?
3:19 QUR-AN.
19. "Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu."
Hiki ni ushahidi wa waislamu ktk kuamini kwao.
Wewe lete andiko lisemalo UKRISTO NI DINI, kuanzia mwanzo hadi ufunuo.
Nipo pale nasubiri mkuu.