Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scars bhana ningeshangaa Kama usingekomenti kwenye huu Uzi....mshtue kiranga nae aje aweke sahihi...Hakuna jambo lingine la maana zaidi ya hilo?
Basi itakuwa ni sehemu moja ya hovyo sana
Kitu kimoja ambacho nimekibaini kwenye hizi dini ni kwamba waliokuwa wana invent hizi dini waliweka hadi personal interests zao kuwa sehemu ya vitabu ambavyo walikuwa wanaviandikaScars bhana ningeshangaa Kama usingekomenti kwenye huu Uzi....mshtue kiranga nae aje aweke sahihi...
DINI ya kiislamu ni DINI ya hovyo sana.
Ukioa wake wanne unapata swawabu MBINGUNI Kuna ahadi ya wanawake Mabikora 70 peponi
NAJUTA sana Rumi kuanzisha Hii DINI.
AkakufaWajinga ndio mliwao, hazina yako haimaanishi fedha wala sadaka
maana yake ni MOYONI MWAKO YUPO NANI? ...
Mfano: 1 Mim marytina hazina yangu ni mume wangu yaan mawazo, nguvu, akili na tumaini langu lipo kwa mume wangu ( kwa hiyo nikiachika najidhuru i.e hazina/ moyo nimeweka kwa mume badala ya YESU)
Mfano 2: Kuna waziri aliitwa kigoma Ally malima huyu moyo wake aliuweka kwenye pesa zake alizoweka ulaya. alipogundua akaunti zimefungwa akakufa
Moyo ukiuelekeza kwenye mali mali ikipotea gafla unakata moto. Kwani hapo ndipo hazina yako ilipo.
Achana na wachungaji toa sadaka weka hazina....
Hazina ya kikristo ni kumtegemea na kumwona Mungu tu na sio Mali za ulimwengu
HahahahAkakufa