Waislam wa mwaka huu wamekuwa wachoyo sana

Waislam wa mwaka huu wamekuwa wachoyo sana

Waislam wamekuwa wakarimu kwa muda mrefu. Lakini upande wa pili wamekuwa tofauti.

Naona nao wameamua kuwa tofauti. Pasaka imepita yaani workmates wangu wengi ni wakristo na tunaishi 'kota' lakini sikupata hata mwaliko! Alafu wananiulizia Eid nitachinja nini!?....Nawaona tu...kama walivyo.
Mkialikwagwa hamji nyie ndo mana tunauchuna
 
Wee andaa tu ndizi zako na pilipili, huwezi jua utapata mwaliko siku ya idd..
 
Mwaka jana mda kama huu nilikua nachagua sehem ya kwenda kuiftar mana kwa siku nilikua napata mualiko kama 3 hivi.

Mwaka huu toka ramazan ianze sijapata mualiko, waislam wameanza kua wachoyo. Sijapenda kabisa hii tabia yao. Wiki hii ramazan inaisha ata mualiko wa uongo uongo hakuna. Kama ramazan tu hakuna mualiko eid ya mwaka huu nimeifuta kabisa mana sidhani kama nitapata mualiko wa eid. Mnavofanya sio vizuri binadamu hatuendi ivi huu mwezi mtukufu mwezi wa tobaa tualikane iftar πŸ‘€
Itakuwa upo Dar weweee, Karibu huku mkuu iftar bwelele ukitaka gimbi,mung'unya,kiazi mviringo mbogamboga,tambi,ndizi,njugumawe,andazi,chapati, n.k
KARIBU SANA
 
Waislam wamekuwa wakarimu kwa muda mrefu. Lakini upande wa pili wamekuwa tofauti.

Naona nao wameamua kuwa tofauti. Pasaka imepita yaani workmates wangu wengi ni wakristo na tunaishi 'kota' lakini sikupata hata mwaliko! Alafu wananiulizia Eid nitachinja nini!?....Nawaona tu...kama walivyo.
Kwahiyo ungefuturu mchana au usingefunga kabisa ili ule PASAKA?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sababu kuu ni vita ya urusi na Ukraine mkuu. Vita hii imefanya masuala ya mtandao kutokuwa sawa.
Hivyo idd kuwa makini ukizubaa tena shauri yako.
 
Bado week kipenzi [emoji7]
Kwani wao kwalezima walitualika au kutukaribiasha[emoji51]
Watu wakwaresma hawafuturu kama waislamu, na wala hawana daku la usiku, na hata ukipata menu kokote hutakiwi kutunza kwa ajili ya jioni mpe mtu mwingine.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wakristo wanaongoza kwa uchoyo [emoji23][emoji23]
Si wachoyo kwanza kumjua tu kama kafunga ni ngumu sana, yeye kaambiwa asikae panda kama wanafiki ili kila mtu ajue kama kafunga hapana, ila Baba yako aliye sirini, na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Kwahiyo si wachoyo.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom