my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mwaka jana mda kama huu nilikua nachagua sehem ya kwenda kuiftar mana kwa siku nilikua napata mualiko kama 3 hivi.
Mwaka huu toka ramazan ianze sijapata mualiko, waislam wameanza kua wachoyo. Sijapenda kabisa hii tabia yao. Wiki hii ramazan inaisha ata mualiko wa uongo uongo hakuna. Kama ramazan tu hakuna mualiko eid ya mwaka huu nimeifuta kabisa mana sidhani kama nitapata mualiko wa eid. Mnavofanya sio vizuri binadamu hatuendi ivi huu mwezi mtukufu mwezi wa tobaa tualikane iftar 👀
Kwani haujui uyo kiswaili kinamsumbua?tena siku hizi anajitaidikumbe inaandikwa ramazan badala ya ramadhan
Mwaka jana mda kama huu nilikua nachagua sehem ya kwenda kuiftar mana kwa siku nilikua napata mualiko kama 3 hivi.
Mwaka huu toka ramazan ianze sijapata mualiko, waislam wameanza kua wachoyo. Sijapenda kabisa hii tabia yao. Wiki hii ramazan inaisha ata mualiko wa uongo uongo hakuna. Kama ramazan tu hakuna mualiko eid ya mwaka huu nimeifuta kabisa mana sidhani kama nitapata mualiko wa eid. Mnavofanya sio vizuri binadamu hatuendi ivi huu mwezi mtukufu mwezi wa tobaa tualikane iftar [emoji102]
Sasa ww upo kwenye mfungo halafu unataka mwalikoWaislam wamekuwa wakarimu kwa muda mrefu. Lakini upande wa pili wamekuwa tofauti.
Naona nao wameamua kuwa tofauti. Pasaka imepita yaani workmates wangu wengi ni wakristo na tunaishi 'kota' lakini sikupata hata mwaliko! Alafu wananiulizia Eid nitachinja nini!?....Nawaona tu...kama walivyo.
Umeona eeh,nishaanza kupokea sms za maswali Idd lini??Waislam wamekuwa wakarimu kwa muda mrefu. Lakini upande wa pili wamekuwa tofauti.
Naona nao wameamua kuwa tofauti. Pasaka imepita yaani workmates wangu wengi ni wakristo na tunaishi 'kota' lakini sikupata hata mwaliko! Alafu wananiulizia Eid nitachinja nini!?....Nawaona tu...kama walivyo.
Bado week kipenzi 😍Nuzulati bado ngapi tujipigie mabiriani.
Aisee siye siyo wajinga,imetubidi tubalance shobo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yameshaanza kuwa motooBado week kipenzi [emoji7]
Kwani wao kwalezima walitualika au kutukaribiasha[emoji51]
Acha kujitia ujuajikumbe inaandikwa ramazan badala ya ramadhan