Waislamu dhidi ya Wakristu katika kufunga

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Kufunga kidini ni kunyongomyesha mwili Ili kukua na kupata nguvu kiroho ila hili la kufunga

WAKRISTO wa madhehebu ya kokole wapo vizuri mno kuliko waislam WAKRISTO hao Note: wasio Romans hufunga siku kavu bila kula na bila kuchange ratiba ya kula

WAISLAM kwakweli huwa wana change ratiba ya kula tu huacha kula mchana na huanza kula usiku

Romans hao nashindwa kuwaelezea wapogo vuguvugu mno waislam wapo vizuri kwa YOTE kasoro katika kufunga tu.
 
Naomba kuuliza hivi yale maeneo ambayo masaa ya mchana ni saa 18 au 16, inakuwaje kwenye kufunga?

Au yale maeneo ambayo kipindi flani hawapati mchana au usiku katika miezi kama miwili hivi jee wanafanyaje?

Baada ya kutoka hapo utajua kuna mambo ya dini ambayo kidogo yana ukakasi kuelezea kwasababu dini husika ililenga jamii inayoizunguka tuu
 
Yote kwa yote namuheshimu sana mtu anaeweza kukaa saa 12 bila kula inahitaji nidhamu ya hali ya juu sana.Mimi naweza kufunga kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa 5 au sita mchana basi.
 
Jamani acheni tabia ya kuongelea vitu msivyo kuwa na elimu navyo.
Alafu kila dini ina namna unavyo tafsiri sheria zake,si lazima wakristo wanavyo tafsiri mfungo ni lazima na waislam wautafiri hivyo, ndo maana waislam wanamtambua yesu kama nabii wakati wakristo wana mtambua kama mwana wa mungu na wengine kama Mungu hii inaonesha ni namna gani dini hizi zilivyo tofauti kabisa katika kutafsiri mambo.

Tafsiri ya funga ndani ya uislamu sio kujitesa wala kuteseka na njaa kwa sababu kwenye uislamu kufunga sio adhabu bali ni ibada ya kujizuia kufanya baadhi mambo ambayo ni halali kwa muda fulani tu.
Na ndio maana mgonjwa ,mwanamke mwenye mimba, mtu mwenye matatizo haruhusiwi kufunga kwa sababu mwenyezi mungu ameharamisha binadamu kujidhuru ,hivyo ukifunga kwa minajili ya kujidhuru una andikiwa dhambi.

Alafu funga inaanza saa 10:30 alfajiri mpaka saa 1:20jioni ukiangalia hapo katikati kuna masaa zaidi ya 14 sasa niambie ni binadamu gani mwenye tumbo la kuhifadhi chakula kwa masaa 14.
Jamani kila mtu aamini kile anacho kiona ni sawa hii mijadala ya kukejeliana haina afya hata kidogo na sijui kwanini uongozi wa jf unailea.
 
Jamani acheni tabia ya kuongelea vitu msivyo kuwa na elimu navyo.
Alafu kila dini ina namna unavyo tafsiri sheria zake,si lazima wakristo wanavyo tafsiri mfungo ni lazima na waislam wautafiri hivyo, ndo maana waislam wanamtambua yesu kama nabii wakati wakristo wana mtambua kama mwana wa mungu na wengine kama Mungu hii inaonesha ni namna gani dini hizi zilivyo tofauti kabisa katika kutafsiri mambo.

Tafsiri ya funga ndani ya uislamu sio kujitesa wala kuteseka na njaa kwa sababu kwenye uislamu kufunga sio adhabu bali ni ibada ya kujizuia kufanya baadhi mambo ambayo ni halali kwa muda fulani tu.
Na ndio maana mgonjwa ,mwanamke mwenye mimba, mtu mwenye matatizo haruhusiwi kufunga kwa sababu mwenyezi mungu ameharamisha binadamu kujidhuru ,hivyo ukifunga kwa minajili ya kujidhuru una andikiwa dhambi.

Alafu funga inaanza saa 10:30 alfajiri mpaka saa 1:20jioni ukiangalia hapo katikati kuna masaa zaidi ya 14 sasa niambie ni binadamu gani mwenye tumbo la kuhifadhi chakula kwa masaa 14.
Jamani kila mtu aamini kile anacho kiona ni sawa hii mijadala ya kukejeliana haina afya hata kidogo
Thibitisha uwepo uwepo wa Mungu
 
Kufunga kidini ni kunyongomyesha mwili Ili kukua na kupata nguvu kiroho ila hili la kufunga

WAKRISTO wa madhehebu ya kirokole wapo vizuri mno kuliko waislam WAKRISTO hao Note: wasio Romans hufunga siku kavu bila kula na bila kuchange ratiba ya kula

WAISLAM kwakweli Huwa Wana change ratiba ya kula tu huacha kula mchana na huanza kula usiku

Romans hao nashindwa kuwaelezea wapogo vuguvugu mno waislam wapo vizuri kwa YOTE kasoro katika kufunga tu
Haya ni mambo ya kiroho ambayo yapo Kwa nanma tofauti tofauti kwa kila dini na madhehebu Yao au mtu binafsi. Hapa umeleza kulingana na mtazamo wako bila kuwa na uelewa zaidi juu ya hayo madhehebu. Pia mambo ya kiroho ni ya ndani anayajua yeye ayafanyaye si akufurahishe wewe.
 
Kama kuna ukweli hivi, ni kama ratiba ya kula inabadilishwa tu. Watu wanakula kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni mpaka kumi na nusu usiku wakati wa mfungo.

Kuna hao wengine wanakula saa kumi na mbili jioni tu, hawali tena mpaka kumi na siku inayofatia saa kumi na mbili jioni.
 
Wanafanya usiku unakuwa mchana ila nawaheshimu kwenye usafi na mambo mengine mengi
 
Haya ni mambo ya kiroho ambayo yapo Kwa nanma tofauti tofauti kwa kila dini na madhehebu Yao au mtu binafsi. Hapa umeleza kulingana na mtazamo wako bila kuwa na uelewa zaidi juu ya hayo madhehebu. Pia mambo ya kiroho ni ya ndani anayajua yeye ayafanyaye si akufurahishe wewe.
Mtazamo ni kitu muhimu SANA
 
Back
Top Bottom