Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawapangia hadi familia yako au unadhani kufunga ni suala la kiimani tu?Siwezi kufunga ,sijawahi na sitakuja nifunge mimi wala familia yangu.
Familia yangu,sheria zangu hakuna mtu kushinda na njaa kwangu .Narudia sijawahi na sitawahi kushinda na njaa mimi wala familia yangu.Nawaheshimu wote wanaofanya hilo jambo kwa imani zao na kwa faida zao ila kwangu hapana.Unawapangia hadi familia yako au unadhani kufunga ni suala la kiimani tu?
Kwani siku za kawaida waislamu huwa hawali usiku ?kama huli kabisa ndo utakuwa huja-'badilisha ratiba ya chakula',
kwasababu kimsingi hakuna idadi maalum ya milo, 1 au 2 pia inatosha.
ngoja wenye dini zao waje watuambie mantiki ya taratibu zao.
Hiyo ni tafsiri kwa mujibu wa dini yako ww unayo iamini ww na si uislamu usilazimishe iamini katika tafsiri unayo itaka ww.Utapeli umeandika kufunga ni kunyongonyeza mwili Ili ukue kiroho na kiimani na sio kuugeuza usiku uwe mchana
I don't think jua ni hoja, unaweza kujua Jua limezama ama limetoka hata kama halionekani hilo jua.Siongelei faida za kufunga Naongelea hoja ya kusema mtu amafunga muda upi.
Chukulia mji kama Tromso uliopo Norway ambao Miezi miwili hakuna jua(halionekani) Hawa watafungaje?
Dini zili focus na kulenga jamii inayoizunguka huu ndo ukweli. Ndo maana badae kunajulikana mbona kuna miji ambayo iko hivi au vile kitabia ya Geographia ndo ambako wanajaribu ku set kulingana nayo
Wewe ni mlevi wa dini two wrongs doesn't make one rightHiyo ni tafsiri kwa mujibu wa dini yako ww unayo iamini ww na si uislamu usilazimishe iamini katika tafsiri unayo itaka ww.
Ukristo na uislamu ni dini mbili tofauti zenye mitazamo tofauti kwenye mambo mengi sana sasa iweje ulazimishe wawe na mtazamo sawa kuhusu kufunga?
Hata mimi kuna mambo mengi yaliyoko kwenye dini yenu mm kwa mtazamo wangu naona ni utapeli lakini sina muda mchafu wa kuja kuandika mada za kashifa kwa sababu imani yao hainiathiri kwa chochote kwenye maisha yangu.
Familia yako unaiendesha kitemi sio hakiFamilia yangu,sheria zangu hakuna mtu kushinda na njaa kwangu .Narudia sijawahi na sitawahi kushinda na njaa mimi wala familia yangu.Nawaheshimu wote wanaofanya hilo jambo kwa imani zao na kwa faida zao ila kwangu hapana.
Siongelei kutoonekana kwa Jua kwasababu ya Snow au mawingu naongela kutochomoza jua au kuzana(yaani giza kabisa kama giza la usiku kwa muda wote) ndani ya kipindi cha miezi miwiliI don't think jua ni hoja, unaweza kujua Jua limezama ama limetoka hata kama halionekani hilo jua.
Pia watu wengi humu hamna Exposure, jangwani kuna Hali za hewa zote mbili joto kali na Baridi kali, kama Hujui Mena kuna Snow na hali ya Hela kama Norway maeneo mengi tu, inategemea ni mSda gani wa mwaka
View attachment 3253797
So kuna maeneo kipindi cha Baridi kuna snow na Hulioni jua, hivyo hoja yako ni dhaifu sana ambayo ina assume Kama Mtume ama uisilamu hauku experience hicho kitu. Kuna hadithi kibao za Mtume zinazo elezea snow na hali ya hewa mbaya.
Ww usinge kuwa mlevi wa dini sidhani kama ungepata muda wa kushughulishwa na dini za wengine ,mpaka kuja kuleta mada za mlinganisho kati dini yako na dini za wengine ili kuonesha dini yako ndo bora kuliko nyingine.Wewe ni mlevi wa dini two wrongs doesn't make one right
Kukosa uelewa tu, tunafunga kila siku kwa masaa ya usiku tunayotumia kulala huwa hatuli kwa muda wote huo na ndio maana chakula cha asubuhi kinaitwa break fast. Suala la kufunga lipo kiafya zaidi kuliko kiimani kama unavyodhani mkuu, sasa nashangaa unapozuia familia yako isifunge.Familia yangu,sheria zangu hakuna mtu kushinda na njaa kwangu .Narudia sijawahi na sitawahi kushinda na njaa mimi wala familia yangu.Nawaheshimu wote wanaofanya hilo jambo kwa imani zao na kwa faida zao ila kwangu hapana.
Hata Polar Night na Midnight sun vyote vina explanation zake kwenye uisilamu, Canada na Urusi Kuna misikiti na wanafunga kama kawaida kutumia masaa ya Sehemu jirani.Siongelei kutoonekana kwa Jua kwasababu ya Snow au mawingu naongela kutochomoza jua au kuzana(yaani giza kabisa kama giza la usiku kwa muda wote) ndani ya kipindi cha miezi miwili
Sijawahi kuona kafiri yoyote akiwa amefunga muda wote mnakula kama mchwa, ukiuliza mtu umefunga nini kituko ni kila mtu anakwambia nimefunga kula kitu flani, mwingine kafunga kula makande, mwingine kafunga kula dagaa ila misosi mingine anapiga wanasema wameambiwa wale ila wasishibe hiyo ni funga au upuuzi?Kukufuru Nini?
Nyie hamfungi mnageuza usiku kuwa mchana
Sie makafiri msitufananishe na Romans hao Wana taratibu zaoSijawahi kuona kafiri yoyote akiwa amefunga muda wote mnakula kama mchwa, ukiuliza mtu umefunga nini kituko ni kila mtu anakwambia nimefunga kula kitu flani, mwingine kafunga kula makande, mwingine kafunga kula dagaa ila misosi mingine anapiga wanasema wameambiwa wale ila wasishibe hiyo ni funga au upuuzi?
Usafi gani mkuu? Sema nini usinijibu kama hujawahi kuishi ungujaWanafanya usiku unakuwa mchana ila nawaheshimu kwenye usafi na mambo mengine mengi