Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani.

Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
View attachment 3628805
Kwa sababu hawapendi ujinga uliopo kwenye nchi za waislamu wenzao.
Kwanza hata nchi zenyewe haziwezi kuwapokea kwa sababu wataenda kuleta ushenzi.

Imagine hata hapa nchini rais akiwa wa dini ile kuna upumbavu mwingi tu unaibuka.
 
Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani.

Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
View attachment 3628805
inatakiwa wana mafundisho yao kwamba wakiona nchini mwao kuna vita basi wakimbilie nchi salama ili kuunusuru uislam wao
 

Nchi Zinazozalisha Wakimbizi Wengi Zaidi​

Ukiangalia nchi zinazoongoza kwa kutoa wakimbizi wengi duniani kutokana na vita, migogoro ya kisiasa na kiuchumi, utaona mchanganyiko wa nchi zenye idadi kubwa ya Waislamu na nchi zenye idadi kubwa ya Wakristo au dini nyingine.

Kwa mfano, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za UNHCR, nchi tano zinazoongoza kwa kutoa wakimbizi wengi zaidi duniani ni:

  1. Venezuela (Nchi yenye idadi kubwa ya Wakristo)
  2. Ukraine (Nchi yenye idadi kubwa ya Wakristo)
  3. Syria (Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu)
  4. Afghanistan (Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu)
  5. Sudan (Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu)
Uwepo wa Venezuela na Ukraine katika nafasi za juu kabisa unaonyesha kuwa mamilioni ya wakimbizi duniani sasa hivi wanatokea katika mataifa yenye misingi ya Kikristo.

Takwimu za Wahamiaji kwa Ujumla (Migrants)​

Utafiti uliofanywa na taasisi ya Pew Research Center kuhusu dini za watu wanaohama nchi zao duniani (ikiwa ni pamoja na wakimbizi na wahamiaji wa kawaida) ulionyesha kuwa:

  • Karibu 47% ya wahamiaji wote duniani ni Wakristo.
  • Karibu 29% ni Waislamu.
  • Waliobaki ni waumini wa dini nyingine kama Uhindu, Ubudha, Uyahudi, na wale wasio na dini kabisa.



Ukileta ushahidi , nasilimu hapa , ishu ni kwamba waislamu hata wawe kumi wana impact kubwa sio kwamba ni wengi..Wakirsto ndiyo wakimbizi namba moja duniani πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ .. na hizo nchi za waislamu zenye wakimbizi utaona ni sababu ya vita , vita hivyo vina mkono wa mkafiri wa kikristo .
 
Hawa ilitakiwa watungiwe sheria kwamba ukiingia kwenye nchi za EU au Amerika basi uachane na uislam. Hawanaga shukrani hawa, wakikaribishwa baadaye huanza kusumbua kutaka uislam wao uwe ndio muongozo wa mataifa hayo waliyokaribishwa
 
Hawa ilitakiwa watungiwe sheria kwamba ukiingia kwenye nchi za EU au Amerika basi uachane na uislam. Hawanaga shukrani hawa, wakikaribishwa baadaye huanza kusumbua kutaka uislam wao uwe ndio muongozo wa mataifa hayo waliyokaribishwa
N nyie msilete demokrasia nchi za watu , karibia nusu ya wakimbizi dunia ni nyie , kwani yesu kashindwa kuwapa maisha bora ?
 
H hata haihitaji utafiti, ila huo ndio ukweli.
Waislamu hasa wa mashariki ya kati wanaichukia USA ila hao hao wanataka kuishi USA
Umewahi kusafiri? ukienda nchi kama KSA au Qatar raia wake wengi tu hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Tanzania, na almost hawasafiri kutoka nje ya nchi zao kwasababu wanapata kila kitu hapo kwao, unazungumzia middle east ipi?.

By the way huo utafiti umefanyika wapi na kwa case studies zipi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…