Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

Uislamu sio ajira kwa mtumishi yoyote ni ibaada, kwahiyo hawawezi kuiga hao wanyoonyaji wanao tumia dini yao kurubuni masikini ambao ni wafasi wao.

Kila dini inaunyonyaji fikiria safari za meka ni aina moja wapo ya unyonyaji kupafaida masudia.
 
Kuna Vitu ulitakiwa uvisome kati ya hizo dini mbili na utofauti wake .Imam Sio kazi ya kudumu na yeyote aliekamilika kwa mujibu wa uislam anaweza kusalisha muda wa sala unapowadia hata Huyo Imam akiwa hayupo sasa hao woote nao walipwe?na pia kutokana na mafundisho ya Mohamad s.a.w Ni kuwa yeye mwenyewe alikuwa na kazi nyingine tofauti na kufundisha dini na Ndo pia aliacha mafundisho kwa waislam pindi wanapomaliza kusali watawanyike kwenye tumbo la dunia kutafuta mkate wao wa kila siku.......sasa Huyo imam mshahara wa nini.?japo kisasa Ndo Kuna baadhi ya misikiti wanaajir na mengine wanatoa posho ya kujikimu Ila Sio mafundisho tuliyoyapokea

na Hata hao wakristo wanapomlipa padri au mchungaji Sio mafundisho na Sijui wamelitoa wapi Hili jambo....nyie Ni kondoo mnachungwa iweje mumlipe anaewachunga wakati yupo Baba alietoa hiyo kazi ya kuwachunga.Huyo mchungaji alipwe na aliemtuma awachunge na Sio nyie kondoo mumlipe

Ukristo ni taasisi una miongozo na taratibu za kuendesha,uislam hauna miongozo wata taratibu kila mtu akishasoma kiarabu anajiona anaweza hawana mifumo ya kitaasisi ndio mana wako disorganized katika masuala mengi ya kiuongozi.
 
Hivi ndugu zetu katika imaan, huwa mnajenga hata nyumba zenu za ibada kweli kupitia michango yenu ya hali na mali!

Au ndiyo mpaka wajitokeze wadau kama akina Muammar Gaddaf (RIP), Mfalme wa sita wa Morocco, Magufuli na Waumini Wakatoliki kule Chamwino, nk. kuwajengea!

Misikiti yote ni ya wafadhili hawana muda wa kuchangishana kujenga misikiti.
 
Fundisha wanafunzi wa ki Islam ndio utajua hao watu ni mkono wa birika hatari wao hupenda huduma iwe bure hata ukiandaa chakula bado wanataka uwape bure

Wamezoea za kupewa na waarabu,watu wa namna hii ndio hawa wanaotusumbua humu wakina mzee saidi,wakiona taaisi za wengine wano jinyima zinastawi wnapata wivu na makasiriko.

Ukizoea vya bura hata akili inalala na unaona kupewa ni haki yako.
 
Maimamu 90 wapo vizuri ,halafu misikiti mingi haipo chini ya taasisi yaani imejengwa na mtu kama mfadhili akaondoka hamna utaratibu ila watu wanaswali na imam kama anajitolea.

Misikiti mikubwa yote ina nyumba za maimamu na Madrasa hapo hapo.
 
Ukristo ni taasisi una miongozo na taratibu za kuendesha,uislam hauna miongozo wata taratibu kila mtu akishasoma kiarabu anajiona anaweza hawana mifumo ya kitaasisi ndio mana wako disorganized katika masuala mengi ya kiuongozi.
Utakuwa huna unalojua kuhusu uislam na inatokana Si dini unayoifuata .......kiarabu Si uislam

Na pia upo uongozi ktk uislam kuanzia ngazi za chini mpk za juu
 
Hivi ndugu zetu katika imaan, huwa mnajenga hata nyumba zenu za ibada kweli kupitia michango yenu ya hali na mali!

Au ndiyo mpaka wajitokeze wadau kama akina Muammar Gaddaf (RIP), Mfalme wa sita wa Morocco, Magufuli na Waumini Wakatoliki kule Chamwino, nk. kuwajengea!
Misikiti inajengwa kwa jihadi yaaani kujitolea wale weny uwezo ,hapa naongelea ile sehemu nyingi ila upate msaada lazima nanyi muanze kwa startup kidogo.

Kuchangisha waislamu tunachangisha kwa kujitolea kwa sababu hata Hija wanaenda weny uwezo tu ,ina maana hata kuchangia kama kiasi ni kikubwa wenye uwezo mkubwa wenye imani wanatoa kiasi kama sadaka endelevu kujenga msikitini.
 
Kwamba hao wachungaji ni bora kuliko wanaowachunga ? Ushaona maisha ya watanzania lately ?

Binafsi hizi taasisi zianze / ziendelee kuona mbinu za kuboresha maisha ya waumini na sio kuangalia ni vipi wanaboresha maisha yao (after all essence ya hizi taasisi ni kutumikia)
 
Watachinjana na kuuna sana bora wabaki hivyo hivyo mana ndugu zetu hawana subra wala kusamehe,unakumbuka ya juzi bukoba jamaa alitaka kumchinja imamu kisa kuondolewa kazi ya kibarua akaishia kumkata kiganja na yeye kuuwawa na haya aliyafanya mchana kweupe tena msikitini siku ya ijumaa.

Shida nyingine hawa ndugu wana tamaa na hawana misingi ya usimamizi wa raslmali watauza wote kama walivyouza ardhi zao kisha kuanza kujiliza wamedhurumiwa. Playing victms.
Ndugu jitahidi Sana kusoma na.kuelewa Mambo hlf njoo uyajadili
kwa uwazi....Hivi yule mackenzie alifanya vile kwa halaiki alikuwa Ni muislam?na Je kitendo kile hakikuelekezwa kwa ajili ya hizo unazoziita tamaa !!!??
Ukiweza niletee muislam alieua wenzake kwa halaiki Nami nitakuongezea wakristo wengine walioua wenzao kwa halaiki
 
Ukristo ni taasisi una miongozo na taratibu za kuendesha,uislam hauna miongozo wata taratibu kila mtu akishasoma kiarabu anajiona anaweza hawana mifumo ya kitaasisi ndio mana wako disorganized katika masuala mengi ya kiuongozi.
Huwezi kuchangisha watu ukajenge msikitini kwa kufosi kama nyie mnavyodanganywa hakuna sehemu imeandikwa msikiti au kanisa liwekwe vip... Msikiti ni sehemu yeyote ile kikubwa Qibla hata sehemu iwe open kama barabarani ni fresh tu..

Uislamu ujenzi unafanya kwa jihad pamoja na michango hamna forcefully kama wagalatia😅😅😅...Kuna kitu kinaitwa sadaka inayoendelea ndio inajenga misikiti mingi watu wanajitolea kwa kasi hamn kuchukua fungu la kumi sijui sadaka ya kujimaliza ni utapeli.

Hata uache wosia pesa zako za bank zote zikajengwe misikiti katika uislamu hawawezi kufanya hivyo itachukuliwa sehemu ndogo na nyingine watapewa warith... Kiufupi hamna utapeli wa sadaka za kujimaliza ni kulipia maji na umeme..

Wanaolipwa mishahara wapo kibao tena minono waliopo chini ya taasisi 😆 ,katika uislamu baada ya salah kila mtu anachanguka kwenda kufanya kazi hamna ujinga mwingine....
 
Dini imekuwa biashara.....one pale muhasibu kawa rafiki wa padre/mchungaji.
 
Hivi ndugu zetu katika imaan, huwa mnajenga hata nyumba zenu za ibada kweli kupitia michango yenu ya hali na mali!

Au ndiyo mpaka wajitokeze wadau kama akina Muammar Gaddaf (RIP), Mfalme wa sita wa Morocco, Magufuli na Waumini Wakatoliki kule Chamwino, nk. kuwajengea!
Ukihesabu hapo umetaja watu wanne tuu Ndo waliojenga misikiti......jibu Unaweza kujijibu mwenyewe.Je ktk misikiti yoote Zaidi ya malaki iliyopo nchini imejengwa na hao watu wanne!!?
 
Wakristu suala la kutoa fedha za uhakika sio change wameanza siku nyingi

🔹 Makanisa wanayojenga kwa Sasa ni nguvu zao wenyewe hawategemee mfadhili

🔹Shule na mahospitali wanayojenga ni jasho la damu. Sadaka Kuna mhasibu na taratibu zote za fedha zinafuata( NOTE .hapa nazungumzia kanisa Katoliki)

🔹 Wenzatu bado wapo kwenye notion lazima wadhanie aje mfadhili ,au taasisi iwejengee, au afe muumini aache nyumba yake wakfu basi hapo viongozi ni kuchuma tuu na sidhani kama Wana wahasibu. Shule wanabadilinbadili madrasa hapo hapo msikitini inasajiliwa sekondari hata vituo vya afya wanalazimishia hapo hapo wakati mazingira sii rafiki
 
Misikiti mingi iko chini ya BAKWATA ambao ni wahuni wanatufanya tusichangie yaani mimi sadaka yangu msikitini nawanunulia Luku au natafuta masikini nje nampatia uzuri sisi waislam sadaka naamua mwenyewe nimpe nani au nipeleke wapi
 
Habari wadau.

Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .

Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.

Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.

Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa

Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo

View attachment 2896396

View attachment 2896398

WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
Hii itasaidia nini Maisha ya Maskini?
 
Watakuja kutukana we subiria
 
Wakristu suala la kutoa fedha za uhakika sio change wameanza siku nyingi

🔹 Makanisa wanayojenga kwa Sasa ni nguvu zao wenyewe hawategemee mfadhili

🔹Shule na mahospitali wanayojenga ni jasho la damu. Sadaka Kuna mhasibu na taratibu zote za fedha zinafuata( NOTE .hapa nazungumzia kanisa Katoliki)

🔹 Wenzatu bado wapo kwenye notion lazima wadhanie aje mfadhili ,au taasisi iwejengee, au afe muumini aache nyumba yake wakfu basi hapo viongozi ni kuchuma tuu na sidhani kama Wana wahasibu. Shule wanabadilinbadili madrasa hapo hapo msikitini inasajiliwa sekondari hata vituo vya afya wanalazimishia hapo hapo wakati mazingira sii rafiki
Umeandika kutokana na muono hasi na Si kwamba UnaHakika na ulichoandika

Kumbe Ni makanisa ya sasa Ndo wanajenga kwa pesa zao!!Ila tambua kuwa toka kale misikiti inajengwa na waumini wenyewe na Ndo Maana huwezi kuta Kuna msikiti wa fulani na fulani Ila huko makanisani Kuna makanisa yana wenyewe na Ni mengi mno

Mfano wa Karibu ile hosp ya Seifee Ni nguvu za waislam wenyewe na Ni kati ya hosp boora hapa nchini

Uislam hauna mfadhili na wala hawajijengi kwa kutegemea ufadhili kuanzia ngazi ya chini kabisa mpk ya juu....hiyo misikiti unayoiona Ni nguvu za wauminI wenyewe.....pia hawasubiri mali za wakfu Kwani hawawezi kuchukua wakfu Hata km umetoa kwa ridhaa yako hawawezi kichukua mpk ithibitike ya kuwa umewaachia warithi kiwango kinachotosha kulingana na sheria za morathi na kilicho ziada Ndo kinaweza kupokelewa kwenye wakfu
Sio km hizi dini nyingine Leo umelala umeamka mmegombana na mkeo pmj na watoto kwa kuwakomoa unapeleka mali zako zoote kanosani na viongozi wanavipokea,kwenye uislam haiwezekani na hawatopokea asilani
 
Back
Top Bottom