Waislamu dhidi ya Wakristu katika kufunga

Yote kwa yote namuheshimu sana mtu anaeweza kukaa saa 12 bila kula inahitaji nidhamu ya hali ya juu sana.Mimi naweza kufunga kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa 5 au sita mchana basi.
Wewe ni mrafi usiku Huwa unakula saa ngapi?
 
Maeneo gani ayo
 
Scientifically kufunga masaa kadhaa kwa siku na kula masaa mengine ndio bora zaidi ki Afya.

Soma huu ushauri wa kisayansi then apply kwenye Maisha ya kawaida utaona funga ya nani ipo sahihi.

 
Utapeli umeandika kufunga ni kunyongonyeza mwili Ili ukue kiroho na kiimani na sio kuugeuza usiku uwe mchana
 
Unafunga masaa yote 16,

Na mkuu kuna scientific studies kibao kuhusu Funga, either wewe ni mtu wa dini ama sio mtu wa Dini na hayo masaa 16 ndiyo ya nayo hitajika, hata uisilamu wale wanaofunga ni. Sunna Daku kula light meal kama tende tu ili kuprolong masaa unayo kaa bila kula.
 
Siongelei faida za kufunga Naongelea hoja ya kusema mtu amafunga muda upi.
Chukulia mji kama Tromso uliopo Norway ambao Miezi miwili hakuna jua(halionekani) Hawa watafungaje?

Dini zili focus na kulenga jamii inayoizunguka huu ndo ukweli. Ndo maana badae kunajulikana mbona kuna miji ambayo iko hivi au vile kitabia ya Geographia ndo ambako wanajaribu ku set kulingana nayo
 
Mji mmoja waitwa Tromso uko Norway wao Kuanzia mwanzon December hadi January Mwishon Halionekani jua(giza kwa kipindi chote hicho).

Pia hata Ungereza kuna kipindi mchana(day) hufikia masaa 18
Hii ni mpya kwangu
 
Waangalie mfano tu kwa wenzao wanaoendana mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…