my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mwaka jana muda kama huu nilikua nachagua sehem ya kwenda kuiftar mana kwa siku nilikua napata mualiko kama 3 hivi.
Mwaka huu toka ramazan ianze sijapata mualiko, waislam wameanza kua wachoyo. Sijapenda kabisa hii tabia yao. Wiki hii ramazan inaisha ata mualiko wa uongo uongo hakuna. Kama ramazan tu hakuna mualiko eid ya mwaka huu nimeifuta kabisa mana sidhani kama nitapata mualiko wa eid. Mnavofanya sio vizuri binadamu hatuendi ivi huu mwezi mtukufu mwezi wa tobaa tualikane iftar 👀