Waislamu jifunzeni kutenganisha dini (religion) na ya kidunia (secularism)

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa!

Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini.

Watu wengi wanakimbia uarabuni na kwenda nchi za magharibi kuondokana na ukandamizi unaotokana na kuchanganya dini na sayansi.

Dubai, Bahrein, Qatar, n.k., wamegundua dini ni kikwazo kikubwa kwa uchumi wao na wamefanya udunianisho (secularization) ya nchi zao. Nani asiyejua maendeleo makubwa ya mataifa haya madogo?

Ukifika Zanzibar unagundua haraka kuwa tatizo hapa ni dini.

Waislamu wengi wamebanwa kwenye mtego wa “Uislamu” na wanateseka sana! Utakuta mathalan hapa Dar es Salaam pamoja na joto kali kupindukia mabinti wa kiislam wanalazimishwa kuvaa baibui jeusi na kuziba nyuso zao kwa hijab siku nzima! Rangi nyeusi husharabu joto na kuuchoma mwili lakini watu hawaoni sayansi hii wao hukomalia dini tu. Je utumwa wa waarabu haukuwatosha?

Msipobadilika mtaendelea kuwa miaka 600 nyuma ya dunia na kuyaona mataifa ya magharibi na Ukristo kuwa adui yenu mkubwa. Adui yenu mkubwa ni dini yenu!
 
Dini na Dunia havitenganishwi, ukifanya hivyo ni uchague wewe ni muislam au ni mdunia, lazima uchague kimoja tu......
Kwa kukusaidia tu, maana ya Dini ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu wenye msingi mkuu mmoja tu "Kufuata maaamrisho ya Allah na kuacha makatazo yake" sasa ni simple tu ukitaka hiyo dunia ni lazima ujiulize je hili limeamrishwa na Alla au limekatazwa basi hakuna kanuni nyingine!!!
 
Ngoja waje.... Hasa hao suni ndo shida sana.. halafu mambo yenyewe ya kizamani tena ya tamaduni za mashariki huko wanayaleta huku... Baadh ya nchi za africa magharibi watabaki kama walivyo daima wasipofanya marekebisho. Dini ziwepo lakini nchi iwe na sheria ambazo angalau zitaidhibiti
 
Dini na Dunia havitenganishwi, ukifanya hivyo ni uchague wewe ni muislam au ni mdunia, lazima uchague kimoja tu......
Kwa kukusaidia tu, maana ya Dini ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu wenye msingi mkuu mmoja tu "Kufuata maaamrisho ya Allah na kuacha makatazo yake" sasa ni simple tu ukitaka hiyo dunia ni lazima ujiulize je hili limeamrishwa na Alla au limekatazwa basi hakuna kanuni nyingine!!!
Hapo hapo ndipo Uislamu hugeuka kuwa MAAMRISHO ya Allah na kweli tunaona shida ya jambo hilo duniani.
 
NGOJA WAVAA KOBAZI WAJE, MAAMUMA VITUKUU VYA MTUME WAO, THE DESCENDERS OF MUDY
 
Wenzao wa huko ulikotoka uislam wameanza kuachana na ujinga huo. Taratibu tunaona nchi shina la uislam nayo imeanza kubadilika japo wakongwe wahafidhina bado hawataki mabadiliko hayo. Tazama nchi kama saudi arabia na misimamo ya mwanamfalme wao anavyotawala kimagharibi, soon saudi arabia itapewa nafasi ya kuandaa mashindano makubwa ya kimataifa ili tu kuuharibu kabisa uislam
 
Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa!

Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini.

Watu wengi wanakimbia uarabuni na kwenda nchi za magharibi kuondokana na ukandamizi unaotokana na kuchanganya dini na sayansi.

Dubai, Bahrein, Qatar, n.k., wamegundua dini ni kikwazo kikubwa kwa uchumi wao na wamefanya udunianisho (secularization) ya nchi zao. Nani asiyejua maendeleo makubwa ya mataifa haya madogo?

Ukifika Zanzibar unagundua haraka kuwa tatizo hapa ni dini.

Waislamu wengi wamebanwa kwenye mtego wa “Uislamu” na wanateseka sana! Utakuta mathalan hapa Dar es Salaam pamoja na joto kali kupindukia mabinti wa kiislam wanalazimishwa kuvaa baibui jeusi na kuziba nyuso zao kwa hijab siku nzima! Rangi nyeusi husharabu joto na kuuchoma mwili lakini watu hawaoni sayansi hii wao hukomalia dini tu. Je utumwa wa waarabu haukuwatosha?

Msipobadilika mtaendelea kuwa miaka 600 nyuma ya dunia na kuyaona mataifa ya magharibi na Ukristo kuwa adui yenu mkubwa. Adui yenu mkubwa ni dini yenu!
Unashangaa Joto la Dar es salaam lakini wanawake bado wanajistiri lakini hushangai na baridi yote ya Ulaya Wanawake wanatembea Uchi?

Kama Dini ndio inarudisha nyuma Waarabu kwny maendeleo kipi kinawafanya Ulaya Mashariki na Mataifa kama ya Ugiriki hadi kutangazwa kuwa Muflisi ?

kipi kinafanya Burundi na mfano wa Mataifa hayo kuwa kwny top ten ya Masikini Duniani japo wao sio Waislam?

njoo na facts zinazosema kuwa kwa jambo hili la Uislam mtu hawezi kuchomokoa kwny Usilam? labda kwa kuwa Nchi zao bado hazitaki kutoa ruhusa ya Kisheria watu kulawitiana kama Ulaya na Marekani

Malaysia wana Usilam mwingi kuliko Waarabu lakini bado kiuchumi wako vyema zaid kuliko sie Nchi ya Kanisa Italy …tatizo nini sasa?
 
Wale wanaoshika Uislamu wakijua ni kibandiko tu wanafanikiwa ndio hao akina Dubai na Malaysia. Lakini akina yakhe Uislamu ni balaa kubwa!
 
Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa!

Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini.

Watu wengi wanakimbia uarabuni na kwenda nchi za magharibi kuondokana na ukandamizi unaotokana na kuchanganya dini na sayansi.

Dubai, Bahrein, Qatar, n.k., wamegundua dini ni kikwazo kikubwa kwa uchumi wao na wamefanya udunianisho (secularization) ya nchi zao. Nani asiyejua maendeleo makubwa ya mataifa haya madogo?

Ukifika Zanzibar unagundua haraka kuwa tatizo hapa ni dini.

Waislamu wengi wamebanwa kwenye mtego wa “Uislamu” na wanateseka sana! Utakuta mathalan hapa Dar es Salaam pamoja na joto kali kupindukia mabinti wa kiislam wanalazimishwa kuvaa baibui jeusi na kuziba nyuso zao kwa hijab siku nzima! Rangi nyeusi husharabu joto na kuuchoma mwili lakini watu hawaoni sayansi hii wao hukomalia dini tu. Je utumwa wa waarabu haukuwatosha?

Msipobadilika mtaendelea kuwa miaka 600 nyuma ya dunia na kuyaona mataifa ya magharibi na Ukristo kuwa adui yenu mkubwa. Adui yenu mkubwa ni dini yenu!
Mbona Vatican ni nchi na wanachanganya dini katika serekali.
Hakuna anqyekimbia nchi ulizotaja,nenda ukaone kulivyoendelea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dini na Dunia havitenganishwi, ukifanya hivyo ni uchague wewe ni muislam au ni mdunia, lazima uchague kimoja tu......
Kwa kukusaidia tu, maana ya Dini ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu wenye msingi mkuu mmoja tu "Kufuata maaamrisho ya Allah na kuacha makatazo yake" sasa ni simple tu ukitaka hiyo dunia ni lazima ujiulize je hili limeamrishwa na Alla au limekatazwa basi hakuna kanuni nyingine!!!
Huu ndio ukweli,na mleta uzi anajuwa kana huu ni ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dini na Dunia havitenganishwi, ukifanya hivyo ni uchague wewe ni muislam au ni mdunia, lazima uchague kimoja tu......
Kwa kukusaidia tu, maana ya Dini ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu wenye msingi mkuu mmoja tu "Kufuata maaamrisho ya Allah na kuacha makatazo yake" sasa ni simple tu ukitaka hiyo dunia ni lazima ujiulize je hili limeamrishwa na Alla au limekatazwa basi hakuna kanuni nyingine!!!
Uzi ungeishia hapa.
Asichokijua mleta mada ni kwamba hata hiyo secularism ni dini pia kwa sababu ni mfumo fulani wa maisha, kama ulivyo Uislamu.
Ijapokuwa mifumo hii kama secularism inamapungufu mengi na haigusi nyanja zote za maisha, tofauti na Uislamu mfumo ambao umekamilika katika kila nyanja.
 
Aliyekwambia binti wa kiislam lazima avae baibui jeusi ni Nani
Kama jua wanachomwa wao wew inakuuma nini
Kama wapo nyuma ni wao wew mtoa mada unaumia nini
Waache waamini wanachokiamini na wew amini unachoamini
Simply the best
 
Wenzao wa huko ulikotoka uislam wameanza kuachana na ujinga huo. Taratibu tunaona nchi shina la uislam nayo imeanza kubadilika japo wakongwe wahafidhina bado hawataki mabadiliko hayo. Tazama nchi kama saudi arabia na misimamo ya mwanamfalme wao anavyotawala kimagharibi, soon saudi arabia itapewa nafasi ya kuandaa mashindano makubwa ya kimataifa ili tu kuuharibu kabisa uislam
Unajidanganya uislamu upo na utakuwepo,hapo Saudia ndio uislamu ulipigwa vita miaka 1445 iliyopita,lakini ndio umezidi kutanuka.Ukimpiga chura teke,unamuongezea mwendo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unashangaa Joto la Dar es salaam lakini wanawake bado wanajistiri lakini hushangai na baridi yote ya Ulaya Wanawake wanatembea Uchi?

Kama Dini ndio inarudisha nyuma Waarabu kwny maendeleo kipi kinawafanya Ulaya Mashariki na Mataifa kama ya Ugiriki hadi kutangazwa kuwa Muflisi ?

kipi kinafanya Burundi na mfano wa Mataifa hayo kuwa kwny top ten ya Masikini Duniani japo wao sio Waislam?

njoo na facts zinazosema kuwa kwa jambo hili la Uislam mtu hawezi kuchomokoa kwny Usilam? labda kwa kuwa Nchi zao bado hazitaki kutoa ruhusa ya Kisheria watu kulawitiana kama Ulaya na Marekani

Malaysia wana Usilam mwingi kuliko Waarabu lakini bado kiuchumi wako vyema zaid kuliko sie Nchi ya Kanisa Italy …tatizo nini sasa?
Huu ndio ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
So long as Dini zao hawakuletei wewe hapa Duniani au watake Dunia yako iwe Dini yao au Iongozwe na Imani yao / yake....; Sioni Tatizo

To each their Own....

I whatever they do makes them happy who are we to say Otherwise ?
 
Unashangaa Joto la Dar es salaam lakini wanawake bado wanajistiri lakini hushangai na baridi yote ya Ulaya Wanawake wanatembea Uchi?

Kama Dini ndio inarudisha nyuma Waarabu kwny maendeleo kipi kinawafanya Ulaya Mashariki na Mataifa kama ya Ugiriki hadi kutangazwa kuwa Muflisi ?

kipi kinafanya Burundi na mfano wa Mataifa hayo kuwa kwny top ten ya Masikini Duniani japo wao sio Waislam?

njoo na facts zinazosema kuwa kwa jambo hili la Uislam mtu hawezi kuchomokoa kwny Usilam? labda kwa kuwa Nchi zao bado hazitaki kutoa ruhusa ya Kisheria watu kulawitiana kama Ulaya na Marekani

Malaysia wana Usilam mwingi kuliko Waarabu lakini bado kiuchumi wako vyema zaid kuliko sie Nchi ya Kanisa Italy …tatizo nini sasa?
Alivyoanza huko juu kueleza nilijua anakuja kung'amua jambo mtambuka ambalo tungeona kweli anahoja.
Sasa nimeishiwa nguvu alipokuja kutoa mfano wa hijabu, hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom