Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siku utakayokuja kugunduwa Mungu hajaandika kitabu chochote kile, hapo ndio utapata akili.AMA KWELI KICHAA SI LAZIMA AOKOTE MAKOPO.
UKISOMA Aya ya pili KINAITWA UNABII.
UNABII ni Habari ya mambo yajayo.
1 Ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu awaonyeshe watumwa wake mambo ambayo kwamba hayana budi kuwako upesi; naye akatuma kwa mkono wa malaika akamwonyesha mtumwa wake Yohana;
Ufunuo wa Yohana 1:1
FICHA UJINGA
Na unakiishi.UJINGA NI KIPAJI.
Sio kitabu tu, ni vitabu.NI KITABU GANI KILICHO TANGULIA????....
Biblia si kitabu cha Mungu
Ikiwa kuna zaidi ya biblia 10000 na zote ni tofauti , jee biblia ipi Itakuwa imetangulia?
Na unakiishi.
Sio kitabu tu, ni vitabu.
1) ZABURI:- Aliyofunuliwa Daudi.
2) TORATI:- Aliyofunuliwa Mussa.
3) INJILI:- Aliyofunuliwa Yesu/Issa.
Bibilia haijafunuliwa kwa nabii yeyote, na ukitaka kujua hili Uliza kwa wanaujua kuwa Bibilia ni nini.
Siku utakayokuja kugunduwa Mungu hajaandika kitabu chochote kile, hapo ndio utapata akili.
Watu mnajua kupika chai sana, tena hii ya rangi, tatizo imewekewa sukari guru.
Kisa sio kuingia ktk masinagogi.SASA mnapoleta hoja kwamba YESU alikua ni muislamu kisa alikua anaingia kwenye masinagogi, ambayo ni misikiti ya wayahudi, wakati masinagogi Qibla huelekea Jerusalem na Siyo Mecca?
VITABU GANI VILIVYO TANGULIA.
SIMPLE AND CLEAR????
Itanilazimu sasa nikujibu kwa mujibu wa unavyotaka wewe.NYIE AKILI ZENU NDIO HAPA HUWA ZINANICHEKESHA SANA .
HIZO TORATI INJILI NK VIPO WAPI???????? 3?
?
Ahaa Gaya huko kanisani kwenu kuna utaratibu Fulani mlijiwekea ukienda kinyume inazua hoja,Mkuu uwe unatumia akili na logic wakati mwingine....sasa Watanzania wa bara wajue Kibla iko wapi inawasaidia nini maishani? Kwani ukisali hivi hivi Mungu akusikii mpaka msikiti uwe unaangalia Kibla? Hivi vitu vingine mnavyokariri ni ujinga mtupu tu. Rudini shule jamani muondoe ujinga.
Atasikia ila hatalipa malipo aliyoahidi kulipa kwa sababu vigezo na masharti havikuzingatiwa.Kwahiyo msikiti ukielekezwa Ulaya, Mungu hasikilizi sala za waumini?
Ndiyo, wapo watu wenye akili timamu wanaamini hii Dini kuwa ndio Dini ya Mungu, na hao ndio wanaitwa kwa kiswahili ni WANYENYEKEVU, kiarabu WAISLAMU.IVI KUNA WATU NA AKILI TIMAMU BADO WANAAMINI HII DINI?????
Ndiyo, wapo watu wenye akili timamu wanaamini hii Dini kuwa ndio Dini ya Mungu, na hao ndio wanaitwa kwa kiswahili ni WANYENYEKEVU, kiarabu WAISLAMU.
Kwani wewe huwajui watu hao?
3:19 QUR-AN.
19. "Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu."
Hiki ni ushahidi wa waislamu ktk kuamini kwao.
Wewe lete andiko lisemalo UKRISTO NI DINI, kuanzia mwanzo hadi ufunuo.
Nipo pale nasubiri mkuu.
Vipo WAPI ????
UNAVYO??????
UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.
QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125
Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.
WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU. NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.
JARIBUNI KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.
Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.
Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.
Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.
WUKRISTO NI KUOKOA WALE WALIOPOTEA.