Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo gani ayoNaomba kuuliza hivi yale maeneo ambayo masaa ya mchana ni saa 18 au 16, inakuwaje kwenye kufunga?
Au yale maeneo ambayo kipindi flani hawapati mchana au usiku katika miezi kama miwili hivi jee wanafanyaje?
Baada ya kutoka hapo utajua kuna mambo ya dini ambayo kidogo yana ukakasi kuelezea kwasababu dini husika ililenga jamii inayoizunguka tuu
meku si ulisema pombe umeacha vipi tena mbona kama unaleta upishi wa kilevi mkuuNyie wote ni digidigi tu hamna lolote hata tukiwafungia mwaka mzima mje na uthibitisho wa uwepo wa Mungu mtachinjana tu kenge nyie.
Scientifically kufunga masaa kadhaa kwa siku na kula masaa mengine ndio bora zaidi ki Afya.Kufunga kidini ni kunyongomyesha mwili Ili kukua na kupata nguvu kiroho ila hili la kufunga
WAKRISTO wa madhehebu ya kokole wapo vizuri mno kuliko waislam WAKRISTO hao Note: wasio Romans hufunga siku kavu bila kula na bila kuchange ratiba ya kula
WAISLAM kwakweli huwa wana change ratiba ya kula tu huacha kula mchana na huanza kula usiku
Romans hao nashindwa kuwaelezea wapogo vuguvugu mno waislam wapo vizuri kwa YOTE kasoro katika kufunga tu.
Utapeli umeandika kufunga ni kunyongonyeza mwili Ili ukue kiroho na kiimani na sio kuugeuza usiku uwe mchanaJamani acheni tabia ya kuongelea vitu msivyo kuwa na elimu navyo.
Alafu kila dini ina namna unavyo tafsiri sheria zake,si lazima wakristo wanavyo tafsiri mfungo ni lazima na waislam wautafiri hivyo, ndo maana waislam wanamtambua yesu kama nabii wakati wakristo wana mtambua kama mwana wa mungu na wengine kama Mungu hii inaonesha ni namna gani dini hizi zilivyo tofauti kabisa katika kutafsiri mambo.
Tafsiri ya funga ndani ya uislamu sio kujitesa wala kuteseka na njaa kwa sababu kwenye uislamu kufunga sio adhabu bali ni ibada ya kujizuia kufanya baadhi mambo ambayo ni halali kwa muda fulani tu.
Na ndio maana mgonjwa ,mwanamke mwenye mimba, mtu mwenye matatizo haruhusiwi kufunga kwa sababu mwenyezi mungu ameharamisha binadamu kujidhuru ,hivyo ukifunga kwa minajili ya kujidhuru una andikiwa dhambi.
Alafu funga inaanza saa 10:30 alfajiri mpaka saa 1:20jioni ukiangalia hapo katikati kuna masaa zaidi ya 14 sasa niambie ni binadamu gani mwenye tumbo la kuhifadhi chakula kwa masaa 14.
Jamani kila mtu aamini kile anacho kiona ni sawa hii mijadala ya kukejeliana haina afya hata kidogo na sijui kwanini uongozi wa jf unailea.
meku si ulisema pombe umeacha vipi tena mbona kama unaleta upishi wa kilevi mkuu
Unafunga masaa yote 16,Naomba kuuliza hivi yale maeneo ambayo masaa ya mchana ni saa 18 au 16, inakuwaje kwenye kufunga?
Au yale maeneo ambayo kipindi flani hawapati mchana au usiku katika miezi kama miwili hivi jee wanafanyaje?
Baada ya kutoka hapo utajua kuna mambo ya dini ambayo kidogo yana ukakasi kuelezea kwasababu dini husika ililenga jamii inayoizunguka tuu
Siwezi kufunga ,sijawahi na sitakuja nifunge mimi wala familia yangu.Wewe ni mrafi usiku Huwa unakula saa ngapi?
Mji mmoja waitwa Tromso uko Norway wao Kuanzia mwanzon December hadi January Mwishon Halionekani jua(giza kwa kipindi chote hicho).Maeneo gani ayo
Siongelei faida za kufunga Naongelea hoja ya kusema mtu amafunga muda upi.Unafunga masaa yote 16,
Na mkuu kuna scientific studies kibao kuhusu Funga, either wewe ni mtu wa dini ama sio mtu wa Dini na hayo masaa 16 ndiyo ya nayo hitajika, hata uisilamu wale wanaofunga ni. Sunna Daku kula light meal kama tende tu ili kuprolong masaa unayo kaa bila kula.
Ngoma kali kinyama bro nakubali sana
Waangalie mfano tu kwa wenzao wanaoendana mdaSiongelei faida za kufunga Naongelea hoja ya kusema mtu amafunga muda upi.
Chukulia mji kama Tromso uliopo Norway ambao Miezi miwili hakuna jua(halionekani) Hawa watafungaje?
Dini zili focus na kulenga jamii inayoizunguka huu ndo ukweli. Ndo maana badae kunajulikana mbona kuna miji ambayo iko hivi au vile kitabia ya Geographia ndo ambako wanajaribu ku set kulingana nayo