Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

Kwa Waislam yoyote anaweza kuwa Imamu, hilo wazo haliwezi kupita, ikitokea hivyo kwamba Imamu apewe nyumba, Posho na mahitaji mengine, Masheikh watapigana Bakora, coz kila Mtu mwislam anaweza kuwa Imamu, hivyo kila mtu atataka kuwa Imamu.
 
Kwanini wajengewe hawana nguvu za kutafuta? Uislam hauko hivyo mwenye shida ndio atapewa sio kiongozi na cheo chake utaratibu ni baada ya swala kusambaa katika ardhi kutafuta rizk hayo ndio mafundisho sahihi.
 
Dini ni swadaka huyo maalim awe na kazi nyingine ndio afundishe madrasa au akaombe kazi Kuna nursery za kiislam zinalipa mishahara lakin akija msikitini ataambulia swadaka tu kwakua kutoa ni moyo na Quran inatakiwa ajue kila mtu tena bila malipo sasa tumlipe vipi... Labda apewe hamasa tu ya allowance kidogo
 
Uislamu sio ajira kwa mtumishi yoyote ni ibaada, kwahiyo hawawezi kuiga hao wanyoonyaji wanao tumia dini yao kurubuni masikini ambao ni wafasi wao.
 
USHAURI KIDOGO:
Umeona mbali sana aisee.
Sasa unaonaje ukaenda kwenye huo Msikiti wa huyo Imam ukawaambia,
Tena uwakute wapo wengi wakusikie vizuri namaanisha kama Ijumaa moja hivi.

Utatisha Jombaa.
 
Nyie waumini miongon mwenu unaweza jitolea na ukamlipa.imamu ila sisi wanadamu ni.dahifu mbele ya mwenyemungu
 
je Hali nzuri yake imekuja kwa kulipwa na Waislamu, ama hali nzuri yake imekuja kwa shughuli zake binafsi nje ya msikiti ?
Waislamu, Imamu na waumini hufanya matakwa ya kiimani kwa ajiri ya Mungu, hivyo Mungu ndiye mlipaji.
 
Imamu hana degree yeyote kwa nini alipwe sawa na padri. Unajuwa ili uwe papa inabidi uwe na shule inayoeleweka.
 
Daah aisee kama ndo hivyo basi kazi ipo.
 
Waislamu, Imamu na waumini hufanya matakwa ya kiimani kwa ajiri ya Mungu, hivyo Mungu ndiye mlipaji.

Imamu anaswalisha Kila siku swala tano. Tena anaamka saa kumi alfajiri.

Ndoa zinazofungwa msikitini anahudumia imamu

Swala za kuhudumia mazishi msikitini imamu anatumika.

Yaani kazi zote hizo useme anajitolea ?

Mchungaji ama padri ana kazi chache sana ndani ya wiki kuliko imamu
 
Inaonyesha wewe huujui Uislamu, na nafasi yake, katika Uislamu. Maana ya Imamu, ni muongoza sala.

Shuguri za kidini nje ya msikiti kama mazishi na kufungisha ndoa hazifanywi na Imamu bali Shehe, Ingawa imamu nae ni shehe.

Kwahiyo tunaweza kusema ndoa ilifungishwa na Shekhe Juma, ambae pia ni Imamu wa msikiti fulani.
Ama mazishi yaliongozwa Shekhe fulani amba hana kamabisa madaraka ya Uimamu.
 
Hakuna kuwajengea wala kuwachangia waache watafute vyakwao, wafanye kazi, hakuna cha bure.

Hata ninyi wakristo mnaowajengea hao viongoz wenu wa kidini mnakosea na mnapigwa vibaya sana pesa zenu, acheni kuwalisha watu wazima wenye nguvu za kutafuta pesa.

Dini zinawalemaza na kuwafanya muwaone baadhi ya watu Miungu watu kwamba wanastahili vitu vizur wao tu, huku ninyi mkipata matatizo hampewi hiyo misaada kama mnayowapa zaid ya kuambiwa muombe kwa Mungu.

Acheni kuwalemaza hao wana mikono na nguvu za kufanya kazi.

Kataa kuibiwa, kataa kutoa sadaka, kataa kuwa mjinga na mtumwa wa dini.
 
Nice. Hilo sio Tabata Kimanga au nimefananisha?
 
Sio msikiti tuu hata na mahospitali mjenge sio kuishia kuwasema KCMC
 
Ndiyo hivyo uone tofuti wa hizi Imani, wanajitolea kwa ajili ya Mungu, tangu Uislamu uanze hawalipwi na wala, hawajawahi kudai, wala kugoma.
 
Imamu hana degree yeyote kwa nini alipwe sawa na padri. Unajuwa ili uwe papa inabidi uwe na shule inayoeleweka.
Dini yetu haitambui makaratasi degree inatambua mjuzi elimu ya dini hio elim digrii ikamsaidie kupata kazi ili aje afundishe Quran bila kudai watu mishahara ikifaa atapewa posho tu. Na imamu wapo wenye degree lakini sisi sii kipaumbele chetu kwakua kuswalisha haihitajiki ikihitajika wapo waliosoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…