Nani kasema ROHO MTAKATIFU ni nafsi nyingi ? Nimesema kwa hoja za wanao dai mungu ana nafsi zaidi ya moja ...hoja zao wanazotumia kutetea nafsi zaidi ya moja ya mungu ndiyo ukitumia hiyo hoja jibu linakuja kuwa basi Roho mtakatifu ni nafsi nyingi za mungu ...hivyo hoja zao ni potovu...Umechanganya kujawa na Roho Mtakatifu na kuwa na nafsi nyingi za Roho. (Matendo 2:4) Watu wengi kujazwa na Roho mmoja hakumaanishi kuna Roho wengi. Lete aya inayosema Roho Mtakatifu ni nafsi nyingi; “wote wakajazwa” haitoshi kuthibitisha hilo.. Kila nikikuambia ulete aya unakimbia na kuzusha jipya . Bora kakojowe ukalale
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26
Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?
- Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
- Ikumbukwe Majestic We zinatumika kwa viongozi tu, na kutambua utendaji walio chini , na viongozi hao huwa na baraza ( Mfalme - baraza la wazee , Raisi - mawaziri) - Kwa hiyo ni sawa kutumia wingi, kama uwakilishi
- Ikumbukwe kuna verse Allah ametumia I am na kwanini pale tu , ndipo alitum
Nani kasema ROHO MTAKATIFU ni nafsi nyingi ? Nimesema kwa hoja za wanao dai mungu ana nafsi zaidi ya moja ...hoja zao wanazotumia kutetea nafsi zaidi ya moja ya mungu ndiyo ukitumia hiyp hpja jibu linakuja kuwa basi Roho mtakatifu ni nafsi nyingi za mungu ...hivyp hoja zao ni potovu...
Tunauza MkaaKuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26
Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?
- Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
- Ikumbukwe Majestic We zinatumika kwa viongozi tu, na kutambua utendaji walio chini , na viongozi hao huwa na baraza ( Mfalme - baraza la wazee , Raisi - mawaziri) - Kwa hiyo ni sawa kutumia wingi, kama uwakilishi
- Ikumbukwe kuna verse Allah ametumia I am na kwanini pale tu , ndipo alitumia wingi?
Nani kasema Mungu ni nafsi 3 ..? Mbona unanilisha maneno au naelimisha chizi ? Nimekuambia Mungu ni mmoja tu na nafsi yake ni moja tu...wacha kunisumbua na bichwa lako bovu.Sawa, lakini usichanganye mambo. “Wengi kujazwa na Roho mmoja” si ushahidi wa nafsi tatu. Kama hoja yako ni kwamba Utatu ni potovu, lete aya inayosema Mungu ni nafsi tatu si kubadili hoja kila unapobanwa
Nani kasema Mungu ni nafsi 3 ..? Mbona unanilisha maneno au naelimisha chizi ? Nimekuambia Mungu ni mmoja tu na nafsi yake ni moja tu...wacha kunisumbua na bichwa lako bovu.
Nani kasema Mungu ni nafsi 3 ..? Mbona unanilisha maneno au naelimisha chizi ? Nimekuambia Mungu ni mmoja tu na nafsi yake ni moja tu...wacha kunisumbua na bichwa lako bovuSawa, lakini usichanganye mambo. “Wengi kujazwa na Roho mmoja” si ushahidi wa nafsi tatu. Kama hoja yako ni kwamba Utatu ni potovu, lete aya inayosema Mungu ni nafsi tatu si kubadili hoja kila unapobanwa
Hayo ni mafundisho potovu baba na mwana na roho mtakatifu siyo nafsi tofauti ...ni nafsi hiyo hiyo moja mfano hamisi akiwa dereva anaitwa dereva ila ni yule yule hamisi na hamisi hakiwa rubani anaitwa rubani lakini ni yule yule hamisi.Wewe mwenyewe umesema Mungu ni mmoja na nafsi yake ni moja—hapo tumekubaliana. Sasa swali ni: Biblia yako inasema wapi wazi kwamba huyo Mungu mmoja ana Baba, Mwana na Roho Mtakatifu kama nafsi tofauti? Usinijibu kwa hasira wala matusi; lete aya yenyewe.
Nani kasema Mungu ni nafsi 3 ..? Mbona unanilisha maneno au naelimisha chizi ? Nimekuambia Mungu ni mmoja tu na nafsi yake ni moja tu...wacha kunisumbua na bichwa lako bovu
Hayo ni mafundisho potovu baba na mwana na roho mtakatifu siyo nafsi tofauti ...ni nafsi hiyo hiyo moja mfano hamisi akiwa dereva anaitwa dereva ila ni yule yule hamisi na hamisi hakiwa rubani anaitwa rubani lakini ni yule yule hamisi.
Aya zipo zaidi ya mia ..shida inaweza kuwa ni uelewa wake mtu tu ....mfano Yesu kajieleza sana kuwa yeye ni mfalme tena ni mfalme mbinguni na kwenye torati ni hivyo hivyo torati imeeleza sana kuwa huyo ajae ni mfalme ...ndiyo maana mfalme Herode alipo sikia kuwa mtoto aliye tabiriwa kazaliwa basi alichukia na kuuzunika sana na kufanya mipango ya kumuua ...swali kwanini herode alitaka kumuua Yesu toka mtoto jibu ni kwamba waisrael wote walidhani huyo Yesu akija atakuwa ni mfalme wa duniani ...sasa swali je mbinguni kuna wafalme wangapi hata kwa mujibu wa msahafu?Sawa, basi tuache mifano ya Hamisi na turudi kwenye Biblia. Wewe unadai Baba, Mwana na Roho Mtakatifu si nafsi tofauti, bali ni nafsi moja.
Basi lete aya moja tu ya Biblia inayosema wazi: “Baba ndiye Mwana, na Mwana ndiye Roho Mtakatifu” au kwamba hao watatu ni nafsi moja.
Kama hakuna aya hiyo, kubaki kusema “ni nafsi moja” ni tafsiri yako, si kauli ya Biblia. Lete aya, si mifano wala matusi.
Aya zipo zaidi ya mia ..shida inaweza kuwa ni uelewa wake mtu tu ....mfano Yesu kajieleza sana kuwa yeye ni mfalme tena ni mfalme mbinguni na kwenye torati ni hivyo hivyo torati imeeleza sana kuwa huyo ajae ni mfalme ...ndiyo maana mfalme Herode alipo sikia kuwa mtoto aliye tabiriwa kazaliwa basi alichukia na kuuzunika sana na kufanya mipango ya kumuua ...swali kwanini herode alitaka kumuua Yesu toka mtoto jibu ni kwamba waisrael wote walidhani huyo Yesu akija atakuwa ni mfalme wa duniani ...sasa swali je mbinguni kuna wafalme wangapi hata kwa mujibu wa msahafu?
Soma kwa akili ...siyo kama anithi wa akili ..kasome
Mathayo 21:5 — Yesu anaingia Yerusalemu kama Mfalme, akiwa amepanda mwana-punda.
Timotheo 6:15 — Yesu anaitwa “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”
Ufunuo 17:14 — Yesu anatajwa kuwa “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”
Ufunuo 19:11–16 — Yesu anarudi kama Mfalme mwenye mamlaka; juu ya vazi lake limeandikwa: “MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.” Jagina
G spot 😂😂😁Umempiga kwenye G
Aya zinasema Yesu ni mfalme mbinguni sasa unauliza kwa nini azisemi Yesu ndiye baba ?je zingesema usingekuja na hoja kuwa kwanini azisemi ni Mungu zinasema baba ....ujasoma hapo kuwa aya zinasema kuwa yesu niye bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme ....tambua kuwa aliye bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme ni MWENYEZI MUNGU TUKabla hujaniambia “soma kwa akili,” wewe mwenyewe soma mistari yote kwa akili na kwa muktadha. Hakuna hata aya moja kati ya ulizotoa inayosema Yesu ndiye Baba au kwamba Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni nafsi moja.
Mathayo 21:5 inasema Yesu anaingia kama Mfalme, si kwamba yeye ni Mungu Baba.
Ufunuo 17:14 na 19:16 kumwita Yesu “Mfalme wa wafalme” hakumfanyi kuwa Baba. Cheo hakibadilishi utambulisho. Na hapa ndipo hoja yako inaporomoka:
Ufunuo 3:12 Yesu mwenyewe anasema: “Mungu wangu” mara nne.
Sasa jiulize kwa akili: kama Yesu ndiye Mungu Baba yuleyule, Yesu alikuwa anamwita nani “Mungu wangu”?
Na Yohana 20:17 Yesu alisema: “Ninapaa kwenda kwa Baba yangu, naye ni Baba yenu; kwa Mungu wangu, naye ni Mungu wenu.”
Huyu Yesu mwenyewe anatofautisha yeye na Baba, na anamwita Baba yake Mungu.
Pia 1 Timotheo 6:15 usikimbilie kuipachika kwa Yesu bila kusoma muktadha. Mstari unaofuata unasema:
1 Timotheo 6:16: “Ambaye yeye peke yake hakufa...”
Kwa hiyo ukitaka kuitumia kama ushahidi wa Utatu, kwanza thibitisha kwa Biblia yenyewe kwamba huyo anayezungumziwa hapo ni Yesu.
Umeleta aya za Yesu kuitwa Mfalme, lakini swali langu lilikuwa rahisi:
LETA AYA INAYOSEMA WAZI “BABA NI MWANA, MWANA NI ROHO MTAKATIFU, NA HAO NI NAFSI MOJA.”
Usiniletee cheo cha “Mfalme” kama jibu la swali la utambulisho wa Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Soma ukitumia akili na pia soma Biblia yote, si aya unazochagua tu.
Mungu wa yesu ni nafsi yake ..ile nafsi ndiyo mungu wa ule mwili...kwa sababu nafsi ya mungu ilitwaa mwili wa kibinadamu .....neno mwana umaanisha mwili wa Yesu na neno baba umaanisha nafsi ya YesuKabla hujaniambia “soma kwa akili,” wewe mwenyewe soma mistari yote kwa akili na kwa muktadha. Hakuna hata aya moja kati ya ulizotoa inayosema Yesu ndiye Baba au kwamba Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni nafsi moja.
Mathayo 21:5 inasema Yesu anaingia kama Mfalme, si kwamba yeye ni Mungu Baba.
Ufunuo 17:14 na 19:16 kumwita Yesu “Mfalme wa wafalme” hakumfanyi kuwa Baba. Cheo hakibadilishi utambulisho. Na hapa ndipo hoja yako inaporomoka:
Ufunuo 3:12 Yesu mwenyewe anasema: “Mungu wangu” mara nne.
Sasa jiulize kwa akili: kama Yesu ndiye Mungu Baba yuleyule, Yesu alikuwa anamwita nani “Mungu wangu”?
Na Yohana 20:17 Yesu alisema: “Ninapaa kwenda kwa Baba yangu, naye ni Baba yenu; kwa Mungu wangu, naye ni Mungu wenu.”
Huyu Yesu mwenyewe anajitofautisha yeye na Baba, na anamwita Baba yake Mungu.
Pia 1 Timotheo 6:15 usikimbilie kuipachika kwa Yesu bila kusoma muktadha. Mstari unaofuata unasema:
1 Timotheo 6:16: “Ambaye yeye peke yake hakufa...”
Kwa hiyo ukitaka kuitumia kama ushahidi wa Utatu, kwanza thibitisha kwa Biblia yenyewe kwamba huyo anayezungumziwa hapo ni Yesu.
Umeleta aya za Yesu kuitwa Mfalme, lakini swali langu lilikuwa rahisi:
LETA AYA INAYOSEMA WAZI “BABA NI MWANA, MWANA NI ROHO MTAKATIFU, NA HAO NI NAFSI MOJA.”
Usiniletee cheo cha “Mfalme” kama jibu la swali la utambulisho wa Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Soma ukitumia akili na pia soma Biblia yote, si aya unazochagua tu.
Aya zinasema Yesu ni mfalme mbinguni sasa unauliza kwa nini azisemi Yesu ndiye baba ?je zingesema usingekuja na hoja kuwa kwanini azisemi ni Mungu zinasema baba ....ujasoma hapo kuwa aya zinasema kuwa yesu niye bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme ....tambua kuwa aliye bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme ni MWENYEZI MUNGU TU
Mungu wa yesu ni nafsi yake ..ile nafsi ndiyo mungu wa ule mwili...kwa sababu nafsi ya mungu ilitwaa mwili wa kibinadamu .....neno mwana umaanisha mwili wa Yesu na neno baba umaanisha nafsi ya Yesu