Waislam wa mwaka huu wamekuwa wachoyo sana

Mkialikwagwa hamji nyie ndo mana tunauchuna
 
Wee andaa tu ndizi zako na pilipili, huwezi jua utapata mwaliko siku ya idd..
 
Itakuwa upo Dar weweee, Karibu huku mkuu iftar bwelele ukitaka gimbi,mung'unya,kiazi mviringo mbogamboga,tambi,ndizi,njugumawe,andazi,chapati, n.k
KARIBU SANA
 
Kwahiyo ungefuturu mchana au usingefunga kabisa ili ule PASAKA?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sababu kuu ni vita ya urusi na Ukraine mkuu. Vita hii imefanya masuala ya mtandao kutokuwa sawa.
Hivyo idd kuwa makini ukizubaa tena shauri yako.
 
Bado week kipenzi [emoji7]
Kwani wao kwalezima walitualika au kutukaribiasha[emoji51]
Watu wakwaresma hawafuturu kama waislamu, na wala hawana daku la usiku, na hata ukipata menu kokote hutakiwi kutunza kwa ajili ya jioni mpe mtu mwingine.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Wakristo wanaongoza kwa uchoyo [emoji23][emoji23]
Si wachoyo kwanza kumjua tu kama kafunga ni ngumu sana, yeye kaambiwa asikae panda kama wanafiki ili kila mtu ajue kama kafunga hapana, ila Baba yako aliye sirini, na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Kwahiyo si wachoyo.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…