kama huli kabisa ndo utakuwa huja-'badilisha ratiba ya chakula',WAISLAM kwakweli Huwa Wana change ratiba ya kula tu huacha kula mchana na huanza kula usiku
Ulaji tuNapenda mifungo ya waislamu ile misosi sio poa na uji wa mhogo. .
Waislamu huwa wanaota hadi vitambi kipindi cha mwezi mtukufu.
Usitufokee wa mrembo?😀😀Nyie wote ni digidigi tu hamna lolote hata tukiwafungia mwaka mzima mje na uthibitisho wa uwepo wa Mungu mtachinjana tu kenge nyie.
Thibitisha uwepo uwepo wa MunguJamani acheni tabia ya kuongelea vitu msivyo kuwa na elimu navyo.
Alafu kila dini ina namna unavyo tafsiri sheria zake,si lazima wakristo wanavyo tafsiri mfungo ni lazima na waislam wautafiri hivyo, ndo maana waislam wanamtambua yesu kama nabii wakati wakristo wana mtambua kama mwana wa mungu na wengine kama Mungu hii inaonesha ni namna gani dini hizi zilivyo tofauti kabisa katika kutafsiri mambo.
Tafsiri ya funga ndani ya uislamu sio kujitesa wala kuteseka na njaa kwa sababu kwenye uislamu kufunga sio adhabu bali ni ibada ya kujizuia kufanya baadhi mambo ambayo ni halali kwa muda fulani tu.
Na ndio maana mgonjwa ,mwanamke mwenye mimba, mtu mwenye matatizo haruhusiwi kufunga kwa sababu mwenyezi mungu ameharamisha binadamu kujidhuru ,hivyo ukifunga kwa minajili ya kujidhuru una andikiwa dhambi.
Alafu funga inaanza saa 10:30 alfajiri mpaka saa 1:20jioni ukiangalia hapo katikati kuna masaa zaidi ya 14 sasa niambie ni binadamu gani mwenye tumbo la kuhifadhi chakula kwa masaa 14.
Jamani kila mtu aamini kile anacho kiona ni sawa hii mijadala ya kukejeliana haina afya hata kidogo
Haya ni mambo ya kiroho ambayo yapo Kwa nanma tofauti tofauti kwa kila dini na madhehebu Yao au mtu binafsi. Hapa umeleza kulingana na mtazamo wako bila kuwa na uelewa zaidi juu ya hayo madhehebu. Pia mambo ya kiroho ni ya ndani anayajua yeye ayafanyaye si akufurahishe wewe.Kufunga kidini ni kunyongomyesha mwili Ili kukua na kupata nguvu kiroho ila hili la kufunga
WAKRISTO wa madhehebu ya kirokole wapo vizuri mno kuliko waislam WAKRISTO hao Note: wasio Romans hufunga siku kavu bila kula na bila kuchange ratiba ya kula
WAISLAM kwakweli Huwa Wana change ratiba ya kula tu huacha kula mchana na huanza kula usiku
Romans hao nashindwa kuwaelezea wapogo vuguvugu mno waislam wapo vizuri kwa YOTE kasoro katika kufunga tu
Huu ndio ukweRikama huli kabisa ndo utakuwa huja-'badilisha ratiba ya chakula',
kwasababu kimsingi hakuna idadi maalum ya milo, 1 au 2 pia inatosha.
Wanafanya usiku unakuwa mchana ila nawaheshimu kwenye usafi na mambo mengine mengiKama kuna ukweli hivi, ni kama ratiba ya kula inabadilishwa tu. Watu wanakula kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni mpaka kumi na nusu usiku wakati wa mfungo.
Kuna hao wengine wanakula saa kumi na mbili jioni tu, hawali tena mpaka kumi na siku inayofatia saa kumi na mbili jioni.
Mtazamo ni kitu muhimu SANAHaya ni mambo ya kiroho ambayo yapo Kwa nanma tofauti tofauti kwa kila dini na madhehebu Yao au mtu binafsi. Hapa umeleza kulingana na mtazamo wako bila kuwa na uelewa zaidi juu ya hayo madhehebu. Pia mambo ya kiroho ni ya ndani anayajua yeye ayafanyaye si akufurahishe wewe.