Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni swadaka huyo maalim awe na kazi nyingine ndio afundishe madrasa au akaombe kazi Kuna nursery za kiislam zinalipa mishahara lakin akija msikitini ataambulia swadaka tu kwakua kutoa ni moyo na Quran inatakiwa ajue kila mtu tena bila malipo sasa tumlipe vipi... Labda apewe hamasa tu ya allowance kidogoHata wale wanaojitoleaga kuwafundisha watoto madrasa pia wengi wao hali sio nzuri.
Wazazi ni wagumu kishenzi kuwalipa wale walimu, yaani mtu analipa milioni kadhaa huko shule mtoto apate elimu dunia ila buku 5 sijui 10 kwa mwezi kwa mwanae ili apate ilim akhera inamtoa roho.
Madrasa zinasaidia mno kushape watoto wa kiislam, mtoto mpaka aje kujiingiza kwenye upuuzi basi tayari ilim ya dini ipo kichwani na ipo siku akili ikimkaa sawa atamkumbuka Mola wake.
Tatizo ni wazazi wa kipindi hiki wagumu kutoa.
Uislamu sio ajira kwa mtumishi yoyote ni ibaada, kwahiyo hawawezi kuiga hao wanyoonyaji wanao tumia dini yao kurubuni masikini ambao ni wafasi wao.Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa
Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo
View attachment 2896396
View attachment 2896398
WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
Inatakiwa iwe full time jobPadre au Mchungaji ni full time job. Nadhani haiko hivyo kwa Waislamu. Ana kazi zake za kutafuta maisha nje ya Uimam.
Waislamu, Imamu na waumini hufanya matakwa ya kiimani kwa ajiri ya Mungu, hivyo Mungu ndiye mlipaji.je Hali nzuri yake imekuja kwa kulipwa na Waislamu, ama hali nzuri yake imekuja kwa shughuli zake binafsi nje ya msikiti ?
Imamu hana degree yeyote kwa nini alipwe sawa na padri. Unajuwa ili uwe papa inabidi uwe na shule inayoeleweka.Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa
Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo
View attachment 2896396
View attachment 2896398
WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
Daah aisee kama ndo hivyo basi kazi ipo.Dini ni swadaka huyo maalim awe na kazi nyingine ndio afundishe madrasa au akaombe kazi Kuna nursery za kiislam zinalipa mishahara lakin akija msikitini ataambulia swadaka tu kwakua kutoa ni moyo na Quran inatakiwa ajue kila mtu tena bila malipo sasa tumlipe vipi... Labda apewe hamasa tu ya allowance kidogo
Waislamu, Imamu na waumini hufanya matakwa ya kiimani kwa ajiri ya Mungu, hivyo Mungu ndiye mlipaji.
Papa huyuhuyu wa🌈Imamu hana degree yeyote kwa nini alipwe sawa na padri. Unajuwa ili uwe papa inabidi uwe na shule inayoeleweka.
Inaonyesha wewe huujui Uislamu, na nafasi yake, katika Uislamu. Maana ya Imamu, ni muongoza sala.Imamu anaswalisha Kila siku swala tano. Tena anaamka saa kumi alfajiri.
Ndoa zinazofungwa msikitini anahudumia imamu
Swala za kuhudumia mazishi msikitini imamu anatumika.
Yaani kazi zote hizo useme anajitolea ?
Mchungaji ama padri ana kazi chache sana ndani ya wiki kuliko imamu
Nice. Hilo sio Tabata Kimanga au nimefananisha?Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa
Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo
View attachment 2896396
View attachment 2896398
WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
Sio msikiti tuu hata na mahospitali mjenge sio kuishia kuwasema KCMCHabari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa
Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo
View attachment 2896396
View attachment 2896398
WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
Imamu anaswalisha Kila siku swala tano. Tena anaamka saa kumi alfajiri.
Ndoa zinazofungwa msikitini anahudumia imamu
Swala za kuhudumia mazishi msikitini imamu anatumika.
Yaani kazi zote hizo useme anajitolea ?
Mchungaji ama padri ana kazi chache sana ndani ya wiki kuliko ima
Dini yetu haitambui makaratasi degree inatambua mjuzi elimu ya dini hio elim digrii ikamsaidie kupata kazi ili aje afundishe Quran bila kudai watu mishahara ikifaa atapewa posho tu. Na imamu wapo wenye degree lakini sisi sii kipaumbele chetu kwakua kuswalisha haihitajiki ikihitajika wapo waliosomaImamu hana degree yeyote kwa nini alipwe sawa na padri. Unajuwa ili uwe papa inabidi uwe na shule inayoeleweka.