Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mimi ni mkristo safiSandali ali ni vyema ungebaki na unacho amini kupitia uislam ayo ya wakristo waachie wao
Utakuwa unawazungumziHabari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna haraka hapahapa duniani. There is something ahead.
Cha ajabu sasa wakristo tunatoa sadaka tukitarajia mibaraka. Na kwa akili hizi basi na wahuni wameingia kundini kutafuna pesa za Waumini makanisani.
Yaani ibada haiwezi kuisha bila kupigiana kelele juu ya sadaka.
Utakuwa unawazungumzi
Issue ya panya road umeishia wapi mpaka umeamua kuamia kwenye Udini vijana tupo depressed Sana most of time tunawaza ujingaHabari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna haraka hapahapa duniani. There is something ahead.
Cha ajabu sasa wakristo tunatoa sadaka tukitarajia mibaraka. Na kwa akili hizi basi na wahuni wameingia kundini kutafuna pesa za Waumini makanisani.
Yaani ibada haiwezi kuisha bila kupigiana kelele juu ya sadaka.
Daah! Mkuu umetoa elimu nzuri sana. Kama ungelikuwa karibu ningelikupa utakacho .Wajinga ndio mliwao, hazina yako haimaaniaha fedha wala sadaka
maana yake ni MOYONI MWAKO YUPO NANI? ...
Mfano: 1 Mim marytina hazina yangu ni mume wangu yaan mawazo, nguvu, akili na tumaini langu lipo kwa mume wangu
Mfano 2: Kuna waziri aliitwa kigoma Ally malima huyu moyo wake aliuweka kwenye pesa zake alizoweka ulaya. alipogundua akaunti zimefungwa akakufa
Moyo ukiuelekeza kwenye mali mali ikipotea gafla unakata moto. Kwani hapo ndipo hazina yako ilipo.
Achana na wachungaji toa sadaka weka hazina....
Hazina ya kikristo ni kumtegemea na kumwona Mungu tu na sio Mali za ulimwengu
Issue ya panya road naendelea kuofutilia. Nilienda Muhimbili kitengo cha dharura Jana. Daaaahhh ni unyama mwingi.Issue ya panya road umeishia wapi mpaka umeamua kuamia kwenye Udini vijana tupo depressed Sana most of time tunawaza ujinga
we mvaa kobazi wacha kujifanya mkristo.Punguan wahed.Habari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna haraka hapahapa duniani. There is something ahead.
Cha ajabu sasa wakristo tunatoa sadaka tukitarajia mibaraka. Na kwa akili hizi basi na wahuni wameingia kundini kutafuna pesa za Waumini makanisani.
Yaani ibada haiwezi kuisha bila kupigiana kelele juu ya sadaka.
Shida kapita kwa walim wa dini makanjanja...Daah! Mkuu umetoa elimu nzuri sana. Kama ungelikuwa karibu ningelikupa utakacho .
Huna ukristu wowoteMimi ni mkristo safi
Lugha za kuudhi kwenye mijadala ni ishara ya udhaifu!DINI ya kiislamu ni DINI ya hovyo sana.
Ukioa wake wanne unapata swawabu MBINGUNI Kuna ahadi ya wanawake Mabikora 70 peponi
NAJUTA sana Rumi kuanzisha Hii DINI.
Hakuna jambo lingine la maana zaidi ya hilo?Mkuu kule kwa Baaabaaaa tutakua tunasifu na kuimba mapambio wakati nyie mtakua mnazifaidi sadaka zenu kwa kuchakata mabikra. Tulia basi tujilipe duniani kabisa kabisa
Zaburi 20:3-4Habari!