jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Uislamu sio ajira kwa mtumishi yoyote ni ibaada, kwahiyo hawawezi kuiga hao wanyoonyaji wanao tumia dini yao kurubuni masikini ambao ni wafasi wao.
Kuna Vitu ulitakiwa uvisome kati ya hizo dini mbili na utofauti wake .Imam Sio kazi ya kudumu na yeyote aliekamilika kwa mujibu wa uislam anaweza kusalisha muda wa sala unapowadia hata Huyo Imam akiwa hayupo sasa hao woote nao walipwe?na pia kutokana na mafundisho ya Mohamad s.a.w Ni kuwa yeye mwenyewe alikuwa na kazi nyingine tofauti na kufundisha dini na Ndo pia aliacha mafundisho kwa waislam pindi wanapomaliza kusali watawanyike kwenye tumbo la dunia kutafuta mkate wao wa kila siku.......sasa Huyo imam mshahara wa nini.?japo kisasa Ndo Kuna baadhi ya misikiti wanaajir na mengine wanatoa posho ya kujikimu Ila Sio mafundisho tuliyoyapokea
na Hata hao wakristo wanapomlipa padri au mchungaji Sio mafundisho na Sijui wamelitoa wapi Hili jambo....nyie Ni kondoo mnachungwa iweje mumlipe anaewachunga wakati yupo Baba alietoa hiyo kazi ya kuwachunga.Huyo mchungaji alipwe na aliemtuma awachunge na Sio nyie kondoo mumlipe
Hivi ndugu zetu katika imaan, huwa mnajenga hata nyumba zenu za ibada kweli kupitia michango yenu ya hali na mali!
Au ndiyo mpaka wajitokeze wadau kama akina Muammar Gaddaf (RIP), Mfalme wa sita wa Morocco, Magufuli na Waumini Wakatoliki kule Chamwino, nk. kuwajengea!
Fundisha wanafunzi wa ki Islam ndio utajua hao watu ni mkono wa birika hatari wao hupenda huduma iwe bure hata ukiandaa chakula bado wanataka uwape bure
Utakuwa huna unalojua kuhusu uislam na inatokana Si dini unayoifuata .......kiarabu Si uislamUkristo ni taasisi una miongozo na taratibu za kuendesha,uislam hauna miongozo wata taratibu kila mtu akishasoma kiarabu anajiona anaweza hawana mifumo ya kitaasisi ndio mana wako disorganized katika masuala mengi ya kiuongozi.
Misikiti inajengwa kwa jihadi yaaani kujitolea wale weny uwezo ,hapa naongelea ile sehemu nyingi ila upate msaada lazima nanyi muanze kwa startup kidogo.Hivi ndugu zetu katika imaan, huwa mnajenga hata nyumba zenu za ibada kweli kupitia michango yenu ya hali na mali!
Au ndiyo mpaka wajitokeze wadau kama akina Muammar Gaddaf (RIP), Mfalme wa sita wa Morocco, Magufuli na Waumini Wakatoliki kule Chamwino, nk. kuwajengea!
Ndugu jitahidi Sana kusoma na.kuelewa Mambo hlf njoo uyajadiliWatachinjana na kuuna sana bora wabaki hivyo hivyo mana ndugu zetu hawana subra wala kusamehe,unakumbuka ya juzi bukoba jamaa alitaka kumchinja imamu kisa kuondolewa kazi ya kibarua akaishia kumkata kiganja na yeye kuuwawa na haya aliyafanya mchana kweupe tena msikitini siku ya ijumaa.
Shida nyingine hawa ndugu wana tamaa na hawana misingi ya usimamizi wa raslmali watauza wote kama walivyouza ardhi zao kisha kuanza kujiliza wamedhurumiwa. Playing victms.
Huwezi kuchangisha watu ukajenge msikitini kwa kufosi kama nyie mnavyodanganywa hakuna sehemu imeandikwa msikiti au kanisa liwekwe vip... Msikiti ni sehemu yeyote ile kikubwa Qibla hata sehemu iwe open kama barabarani ni fresh tu..Ukristo ni taasisi una miongozo na taratibu za kuendesha,uislam hauna miongozo wata taratibu kila mtu akishasoma kiarabu anajiona anaweza hawana mifumo ya kitaasisi ndio mana wako disorganized katika masuala mengi ya kiuongozi.
Ukihesabu hapo umetaja watu wanne tuu Ndo waliojenga misikiti......jibu Unaweza kujijibu mwenyewe.Je ktk misikiti yoote Zaidi ya malaki iliyopo nchini imejengwa na hao watu wanne!!?Hivi ndugu zetu katika imaan, huwa mnajenga hata nyumba zenu za ibada kweli kupitia michango yenu ya hali na mali!
Au ndiyo mpaka wajitokeze wadau kama akina Muammar Gaddaf (RIP), Mfalme wa sita wa Morocco, Magufuli na Waumini Wakatoliki kule Chamwino, nk. kuwajengea!
Hakuna asilani muislamu anaelala na kushinda msikitini .....waumini wa namna hiyo wapo kwenye Haya makanisa yenu ya uokovuMbona kuna watu wanalala na kushinda msikitini.
Hii itasaidia nini Maisha ya Maskini?Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na nyumba ya kuishi padri au mchungaji jirani na hilo kanisa
Mfano hili ni kanisa la katoliki Tabata Kisukulu. pembeni yake kuna nyumba ya nzuri ya ghorofa yenye appartments imejengwa kwa ajili ya padri na wahudumu wengine wa kanisa hilo
View attachment 2896396
View attachment 2896398
WAISLAMU MNAPASWA KUIGA UTAMADUNI WA KUWAJALI WATOA HUDUMA KWENYE MISIKITI PIA. ILI NA WAO WAISHI MAISHA MAZURI
Watakuja kutukana we subiriaHabari wadau.

Umeandika kutokana na muono hasi na Si kwamba UnaHakika na ulichoandikaWakristu suala la kutoa fedha za uhakika sio change wameanza siku nyingi
🔹 Makanisa wanayojenga kwa Sasa ni nguvu zao wenyewe hawategemee mfadhili
🔹Shule na mahospitali wanayojenga ni jasho la damu. Sadaka Kuna mhasibu na taratibu zote za fedha zinafuata( NOTE .hapa nazungumzia kanisa Katoliki)
🔹 Wenzatu bado wapo kwenye notion lazima wadhanie aje mfadhili ,au taasisi iwejengee, au afe muumini aache nyumba yake wakfu basi hapo viongozi ni kuchuma tuu na sidhani kama Wana wahasibu. Shule wanabadilinbadili madrasa hapo hapo msikitini inasajiliwa sekondari hata vituo vya afya wanalazimishia hapo hapo wakati mazingira sii rafiki