Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Tembea uone. Kuna umuhimu wa philosophy na theology katika kuwa kiongozi wa dini. Ndio maana ukifuata uislamu kwa asilimia mia moja hauwezi kutoboa hapa duniani. Unajua kuwa uislamu unakataza hadi teknolojia. Ndio maana uarabuni kote wenye taaluma ni watu ambao sio waarabu. Waarabu wamebaki kama wamiliki wa biashara na wananchi tu.Dini yetu haitambui makaratasi degree inatambua mjuzi elimu ya dini hio elim digrii ikamsaidie kupata kazi ili aje afundishe Quran bila kudai watu mishahara ikifaa atapewa posho tu. Na imamu wapo wenye degree lakini sisi sii kipaumbele chetu kwakua kuswalisha haihitajiki ikihitajika wapo waliosoma
Ilibidi ujifunze Hata kidogo kuhusu uislam ili uwe na hoja ktk hiliImamu anaswalisha Kila siku swala tano. Tena anaamka saa kumi alfajiri.
Ndoa zinazofungwa msikitini anahudumia imamu
Swala za kuhudumia mazishi msikitini imamu anatumika.
Yaani kazi zote hizo useme anajitolea ?
Mchungaji ama padri ana kazi chache sana ndani ya wiki kuliko imamu
Wachungaji wanasema hawalipwi mshahara ila wanalipwa pesa ya kujikimu š mana kazi ya Mungu haina malipo
Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa
Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo
View attachment 2896396
View attachment 2896398
WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
je Hali nzuri yake imekuja kwa kulipwa na Waislamu, ama hali nzuri yake imekuja kwa shughuli zake binafsi nje ya msikiti ?
Unapo zungumzia kulipwa na waislam me naona haijakaa sawa, sidhani hata kama upande wa pili nako kuko hivyo.
Misikiti karibia yote ina usimamizi, hao wasimamizi ndio wana jukumu la kulipa ma imamu wao kiufupi ni hivyo hapa ni public siwezi kuelezea kwa kina
Kwanza unatakiwa ujuwe imamu ni nani tafsir yake ,pili imamu anaweza kuwa mtu yoyote ilikuongoza swala baada ya hapo anakuwa na shughuli zake za utafutaji kama kawaida ,siyo kuwa imamu anatakuwa kushinda msikitin haiko hivyo
Maimamu hushinda misikitini huko ndani kunamajini ambayo huwapa stahiki yao ya kila siku.Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa
Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo
View attachment 2896396
View attachment 2896398
WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
Sasa wale si wanachumia matumbo ebu usiwalinganishe na watu wanaopambania Pepo yakhe.
Mavii aende haone kilichomtoa kanga manyoya[emoji23][emoji23][emoji23]USHAURI KIDOGO:
Umeona mbali sana aisee.
Sasa unaonaje ukaenda kwenye huo Msikiti wa huyo Imam ukawaambia,
Tena uwakute wapo wengi wakusikie vizuri namaanisha kama Ijumaa moja hivi.
Utatisha Jombaa.
Swadaktaaa!!!!Hata wale wanaojitoleaga kuwafundisha watoto madrasa pia wengi wao hali sio nzuri.
Wazazi ni wagumu kishenzi kuwalipa wale walimu, yaani mtu analipa milioni kadhaa huko shule mtoto apate elimu dunia ila buku 5 sijui 10 kwa mwezi kwa mwanae ili apate ilim akhera inamtoa roho.
Madrasa zinasaidia mno kushape watoto wa kiislam, mtoto mpaka aje kujiingiza kwenye upuuzi basi tayari ilim ya dini ipo kichwani na ipo siku akili ikimkaa sawa atamkumbuka Mola wake.
Tatizo ni wazazi wa kipindi hiki wagumu kutoa.
Pale tabata shule,Kuna hotel Kwa nyuma Pana msikiti,baada ya swala ya ijumaa imam kafunga msikiti asitoke mtu analalamika malipo ya sh 50,000 ya mfanya usafi.Hizo 50000 kachangisha wiki tatu hazikupatikanaš¤£Kuna madrassa ada ya mwezi wanachaji buku lakini pia wazazi wanalimbikiza malipo.
Huwa najiuliza inakuaje mtu analipa school fees million halafu madrassa buku tu shida kulipa.
Hivi hamjisikii vibaya mnavyoona maustaadhi wana hali mbaya kiuchumi?
Una hoja..!Kuna Vitu ulitakiwa uvisome kati ya hizo dini mbili na utofauti wake .Imam Sio kazi ya kudumu na yeyote aliekamilika kwa mujibu wa uislam anaweza kusalisha muda wa sala unapowadia hata Huyo Imam akiwa hayupo sasa hao woote nao walipwe?na pia kutokana na mafundisho ya Mohamad s.a.w Ni kuwa yeye mwenyewe alikuwa na kazi nyingine tofauti na kufundisha dini na Ndo pia aliacha mafundisho kwa waislam pindi wanapomaliza kusali watawanyike kwenye tumbo la dunia kutafuta mkate wao wa kila siku.......sasa Huyo imam mshahara wa nini.?japo kisasa Ndo Kuna baadhi ya misikiti wanaajir na mengine wanatoa posho ya kujikimu Ila Sio mafundisho tuliyoyapokea
na Hata hao wakristo wanapomlipa padri au mchungaji Sio mafundisho na Sijui wamelitoa wapi Hili jambo....nyie Ni kondoo mnachungwa iweje mumlipe anaewachunga wakati yupo Baba alietoa hiyo kazi ya kuwachunga.Huyo mchungaji alipwe na aliemtuma awachunge na Sio nyie kondoo mumlipe